Kuchelewa kuoa na kuwa na familia japo nimejipanga kiuchumi kwa 70%, mnahisi mimi mpumbavu?

Kuchelewa kuoa na kuwa na familia japo nimejipanga kiuchumi kwa 70%, mnahisi mimi mpumbavu?

Lawama zinakuwa ni nyingi kuliko ushauri. Brother salim mfungahema amejenga nyumba kali pale goba center hana mke wala mtoto wa kusingiziwa kwa sasa ana miaka 42 ni daktari wa binadamu hospital flani hapa daressalam. Wewe kazee ka kiswahili una watoto 10 na wote hawana ramani ya maisha kati yako wewe na brother mfungahema nani mpumbavu 😁😁
Kama ulivyonitupa Baki ivoivo....nilisema nijitolee posa bado ukakacha🙄
 
At anaemwoa ameliwa sana na bado analiwa
Mi naona kwenye hio picha mwanaume anaonekana ni mtu mwenye tamaa au anaechezea wanawake. And wachache ndo huiona thamani yake na kumuoa

Afu heri tu ichezewe iwe kubwa,mtoto atoke bila kujibana maana na ikule hospitali wanaipanua and pia akienda kujifungua kawaida inakua kubwa asa atakua kafaidika nini 😂😂😂😂😂 itumiwe tu ila kiusahihi
 
Back
Top Bottom