Kuchunguza simu ya mpenzi wangu mwisho ilikuwa 2017, siwezi na sirudii

Umeolewa tena au uko single?
 
ONYO: SIMU YA MWANAUME NI KITUNGUU MAJI
 
Mimi wangu alikua ananilazimisha nikaoge niache sim

Nikaenda kumbe yeye anataka kukagua....narudi nakutana na swali Aisha ni nani sijakaa sawa vicky na prisila ni Nani zako

Aisee
 
mkuu huu uandishi ni madeni wapi?
 
Enzi nakua nilifanya hii kitu, na nikakutana na exactly nilichokua natafuta.
Tangia siku hyo nikajiapiza sitagusa simu ya mwanaume na imekua hivyo hadi leo sinaga interest na simu ya mtu
[emoji1787][emoji1787] pole sana .. simu ya mwanaume usishike ata siku moja.. shika labda kutuma pesa na mambo ya kijamii.. simu ya mwanaume ukipekua utakutana na mazito sababu mwanaume ni mtu anayetumiwa (picha na video) kutoka mchepuko ili amdatishe so ujipange ukiamua kushika
 
Nilishika adabu mbona, kwa sasa kama nikiishika basi nitamuomba kwanza ili kama ana mambo yake afute nisione na nitafanya kile nachohitaji kama kutumia internet basi yaan yale mambo ya msingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…