Kudadadeki malipo ni hapa hapa duniani kumbe kuna Mtu Kakimbiwa na Mkewe, ila Watu wa Media na Wadhamini wake wanamfichia Siri

Haikufanyi kuwa bora zaidi ya mtu yeyote duniani

Hukujizaa masaki
 
Haikufanyi kuwa bora zaidi ya mtu yeyote duniani

Hukujizaa masaki
Senge hilo usimtilie maanani, wenye maisha mazuri kutoka familia bora hawana majivuno wala hawana muda wa porojo kwenye mitandao, huyo umaskini na ufukara plus jobless ndio vinamsumbuwa.
 
Wameyataka wenyewe 😂😂😂
 
Matusi ya nini mkuu
 
We vp bana..acha uongo! Unasema ni mke wa 2 anamkimbia wakati ni mke wa 5! Mbona unampunguzia namba hivyo?
 
Hopeless Wewe..... Mwanaume kukimbiwa na Wake mara Mbili ni Sifa? Sasa kama si Aibu mbona anahaha Kuficha hili Jambo na hatimaye Mfukunyuaji Mightier nimelipata kama lilivyo?

Mwambieni aendelee tu Kubwabwaja!!
Kwahiyo unamtisha ama.? Vipi kama akikuambia ni kawaida na maisha yanaenda.
 
KWA NIABA YA MANYARA WA UTO FC !! NAMWOMBEA MSAMAHA KWA WATANZANIA WOTE ....

ILA NASKIA NI WIFE WA 7 ASEEEH ,,,,ata syo wa 2 .....

Na mimi mnisamehe piah [emoji120][emoji123]
 
Kuzaliwa kokote si tija pia jinsi anavyojiropokea na kutukana watu na jinsi ambavyo alikuwa anatoa Siri alipotoka kwangu kapoteza credibility ni vile bongo tuna ushabiki maandazi na watu hawaelewi hata conflict of interest ni kitu gani
Au wewe ndiye ulikuwa nkewe na ndo umemuacha mumeo?
 
Dah hapana kuolewa tu na mwanaume design ya Manara labda niwe kichaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sema hajakupiga sound Tu

Akikupiga unampeleka mwenyewe
 
Halafu Os
Oscar Oscar kanyamaza kimya
 
Senge hilo usimtilie maanani, wenye maisha mazuri kutoka familia bora hawana majivuno wala hawana muda wa porojo kwenye mitandao, huyo umaskini na ufukara plus jobless ndio vinamsumbuwa.
Safi sana, kuna dogo yule Jerome wa Ruge humkuti hata siku moja anabishana na mtu,ni business after bussiness na sidhani km kuna area ya kishua hapo Dar hajawai kukaa acha huko BK real humble man.
Na mzee karudi najua kakuta kila kitu kiko mahali pake.
Na dogo issue ya babaake hajawai hata kuongea hata siku moja ila chini kwa chini wameshughulika haswa.
Kongolee kwa hiyo familia kwakweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…