zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Maneno Meier,
Nchi na serikali ni vitu viwili tofauti. Kuisaliti serikali YES kuisaliti nchi NO.
zitto alichofanya ni kutaka serikali izuiliwe mkopo ili ifanye marekebisho kwenye sera zake nothin much na baada ya hapo mkopo utakuja tu sasa hapo usaliti ukwapi?
Mpaka sasa sijaona mtu akikosoa content ya barua zaidi ya vitisho na kumuita msaliti, embu jitokeze ujibu hapo Checks and balances zitakua assured vp ilihali kuna party absolutism katika ngazi zote? Vipi kuhusu sera ya kubagua mabinti waliozaa je sio hoja ya mashiko?
Nchi ni zaidi ya serikali hata siku moja msitafsiri anayeipinga serikali anaipinga nchi.... Ndio maana Iran inawekewa vikwazo vya uchumi nia sio kuumiza raia bali kuidhoofisha serikali iliopo madarakani ili ikose uhalali wa kuendelea kuongoza mpaka itakapobadili sera zake fulani fulani.
Tuache kufungamanisha mambo.