Kudadadeki malipo ni hapa hapa duniani kumbe kuna Mtu Kakimbiwa na Mkewe, ila Watu wa Media na Wadhamini wake wanamfichia Siri

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Genta...acha kupaniki...mwanamke akikimbia unaachana naye, unavuta chuma kipya, wachuchu wapo kibwena
Genta ni nani Kwako na JamiiForums?
 
Kama una maana ya manara sio kweli,kwani mkewe yupo nae na siyo tu kwamba eti alimkimbia,bali hata kumgusa hajawahi

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Huna unachokijua Swine Wewe na ukiona Mightier nimekuja na Taarifa hapa JamiiForums tafadhali kaa Kimya kwani huwa sibahatishi sawa?

au unataka niseme na lingine jipya tena la Aibu linalomuhusu na ambalo nimeamua kuliweka Kiporo kwa sasa?

Nasubiri Siku tu akitutukana wana Simba SC nilimwage hadharani ndipo ujue kuwa nikitaka kujua Jambo huwa sishindwi na Sikosei.
 
Nilitegemea ningekutana na ushahidi wa video au audio
 
Sawa
 
Komredi Genta kwa majungu.....

Mpe pole sana beki wako JOASH ONYANGO kwa kuwa "flop" juzi na kusababisha magoli mawili ya kizembe mno dhidi ya Mali kufikia kutolewa nje dakika ya 35 🀣🀣🀣
Inaonyesha huyo ( huyu ) Genta amewakaza Wengi na Kuwakuneni vilivyo hadi kila mara wengi wenu mnapenda Kumtaja.

Nahisi huko aliko Genta anafurahi zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…