Kuna mtindo ambao amekuja nao Masaju, VJ kuwa kesi za Court of appeal zisikilizwe kwa mtindi wa sessions. Ikiwa na maana kuwa session inaweza kuwa ya civil, criminal, matrimonial ???(Sina uhakika kama na hii ni civil kwa mtindo wa mahakama)etc.
Ukipitia TanzLII, utaina kuwa judgements zote za sasa ni kuhusu matrimonial.
Swali langu: Criminal session ndiyo inasubiriwa?
Tuelimishane Erythrocyte madeleka, Mshana Jr na wengine
Ukipitia TanzLII, utaina kuwa judgements zote za sasa ni kuhusu matrimonial.
Swali langu: Criminal session ndiyo inasubiriwa?
Tuelimishane Erythrocyte madeleka, Mshana Jr na wengine