jamaa amesema “ hii inaweza kua sababu”Hapa umedanganya Umma Criminal session nazo zinaendelea criminal zilishakilizwa sema foleni ni ndefu kuna watu wamefungwa 2022/2023/2024 rufaa zao bado now days Vikao vya Court of Appel vinafanyika kila mwezi tofauti na zamani kwa mwaka walikua wanakaa mara 2 tuu
Kwa hiyo Madezz hana tofauti na Yericko!?Sijui kwanini umemcheki Madeleka
Ni miongoni mwa Mamluki wa kiwango cha juuKwa hiyo Madezz hana tofauti na Yericko!?
Certificate of Urgency inaweza kusaidia kwa uzoefu wangu inatumikaga sana High court sina citation ya certificate of urgency CAT lakini kuna uamuzi wa CAT kesi ya Joseph Steven Gwaza vs Attorney General inahusu interlocutory orders kesi hii jamaa ali challenge ukataji wa Rufaa wakati kesi inaendelea Je , ni sawa? Mahakama ya Rufaani ilikaa Dar es Salaam ikaamua kuwa siyo sawa kukatia rufaa uamuzi wowote wakati kesi inaendelea Mahakamani hasa Subordinate court! Mimi si Shabiki wa Lissu lakini hakuna uamuzi mwingine wa Mahakama ulikuja ku overturn Judgement ya kesi ya Joseph steven Gwaza (supra).jamaa amesema “ hii inaweza kua sababu”
Vipi kama ikifanyika ile mchakato wa hati ya dharura. gomq linaweza likaendelea ASAP ?
Nadhani anaijua sheria ingawa ni muasi wa Mageuzi kwa kuhama kutoka chademaSijui kwanini umemcheki Madeleka
Mamluki hawana dhamana, mwangalie KabudiNadhani anaijua sheria ingawa ni muasi wa Mageuzi kwa kuhama kutoka chadema
Hawana nyimbo hao mazafakas. Wanatafuta pakutokea kwenye hiyo kesi kama ambavyo mazafaka Trump anavyohangaika kutafuta pakutokea kwenye vita vya Iran. Both are trying to save their faces!Kuna mtindo ambao amekuja nao Masaju, VJ kuwa kesi za Court of appeal zisikilizwe kwa mtindi wa sessions. Ikiwa na maana kuwa session inaweza kuwa ya civil, criminal, matrimonial ???(Sina uhakika kama na hii ni civil kwa mtindo wa mahakama)etc.
Ukipitia TanzLII, utaina kuwa judgements zote za sasa ni kuhusu matrimonial.
Swali langu: Criminal session ndiyo inasubiriwa?
Tuelimishane Erythrocyte madeleka, Mshana Jr na wengine
Mkuu unauliza kweli au ni kijembe? Lissu hana kesi yoyote na anashikiliwa kwa amri ya Samia. Anaogopa akitoka anaweza kuanzisha amsha amsha na ikawa mbaya kwa sababu watu bado wana maumivu. Halafu walivyo wajinga wanadhani alichofanya Mbowe na Lissu naye atafanya.Kuna mtindo ambao amekuja nao Masaju, VJ kuwa kesi za Court of appeal zisikilizwe kwa mtindi wa sessions. Ikiwa na maana kuwa session inaweza kuwa ya civil, criminal, matrimonial ???(Sina uhakika kama na hii ni civil kwa mtindo wa mahakama)etc.
Ukipitia TanzLII, utaina kuwa judgements zote za sasa ni kuhusu matrimonial.
Swali langu: Criminal session ndiyo inasubiriwa?
Tuelimishane Erythrocyte madeleka, Mshana Jr na wengine
Kuna mtindo ambao amekuja nao Masaju, VJ kuwa kesi za Court of appeal zisikilizwe kwa mtindi wa sessions. Ikiwa na maana kuwa session inaweza kuwa ya civil, criminal, matrimonial ???(Sina uhakika kama na hii ni civil kwa mtindo wa mahakama)etc.
Ukipitia TanzLII, utaina kuwa judgements zote za sasa ni kuhusu matrimonial.
Swali langu: Criminal session ndiyo inasubiriwa?
Tuelimishane Erythrocyte madeleka, Mshana Jr na wengine
Sina kijembe. Naangalia trend ya kesi za sasa Court of appeal ni matrimonial/ civil. Last month it was commercial.... Najaribu kwenda mnai, nikijua fika kuna mkono wa SamiaMkuu unauliza kweli au ni kijembe? Lissu hana kesi yoyote na anashikiliwa kwa amri ya Samia. Anaogopa akitoka anaweza kuanzisha amsha amsha na ikawa mbaya kwa sababu watu bado wana maumivu. Halafu walivyo wajinga wanadhani alichofanya Mbowe na Lissu naye atafanya.