Ntaghacha
JF-Expert Member
- Jul 28, 2020
- 1,412
- 4,122
Kwa hiyo Guinea pigs wa kaskazini hawatapata wa Kwanza mkuu?😜😜Wadau, hii habari huenda ikawa sio nzuri kabisaa hasa kwa taifa kama la Kenya, Rwanda ambayo kila kunapokucha wanashindana kuandikisha visa vipya.
Sasa kufuatia kuibuliwa kwa chanjo ya Covid, wataalm wanadai bara la Afrika litakuwa la mwisho kupatiwa chanjo hiyo.
Hapa wazungu wamewa-betray Kenya, na Rwanda, lakini pia inatoa somo ya umuhimu wa Africa kwa pamoja kuwa na kituo cha magonjwa na chanjo chenye watalaam.