Kuchelewa kwangu kunanitisha sana

Kuchelewa kwangu kunanitisha sana

@cariha kipenzi tolea mifano wabongo wenzako wazungu sio wenzetu kabisaa [emoji16][emoji16][emoji16]
Ila kama kwer... iv iyo mifano ya hao wazungu wametokea familia za kitajiri ujue ... sasa inakuaje inakuwaje inafananishwa na maisha ya watu wauku
 
Huku ni kachalala mbwa Koko ni mwendo wa kunuka umasikini.. usifananishe wazungu na utopolo wa huku Africa asee [emoji848]
 
Mda wako bado sana ila nimegundua kitu hao wanaokulazimu kuoa ndo presha ipo hapo kuna sister mwezi mmoja uliopita alitimiza miaka kam yako sema yeye ana position nzuri kazini pesa anayo ni mchapa kazi sasa mi sijui maisha yake ila wakati watu wanamuwish mara wanampost akiwa kweny gari yake mara kwake amejenga kigamboni

kuna kundi kubwa wanamwambia sijui wanamtania ila kama wanamlaumu eti umri wa 30 huna mtoto wala mchumba ila nikaona kama anachukia fulani na kujiona mnyonge wamkazania hat mi nikajua kumbe hana mtoto ni mtu mzima kabisa analea wadogo zake hapo kwake na kuna katoto kapiga nacho picha kumbe ni mtoto wa mdogo wake
 
Mshukuru Mungu kwa uhai na afya njema. Pili mshukuru Mzee kwa kukufukuza nyumbani.
Tatu jishukuru kwa kugundua kwamba unatakiwa kufanya kitu kuhusu maisha yako.
Kumbuka hatuwezi kufanana wote, kuna watu wametokea familia za kitajiri na hawana mwelekeo, kuna wengine wametoka familia masikini na wako safi tu, kuna watu wana umri mkubwa mambo yao hovyohovyo tu, hapohapo kuna watoto wadogo tu ki umri wako vizuri hatari. Usijilanganishe sana na mtu ila hakikisha kila siku unafanya jambo hata kama ni dogo kuelekea kukuhamisha hatua moja kwenda nyingine.
 
Habari zenu binadam wenzangu, wanajamii wenzangu , natumai ni wazima wote....

Swali linalo nisumbua na kunitesa hadi sasa ni kwanini nipo kwenye mfumo wa kuchelewa chelewa sipati jbu....

Umri wa mwanadamu wa kuishi ni miaka 60 tu, na mimi miaka 30 sasa ni Nusu ya umri wa binadam kuishi duniani ila sioni nilichofanya hadi sasa najiona nimechelewa

Mfano halisi ,baadhi ya sehemu nilizochelewa

Mzee wangu alinipa matumaini makubwa sana ya kusapoti life pindi mafao yatakapo toka(pensheni) ila mafao yake yalipoingia tu akanipiga chini na kunifukuza home kabisa bila sababu za msingi... (30yrs now) NIMECHELEWA

Sasa Nina miaka 30, ila nina miezi mitatu tu hadi sasa ya kupanga sijawahi kupanga... NIMECHELEWA

Sijawahi kuajiriwa hata siku 1. Ila nimewahi kufanya kazi chuo kikuu ya kurekebisha na kutengeneza vifaa vya maabara mfano kutengeneza test tube, kuripea burrets zilizovunjika kwa muda wa miaka 3 pale chuo kikuu (UDSM) bila malipo. (30yrs now)NIMECHELEWA

Nina majonzi ya kutengeneza app tokea nna miaka 25 ninajfunza tu ninajfunza Ila hazijanipa muelekeo wowote .. (30yrs now) NIMECHELEWA

Napenda sana kufanya project zangu mwenyewe lkn Kila nikipanga mipango haitimii kwa wakati, inachelewa sana sana na haijatimia hadi sasa ..(30yrs now) NIMECHELEWA

Sasa Ndugu Wameanza kunitamkia live, mbele ya sura yangu nioe wameniona ..NIMECHELEWA

Marafiki zangu wote wana watoto kasoro mimi tu .. (30yrs now) NIMECHELEWA

Hadi sasa sina mpenzi wakusema huyu nifanye nae life hahaha.. (30yrs now) NIMECHELEWA

Miaka 14 imepita tokea nimalize form 4, sioni jambo la msingi nililofanya (30yrs now) NIMECHELEWA

Pesa yangu siielewi inaingia kimazabe zabe,
niliwatengenezea watu wawili website, mmoja ni mtu maarufu tu star mkubwa mwenye kanisa lake town hapa ila aliishia kuniahidi tu, mwisho wa siku niliambulia elfu 20 yake kutoka kwenye makubaliano ya 600,000sh nayo alinipa kwa sababu alijistukia kupoteza muda wangu

Mwingine ametoka kunipa elfu 30 wakati alitakiwa kunipa 500,000 sh na story kibao za kuninyima haki yangu.
Miaka 30 nafanya dili dhaifu kama hizi kweli NIMECHELEWA

Almost kila siku tokea mwaka huu uingie nawaza kusafisha nyota...ila mwez wa kumi sasa ..

-----------------NIMECHELEWA----------------

Ok huku kuchelewa nakuona sio kwa kawaida

Yoyote Aseme kitu kinaweza kuwa mwanga wa safari yangu...
Una bahati sana ila hujui tu, hapo huna familia na usilogwe kufanya hivyo.

Una opportunity nyingi za kuweza kuangalia maisha mengine popote hapa duniani huna bond yoyote na Tanzania.

Kumbuka kuna watu wanateseka kwa sababu ya bond za familia hawawezi kuziacha familia zao zisambaratike kwenda kuangalia maisha kwingine, kumbuka wewe ni raia wa dunia unaweza kuishi nchi yoyote na mambo yakajipa.

Tanzania ndio nchi pekee dunisni hajuriksni aliyesoma nani na asiyesoma nani.
 
Mda wako bado sana ila nimegundua kitu hao wanaokulazimu kuoa ndo presha ipo hapo kuna sister mwezi mmoja uliopita alitimiza miaka kam yako sema yeye ana position nzuri kazini pesa anayo ni mchapa kazi sasa mi sijui maisha yake ila wakati watu wanamuwish mara wanampost akiwa kweny gari yake mara kwake amejenga kigamboni

kuna kundi kubwa wanamwambia sijui wanamtania ila kama wanamlaumu eti umri wa 30 huna mtoto wala mchumba ila nikaona kama anachukia fulani na kujiona mnyonge wamkazania hat mi nikajua kumbe hana mtoto ni mtu mzima kabisa analea wadogo zake hapo kwake na kuna katoto kapiga nacho picha kumbe ni mtoto wa mdogo wake
Huyo tatizo lake ni tabia mbaya, ila wewe huwezi kuzijuwa.

Ni ngumu sana mwanamke smart kukosa life partner au sperm donor.

Kuna vidada vikishakuwa na check number ni tatizo na dharau kedekede na kujiona wapo class ya juu wakati wanaume wenye class hizo hawana time nao.
 
wako wengi yaani hapo 27 27 mpaka 28 hawan watoto na hawana wasiwasi huyo dada ni mtani sana sidhani kama anadharau mtu wa kjichanganya mno
 
Habari zenu binadam wenzangu, wanajamii wenzangu , natumai ni wazima wote....

Swali linalo nisumbua na kunitesa hadi sasa ni kwanini nipo kwenye mfumo wa kuchelewa chelewa sipati jbu....

Umri wa mwanadamu wa kuishi ni miaka 60 tu, na mimi miaka 30 sasa ni Nusu ya umri wa binadam kuishi duniani ila sioni nilichofanya hadi sasa najiona nimechelewa

Mfano halisi ,baadhi ya sehemu nilizochelewa

Mzee wangu alinipa matumaini makubwa sana ya kusapoti life pindi mafao yatakapo toka(pensheni) ila mafao yake yalipoingia tu akanipiga chini na kunifukuza home kabisa bila sababu za msingi... (30yrs now) NIMECHELEWA

Sasa Nina miaka 30, ila nina miezi mitatu tu hadi sasa ya kupanga sijawahi kupanga... NIMECHELEWA

Sijawahi kuajiriwa hata siku 1. Ila nimewahi kufanya kazi chuo kikuu ya kurekebisha na kutengeneza vifaa vya maabara mfano kutengeneza test tube, kuripea burrets zilizovunjika kwa muda wa miaka 3 pale chuo kikuu (UDSM) bila malipo. (30yrs now)NIMECHELEWA

Nina majonzi ya kutengeneza app tokea nna miaka 25 ninajfunza tu ninajfunza Ila hazijanipa muelekeo wowote .. (30yrs now) NIMECHELEWA

Napenda sana kufanya project zangu mwenyewe lkn Kila nikipanga mipango haitimii kwa wakati, inachelewa sana sana na haijatimia hadi sasa ..(30yrs now) NIMECHELEWA

Sasa Ndugu Wameanza kunitamkia live, mbele ya sura yangu nioe wameniona ..NIMECHELEWA

Marafiki zangu wote wana watoto kasoro mimi tu .. (30yrs now) NIMECHELEWA

Hadi sasa sina mpenzi wakusema huyu nifanye nae life hahaha.. (30yrs now) NIMECHELEWA

Miaka 14 imepita tokea nimalize form 4, sioni jambo la msingi nililofanya (30yrs now) NIMECHELEWA

Pesa yangu siielewi inaingia kimazabe zabe,
niliwatengenezea watu wawili website, mmoja ni mtu maarufu tu star mkubwa mwenye kanisa lake town hapa ila aliishia kuniahidi tu, mwisho wa siku niliambulia elfu 20 yake kutoka kwenye makubaliano ya 600,000sh nayo alinipa kwa sababu alijistukia kupoteza muda wangu

Mwingine ametoka kunipa elfu 30 wakati alitakiwa kunipa 500,000 sh na story kibao za kuninyima haki yangu.
Miaka 30 nafanya dili dhaifu kama hizi kweli NIMECHELEWA

Almost kila siku tokea mwaka huu uingie nawaza kusafisha nyota...ila mwez wa kumi sasa ..

-----------------NIMECHELEWA----------------

Ok huku kuchelewa nakuona sio kwa kawaida

Yoyote Aseme kitu kinaweza kuwa mwanga wa safari yangu...
Hujachelewa, na hasa kwa kuwa umejitafakari.
Unapofanya kazi yako, hakikisha unajiwekea mazingira ya kuhakikisha unapata malipo ya kazi husika. Umetengeneza website, hulipwi, Kwa nini huzizimi au kuwanyima access wahusika ili wakulipe.
Ukiwa unapata malipo ya kazi zako, basi kila ndoto yako itatimia. Kwa ufupi, tengeneza kipato cha uhakika, usitegemee vya kupewa.
 
kwenye maisha hakuna kuwahi wala kuchelewa,kila jambo ni kwa muda wake na Mungu ndio hujua jambo gani na atupe kwa muda upi,

Hao unaowafanyia kazi uwe unaandikishana nao au kabla ya kuwafanyia kazi wawe wanakulipa 50% ya gharama na ukimaliza kazi zao wanamalizia 50% iliyobaki,

Mfano mmoja ni Biden amekua Rais wa USA akiwa na umri wa miaka 78

Babu wa Loliondo alitoboa uzeeni,
Mzee mpili kapata umaarufu uzeeni
Pierre liquid katoboa uzeeni...

Enjoy ur life bro,usisubiri kukamilisha jambo fulani ndio uwe na furaha,uhai wenyewe ni zawadi tosha kabisa,

Good luck Brother.
Mkuu Pierre Liquid Mzee?
 
Sijaona ukilaumu umechelewa kufa maana wapo wanaokufa chini ya 30yrs

Jifunze kushukuru kwa yote kuna watu wa umri wako hawana ulivyo navyo wewe na bado Wana matumaini

Kwa miaka 30 bado kijana kabisa na muda wa kutimiza yote hayo bado upo

Sijaona sehemu ulipo chelewa ni suala la muda tu mambo yatakuwa powa
Asipokuelewa hapa labda aende sayari nyingine akaishi, good advice.
 
Pambana bongo life n ngumu sana mm aliekua ananipa ushauri ye mwenyewe alijinyonga nikabak mm niliekata tamaa kwahiyo maisha hayanaga mwenyewe yakiamua kukuchenjia yanakuchezeshea bakora ujana wako wote na kukuacha uyafaidi uzeeni, au uyafaidi ujanani na uteseke uzeeni au yakucharaze bakora mwanzo mwisho japo wapo wanaoishi vizuri mwanzo mwisho haya yote kaandaliwa mwanadamu ndo maana mwsho wa siku kuna kifo kwa wote pale ndo usawa unarudi ila dunian hakuna usawa Cha msingi tufanye kaz kwa bidii na tumuombe Mungu.
 
SI Bora ungenitengenezea Mimi app nikupe hata laki Moja duh ila asee yaani amekupa 20000,30000 tu halafu Ni ma star...wakati mm kapuku ningekuwezesha nyingi Zaidi pole Sana ndo maana naonaga Bora mtu ufanye kazi na maskini kuliko na matajiri maana Wana dharau hawalipi madeni

Miaka 30 mbona huna tofauti na Mimi 28....
Sina mke
Sina mtoto
Sina mchumba
Bht nzuri tu Mimi Nimefanikiwa kuingia Serikali mwaka huu pole tusikate tamaa...tutafute mademu wa vijijini ndo rahisi kuwazalisha Hawa wa mjini cum a Nina zao
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
wako wengi yaani hapo 27 27 mpaka 28 hawan watoto na hawana wasiwasi huyo dada ni mtani sana sidhani kama anadharau mtu wa kjichanganya mno
Wewe pia inaonekana bado mdogo, huwajui wanawake.

Mwanamke anaweza kufurahi na kuchat fresh na watu baki akirudi home anambadirishia sura mwenza wake.

Ni vile tu Tanzania ndoa siyo swala la wanandoa wawili limekaa kiokoo zaidi, lakini tungekuwa free kama wazungu bila kuwaza watasemaje, watanifikiriaje, ndugu zangu nitawaambia nini, basi nakuhakikishia 50% ya ndoa zilizopo watu wangeshadivorce, ndoa nyingi ziko ICU, zinaendelea kuwepo kwa sababu batili tu wala hazina mashiko.
 
Back
Top Bottom