Kuchelewa kwa chanjo ya Corona Afrika

Kuchelewa kwa chanjo ya Corona Afrika

luangalila

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2014
Posts
6,346
Reaction score
6,928
Wadau, hii habari huenda ikawa sio nzuri kabisaa hasa kwa taifa kama la Kenya, Rwanda ambayo kila kunapokucha wanashindana kuandikisha visa vipya.

Sasa kufuatia kuibuliwa kwa chanjo ya Covid, wataalm wanadai bara la Afrika litakuwa la mwisho kupatiwa chanjo hiyo.

Hapa wazungu wamewa-betray Kenya, na Rwanda, lakini pia inatoa somo ya umuhimu wa Africa kwa pamoja kuwa na kituo cha magonjwa na chanjo chenye watalaam.
 
We huoni huko kenya. Watu wafaa !
Japo kuna friend of mine, anaishi kenya jamaa ananiambia kenya wananigiza tu ili kula fungu la corona litolewalo na wathungu
Mkuu kinachowaua watu ni underlying conditions,not what is called C-19 disease,huu ni utapeli wa Wazungu.Imagine hospitali zetu zote Tanzania zinge-report people dying of any disease that they are dying of C-19,what would the picture be,I believe not very different from the US!Sasa hiyo ndio situation na hali halisi,people need to wake up.

And then kumbuka kwamba the RT-PRT kit
(Reverse Transcription Polymerase Chain Reaction Test),haikupaswa kutumiwa kupimia C-19,it is simply the wrong gadget.Inatoa fake data,na ni makusudi,for an evil agenda.Unakumbuka issue ya mapapai?Hiyo ndiyo hali halisi.
 
Mkuu kinachowaua wetu ni underlying conditions,not what is called C-19 disease,ni utapeli wa Wazungu.Imagine hospitali zetu zote Tanzania zinge-report people dying of any disease that they are dying of C-19,what would the picture be,I believe not very different from the US!Sasa hiyo ndio situation na hali halisi,people need to wake up.

And then kumbuka kwamba the RT-PRT
(Reverse Transcription Polymerase Chain Reaction Test) haikupaswa kutumiwa kupimia C-19,it is simply the wrong gadget.Inatoa fake data,na ni makusudi,for an evil agenda.Unakumbuka issue ya mapapai?Hiyo ndiyo hali halisi.
😃😃 Hayo mambo tuwa achie wa kenya na corona ..sasa sijui hawajiuliz iyo chanjo wao kwann wawe wa mwisho kupewa kwan wao si binadamu kqma wazungu
 
😃😃 Hayo mambo tuwa achie wa kenya na corona ..sasa sijui hawajiuliz iyo chanjo wao kwann wawe wa mwisho kupewa kwan wao si binadamu kqma wazungu
Unajua,huwa nashangaa,hivi kwa nini hawajiulizi kwa nini Tanzania hatuna situation kama yao?Na kwa nini wasije kutuuliza siri ya mafanikio yetu? Inashangaza sana.Lipo jambo.
 
Unajua,huwa nashangaa,hivi kwa nini hawajiulizi kwa nini Tanzania hatuna situation kama ya yao?Na kwa nini wasije kutuuliza siri ya mafanikio yetu? Inashangaza sana.Lipo jambo.
Hakuna usicho kijua ni kuwa kuna fungu la mapambano ya corona lina tolewa na mataifaa ya ulaya kwa nchi maskini , ss Viongoz wa kenya wameona iyo fursa so wana ji nyakulia fedha za bure....... Of which naona ni vyema pia kunyakua fedha za bwerere
 
Tujiandae..chanjo yetu ni spesho oda..
Toleo la mwisho!!!
Mungu tulunde
Mungu tuepushe Mbali...
 
Hakuna usicho kijua ni kuwa kuna fungu la mapambano ya corona lina tolewa na mataifaa ya ulaya kwa nchi maskini , ss Viongoz wa kenya wameona iyo fursa so wana ji nyakulia fedha za bure....... Of which naona ni vyema pia kunyakua fedha za bwerere
Seriously ni vema mkuu! Hiyo si hela haramu kabisa,unachukua hela haramu,halafu unatesa wananchi wako,Duh!Kweli binadamu tumeharibika.Kwa hiyo Magufuli ni mjinga angepiga hiyo hela,mmmmh!
 
Seriously ni vema mkuu! Hiyo si hela haramu kabisa,unachukua hela haramu,halafu unatesa wananchi wako,Duh!Kweli binadamu tumeharibika.Kwa hiyo Magufuli ni mjinga angepiga hiyo hela,mmmmh!
Hela haramu ki vipi ilihali serikal ya kenya ina pewa as msaada ! We una fikiri pale kenya watu hawafanyi kqzi zao as usually ? Iv we una fikir Uhuru ni zezeta ? Pale kenya for your information watu wenye kqzi zile za kqwaida wana piga kazi kama kawaida tu isipo kuwa watu wana shauriwa kuchukua tahadhar kama kuvaa barakoa, issue za distance.

We huoni siku izi wana jikusanya ktk mikutano as usually . ! Akili ni nywele zipo kichwan kila mtu ana za kwake
 
Hivyo tuliyozidi idadi ya nyongeze tutapunguzwa????
Ndio mpango wao.Kazi kubwa moja wapo ya hiyo chanjo ni kupunguza watu,"depopulation."Taarifa zinasema wanataka 500 million humans tu Worldwide.Hata hivyo wao wanapanga yao na Mungu anapanga yake,kwa hiyo tuendelea kumuomba Mungu,kama sio mpango wake hawatafanikiwa.
 
Hili suala Rais wetu Magufuli atalisimamia kwa umakini mkubwa alishatoa wito kwa Wizara ya Afya kuangalia kwa umakini, sio kila chanjo tunayoletewa tunameza tu.
 
Hili suala Rais wetu Magufuli atalisimamia kwa umakini mkubwa alishatoa wito kwa Wizara ya Afya kuangalia kwa umakini, sio kila chanjo tunayoletewa tunameza tu.
Bongo huo upuuzi wao hautatakatiza. Hivyo vitu vipo kwa ajili ya kuyumbisha wendawazimu tu. Nitamshangaa sana mwafrika yeyote atakayetaka huo ujinga.
 
Back
Top Bottom