MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
- Thread starter
- #41
Genta ni nani Kwako na JamiiForums?😂😂😂 Genta...acha kupaniki...mwanamke akikimbia unaachana naye, unavuta chuma kipya, wachuchu wapo kibwena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Genta ni nani Kwako na JamiiForums?😂😂😂 Genta...acha kupaniki...mwanamke akikimbia unaachana naye, unavuta chuma kipya, wachuchu wapo kibwena
BugatiMbona taarifa imekaa kishankupe sana. Mtaje jina acha unafiki
Huna unachokijua Swine Wewe na ukiona Mightier nimekuja na Taarifa hapa JamiiForums tafadhali kaa Kimya kwani huwa sibahatishi sawa?Kama una maana ya manara sio kweli,kwani mkewe yupo nae na siyo tu kwamba eti alimkimbia,bali hata kumgusa hajawahi
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
SawaKumbe huu Upole wa hizi Wiki Mbili ni za Kuwaza jinsi ulivyooa kwa Mikogo ( japo waliofanikisha Ndoa yako ndiyo hao hao tena Wanakusaidia Kazi ) na sasa Mke Kakukimbia na unahaha Kumrudisha ila mpaka Mightier naandika Uzi huu hujafanikiwa bado.
Na ili uone kuwa Watu tunajua Kufukunyua Taarifa Ngumu na Nyeri za Kijamii ni kwamba kumbe hata ile Siku uliyotudanganya umepata Ajali Usiku Mkeo alikupiga na Kukuumiza kidogo kwakuwa ulirejea Kwako ukiwa Umelewa Chakari kama Kawaida yako na uliogopa kwenda katika Interview yako kwa Majizzo FM kwakuwa Uso ulikuwa Umeshaumuliwa na Kuumuka vizuri tu.
Ulivyokuwa Ukiwatukana Watu na Kuwadhihaki ulijua kuwa Mwenyezi Mungu hatowajibia kwa namna ya Kipekee? Haya sasa kipo wapi? Huyu ni Mke wa Pili anakukimbia hujiulizi na hujishangai tu?
Siri imeshafichuka Kudadadeki na bado!
Na Meno yake yale Meusi na Njano au?Ataoa tena
Sijui.Atakuwa msemaji
Atakuwa msemaji mkubwa wa utopolo.
Kwa Domo lile na Meno yale ataachaje Kukimbiwa kwa mfano Ndugu?Sasa kama wewe ni Mwanaume Rijali utakimbiwaje na Mwanamke kwa Mfano?
Sijui.Manara
Inaonyesha huyo ( huyu ) Genta amewakaza Wengi na Kuwakuneni vilivyo hadi kila mara wengi wenu mnapenda Kumtaja.Komredi Genta kwa majungu.....
Mpe pole sana beki wako JOASH ONYANGO kwa kuwa "flop" juzi na kusababisha magoli mawili ya kizembe mno dhidi ya Mali kufikia kutolewa nje dakika ya 35 🤣🤣🤣
Kwisha Kwisha Habari YakeNa Meno yake yale Meusi na Njano au?
Mzee wa Uto kama UtoBila kumtaja mhusika kwa jina, huu Uzi wako Ni chaiView attachment 1968790
Siku ile alichezea Kichapo na Kuumuka Uso.Nilishangaa kwa abavyopenda trend hakuweka hata picha ya ajali???
Kwa mdomo wa Semaji kwenye midia tu inaonekana vichambo anavyokula mke huko ndani akizingua sio vya kitoto!Huyo jamaa mbona alishaachwa na mke karibia week ya 3 sasa,kisa kulewa na ugomvi kila siku,mke anadai jamaa ana mdomo mchafu
Duh kuna watu bado wana akili ksma zako