National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,177
- 56,121
Hakuna specific age ( number - umri katika namba), kuingia kwenye ndoa kinachohitajika ni maturity na uwezo wa kuwa baba. Nimeoa nikiwa na 36Kiongozi Kwa maoni yako Umri sahihi wa kuoa ni upi? Ww ulioa ukiwa na umri gani?