Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kupost pia UMECHELEWA!🤦Habari zenu binadam wenzangu, wanajamii wenzangu , natumai ni wazima wote....
Swali linalo nisumbua na kunitesa hadi sasa ni kwanini nipo kwenye mfumo wa kuchelewa chelewa sipati jbu...
Nmekuelewa sana .. mkuu kwanza raman ya maisha kisha ndoa.. nashukuru sanaKijana mdogo tuliza akili, unataka kukimbilia wapi? Ongeza juhudi na mipango hujachelewa, na usikimbilie kuoa kabla hujapata ramani ya maisha.. kama shughuli unazofanya hazikuendelezi tafuta shughuli nyingine, fanya kwa bidii na jiwekee malengo utafanikiwa
Unapenda kutoa pole wewe. Sijawahi pita sehemu nikakosa kuona umetoa pole.Pole mkuu bado hujachelewa
Unapenda kutoa pole wewe. Sijawahi pita sehemu nikakosa kuona umetoa pole.
Ninawatia moyo mkuuUnapenda kutoa pole wewe. Sijawahi pita sehemu nikakosa kuona umetoa pole.
@cariha kipenzi tolea mifano wabongo wenzako wazungu sio wenzetu kabisaa [emoji16][emoji16][emoji16]Kwenye maisha hamna kuchelewa wala kuwahi na kila jambo na majira na wakati wake ka ilivo maandiko, so usihuzunike panga mikakati ya kuvuka kwenda hatua nyingine imagine miaka hyo 30 ni wangapi hawapo duniani ka wewe, imagine trump kapata Urais na miaka 70s while Obama alipata Urais kwenye umri wa 50s ka sikosei, Joe biden alijaribu mara nyingi ila amekuja kupata Uraisi mda sahihi kwake huku umri ukiwa mkubwa kabisa. So usi regret njoo na new strategy za kukuvusha mengine huchelewa kwenye maisha Ili kujifunza na tu grow kwanza ku handle situation. Pia waweza pata mafanikio ghafla lakini ukafariki mapema, tushukuru kwa kila jambo jamani
Hapa ndio unamtufutia stroke then kifo.Oa tu ili uwe serious na maisha