luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
We huoni huko kenya. Watu wafaa !Hivi unaamini kwamba ugonjwa unaoitwa Corona upo kweli? Dah, kweli wajinga ndio waliwao.
Mkuu kinachowaua watu ni underlying conditions,not what is called C-19 disease,huu ni utapeli wa Wazungu.Imagine hospitali zetu zote Tanzania zinge-report people dying of any disease that they are dying of C-19,what would the picture be,I believe not very different from the US!Sasa hiyo ndio situation na hali halisi,people need to wake up.We huoni huko kenya. Watu wafaa !
Japo kuna friend of mine, anaishi kenya jamaa ananiambia kenya wananigiza tu ili kula fungu la corona litolewalo na wathungu
ππ Hayo mambo tuwa achie wa kenya na corona ..sasa sijui hawajiuliz iyo chanjo wao kwann wawe wa mwisho kupewa kwan wao si binadamu kqma wazunguMkuu kinachowaua wetu ni underlying conditions,not what is called C-19 disease,ni utapeli wa Wazungu.Imagine hospitali zetu zote Tanzania zinge-report people dying of any disease that they are dying of C-19,what would the picture be,I believe not very different from the US!Sasa hiyo ndio situation na hali halisi,people need to wake up.
And then kumbuka kwamba the RT-PRT
(Reverse Transcription Polymerase Chain Reaction Test) haikupaswa kutumiwa kupimia C-19,it is simply the wrong gadget.Inatoa fake data,na ni makusudi,for an evil agenda.Unakumbuka issue ya mapapai?Hiyo ndiyo hali halisi.
Unajua,huwa nashangaa,hivi kwa nini hawajiulizi kwa nini Tanzania hatuna situation kama yao?Na kwa nini wasije kutuuliza siri ya mafanikio yetu? Inashangaza sana.Lipo jambo.ππ Hayo mambo tuwa achie wa kenya na corona ..sasa sijui hawajiuliz iyo chanjo wao kwann wawe wa mwisho kupewa kwan wao si binadamu kqma wazungu
Hakuna usicho kijua ni kuwa kuna fungu la mapambano ya corona lina tolewa na mataifaa ya ulaya kwa nchi maskini , ss Viongoz wa kenya wameona iyo fursa so wana ji nyakulia fedha za bure....... Of which naona ni vyema pia kunyakua fedha za bwerereUnajua,huwa nashangaa,hivi kwa nini hawajiulizi kwa nini Tanzania hatuna situation kama ya yao?Na kwa nini wasije kutuuliza siri ya mafanikio yetu? Inashangaza sana.Lipo jambo.
Seriously ni vema mkuu! Hiyo si hela haramu kabisa,unachukua hela haramu,halafu unatesa wananchi wako,Duh!Kweli binadamu tumeharibika.Kwa hiyo Magufuli ni mjinga angepiga hiyo hela,mmmmh!Hakuna usicho kijua ni kuwa kuna fungu la mapambano ya corona lina tolewa na mataifaa ya ulaya kwa nchi maskini , ss Viongoz wa kenya wameona iyo fursa so wana ji nyakulia fedha za bure....... Of which naona ni vyema pia kunyakua fedha za bwerere
Chanjo inakuja mkuu,jiandae kisaikolojia kuikubali au kuikataa and repercussions after that.Tujiandae..chanjo yetu ni spesho oda..
Toleo la mwisho!!!
Mungu tulunde
Mungu tuepushe Mbali...
Hela haramu ki vipi ilihali serikal ya kenya ina pewa as msaada ! We una fikiri pale kenya watu hawafanyi kqzi zao as usually ? Iv we una fikir Uhuru ni zezeta ? Pale kenya for your information watu wenye kqzi zile za kqwaida wana piga kazi kama kawaida tu isipo kuwa watu wana shauriwa kuchukua tahadhar kama kuvaa barakoa, issue za distance.Seriously ni vema mkuu! Hiyo si hela haramu kabisa,unachukua hela haramu,halafu unatesa wananchi wako,Duh!Kweli binadamu tumeharibika.Kwa hiyo Magufuli ni mjinga angepiga hiyo hela,mmmmh!
Hivyo tuliyozidi idadi ya nyongeze tutapunguzwa????Chanjo inakuja mkuu,jiandae kisaikolojia kuikubali au kuikataa and repercussions after that.
Ndio mpango wao.Kazi kubwa moja wapo ya hiyo chanjo ni kupunguza watu,"depopulation."Taarifa zinasema wanataka 500 million humans tu Worldwide.Hata hivyo wao wanapanga yao na Mungu anapanga yake,kwa hiyo tuendelea kumuomba Mungu,kama sio mpango wake hawatafanikiwa.Hivyo tuliyozidi idadi ya nyongeze tutapunguzwa????
ππ Hayo mambo tuwa achie wa kenya na corona ..sasa sijui hawajiuliz iyo chanjo wao kwann wawe wa mwisho kupewa kwan wao si binadamu kqma wazungu
Yaani Kenyatta ni mtu mbaya sana mkuu,amekubali wananchi wake wafanywe Guinea Pigs!Inasikitisha sana kwa kweli.ππ
Wakenya ni watu wa kufanyia majaribio (Guinea pigs) tu.
π€£ππ
Bongo huo upuuzi wao hautatakatiza. Hivyo vitu vipo kwa ajili ya kuyumbisha wendawazimu tu. Nitamshangaa sana mwafrika yeyote atakayetaka huo ujinga.Hili suala Rais wetu Magufuli atalisimamia kwa umakini mkubwa alishatoa wito kwa Wizara ya Afya kuangalia kwa umakini, sio kila chanjo tunayoletewa tunameza tu.