Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,219
- 4,608
GENTAMYCINE from Rorya na Manara sijui wana gombea nini? Ni maneno kila siku tangu Manara aondoke SIMBAMbona taarifa imekaa kishankupe sana. Mtaje jina acha unafiki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
GENTAMYCINE from Rorya na Manara sijui wana gombea nini? Ni maneno kila siku tangu Manara aondoke SIMBAMbona taarifa imekaa kishankupe sana. Mtaje jina acha unafiki
Haikufanyi kuwa bora zaidi ya mtu yeyote dunianiJuha mkubwa Wewe naona umeumia sana Kukuambia nimezaliwa Masaki na sasa nakuongezea Nyumba niliyozaliwa hapo hapo Chole Road Jirani zangu walikuwa ni Balozi Masilingi, Mzee Mmari ( Profesa ) na Nyumba ya mwisho aliishi Waziri wa Ardhi sasa Mzee Lukuvi.
Na Kuzaliwa pia nimezaliwa Agha Khan Hospital iliyo Jirani na Ikulu yako na baraka ya Kwanza niliipata kutoka Kwake Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere na Mkewe Mama Maria kwa Kunibeba na hata Jina langu halisi alilolitoa ni Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere.
Lofa na Juha kama Wewe haunisumbui.
Bado mkuu,embu mtag hapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona yupo Ndugu? Hujamuona tu bado?
Senge hilo usimtilie maanani, wenye maisha mazuri kutoka familia bora hawana majivuno wala hawana muda wa porojo kwenye mitandao, huyo umaskini na ufukara plus jobless ndio vinamsumbuwa.Haikufanyi kuwa bora zaidi ya mtu yeyote duniani
Hukujizaa masaki
Wameyataka wenyewe 😂😂😂Juha mkubwa Wewe naona umeumia sana Kukuambia nimezaliwa Masaki na sasa nakuongezea Nyumba niliyozaliwa hapo hapo Chole Road Jirani zangu walikuwa ni Balozi Masilingi, Mzee Mmari ( Profesa ) na Nyumba ya mwisho aliishi Waziri wa Ardhi sasa Mzee Lukuvi.
Na Kuzaliwa pia nimezaliwa Agha Khan Hospital iliyo Jirani na Ikulu yako na baraka ya Kwanza niliipata kutoka Kwake Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere na Mkewe Mama Maria kwa Kunibeba na hata Jina langu halisi alilolitoa ni Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere.
Lofa na Juha kama Wewe haunisumbui.
Matusi ya nini mkuuKumbe tunaongea na watoto hapa au unajikweza bila kuwa na ufahamu wowote ule masikini mkunduh kunuka.
Tuliozaliwa Dar, hasa miaka ya 70's maternity ilikuwa ni ocean road, ukimwambia mtu yeyote muelewa umezaliwa hospitali nje ya ocean atakushangaa sana na magumashi yako ndio yatakuwa hadharani.
Muhimbili medical center haikuwa na martenity by that time usiongelee kabisa Agha Khan.
Madaktari Bingwa wote wanatoka Muhimbili National hospital Kumer wewe mbumbumbu kabisa fukara namba moja JF Nzima.
We vp bana..acha uongo! Unasema ni mke wa 2 anamkimbia wakati ni mke wa 5! Mbona unampunguzia namba hivyo?Kumbe huu Upole wa hizi Wiki Mbili ni za Kuwaza jinsi ulivyooa kwa Mikogo ( japo waliofanikisha Ndoa yako ndiyo hao hao tena Wanakusaidia Kazi ) na sasa Mke Kakukimbia na unahaha Kumrudisha ila mpaka Mightier naandika Uzi huu hujafanikiwa bado.
Na ili uone kuwa Watu tunajua Kufukunyua Taarifa Ngumu na Nyeri za Kijamii ni kwamba kumbe hata ile Siku uliyotudanganya umepata Ajali Usiku Mkeo alikupiga na Kukuumiza kidogo kwakuwa ulirejea Kwako ukiwa Umelewa Chakari kama Kawaida yako na uliogopa kwenda katika Interview yako kwa Majizzo FM kwakuwa Uso ulikuwa Umeshaumuliwa na Kuumuka vizuri tu.
Ulivyokuwa Ukiwatukana Watu na Kuwadhihaki ulijua kuwa Mwenyezi Mungu hatowajibia kwa namna ya Kipekee? Haya sasa kipo wapi? Huyu ni Mke wa Pili anakukimbia hujiulizi na hujishangai tu?
Siri imeshafichuka Kudadadeki na bado!
Kwahiyo unamtisha ama.? Vipi kama akikuambia ni kawaida na maisha yanaenda.Hopeless Wewe..... Mwanaume kukimbiwa na Wake mara Mbili ni Sifa? Sasa kama si Aibu mbona anahaha Kuficha hili Jambo na hatimaye Mfukunyuaji Mightier nimelipata kama lilivyo?
Mwambieni aendelee tu Kubwabwaja!!
Au wewe ndiye ulikuwa nkewe na ndo umemuacha mumeo?Kuzaliwa kokote si tija pia jinsi anavyojiropokea na kutukana watu na jinsi ambavyo alikuwa anatoa Siri alipotoka kwangu kapoteza credibility ni vile bongo tuna ushabiki maandazi na watu hawaelewi hata conflict of interest ni kitu gani
Dah hapana kuolewa tu na mwanaume design ya Manara labda niwe kichaaAu wewe ndiye ulikuwa nkewe na ndo umemuacha mumeo?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Dah hapana kuolewa tu na mwanaume design ya Manara labda niwe kichaa
Hapana kwa kweli sumu haijaribiwi kwa kuonjwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sema hajakupiga sound Tu
Akikupiga unampeleka mwenyewe
Oscar Oscar kanyamaza kimyaKumbe huu Upole wa hizi Wiki Mbili ni za Kuwaza jinsi ulivyooa kwa Mikogo ( japo waliofanikisha Ndoa yako ndiyo hao hao tena Wanakusaidia Kazi ) na sasa Mke Kakukimbia na unahaha Kumrudisha ila mpaka Mightier naandika Uzi huu hujafanikiwa bado.
Na ili uone kuwa Watu tunajua Kufukunyua Taarifa Ngumu na Nyeri za Kijamii ni kwamba kumbe hata ile Siku uliyotudanganya umepata Ajali Usiku Mkeo alikupiga na Kukuumiza kidogo kwakuwa ulirejea Kwako ukiwa Umelewa Chakari kama Kawaida yako na uliogopa kwenda katika Interview yako kwa Majizzo FM kwakuwa Uso ulikuwa Umeshaumuliwa na Kuumuka vizuri tu.
Ulivyokuwa Ukiwatukana Watu na Kuwadhihaki ulijua kuwa Mwenyezi Mungu hatowajibia kwa namna ya Kipekee? Haya sasa kipo wapi? Huyu ni Mke wa Pili anakukimbia hujiulizi na hujishangai tu?
Siri imeshafichuka Kudadadeki na bado!
Ndo yeyeDah huyu mwandishi ana 'sound' kama The Late GENTAMYCINE.
Safi sana, kuna dogo yule Jerome wa Ruge humkuti hata siku moja anabishana na mtu,ni business after bussiness na sidhani km kuna area ya kishua hapo Dar hajawai kukaa acha huko BK real humble man.Senge hilo usimtilie maanani, wenye maisha mazuri kutoka familia bora hawana majivuno wala hawana muda wa porojo kwenye mitandao, huyo umaskini na ufukara plus jobless ndio vinamsumbuwa.