Kudadadeki malipo ni hapa hapa duniani kumbe kuna Mtu Kakimbiwa na Mkewe, ila Watu wa Media na Wadhamini wake wanamfichia Siri

Kudadadeki malipo ni hapa hapa duniani kumbe kuna Mtu Kakimbiwa na Mkewe, ila Watu wa Media na Wadhamini wake wanamfichia Siri

😂😂😂 Genta...acha kupaniki...mwanamke akikimbia unaachana naye, unavuta chuma kipya, wachuchu wapo kibwena
Genta ni nani Kwako na JamiiForums?
 
Kama una maana ya manara sio kweli,kwani mkewe yupo nae na siyo tu kwamba eti alimkimbia,bali hata kumgusa hajawahi

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Huna unachokijua Swine Wewe na ukiona Mightier nimekuja na Taarifa hapa JamiiForums tafadhali kaa Kimya kwani huwa sibahatishi sawa?

au unataka niseme na lingine jipya tena la Aibu linalomuhusu na ambalo nimeamua kuliweka Kiporo kwa sasa?

Nasubiri Siku tu akitutukana wana Simba SC nilimwage hadharani ndipo ujue kuwa nikitaka kujua Jambo huwa sishindwi na Sikosei.
 
Kumbe huu Upole wa hizi Wiki Mbili ni za Kuwaza jinsi ulivyooa kwa Mikogo ( japo waliofanikisha Ndoa yako ndiyo hao hao tena Wanakusaidia Kazi ) na sasa Mke Kakukimbia na unahaha Kumrudisha ila mpaka Mightier naandika Uzi huu hujafanikiwa bado.

Na ili uone kuwa Watu tunajua Kufukunyua Taarifa Ngumu na Nyeri za Kijamii ni kwamba kumbe hata ile Siku uliyotudanganya umepata Ajali Usiku Mkeo alikupiga na Kukuumiza kidogo kwakuwa ulirejea Kwako ukiwa Umelewa Chakari kama Kawaida yako na uliogopa kwenda katika Interview yako kwa Majizzo FM kwakuwa Uso ulikuwa Umeshaumuliwa na Kuumuka vizuri tu.

Ulivyokuwa Ukiwatukana Watu na Kuwadhihaki ulijua kuwa Mwenyezi Mungu hatowajibia kwa namna ya Kipekee? Haya sasa kipo wapi? Huyu ni Mke wa Pili anakukimbia hujiulizi na hujishangai tu?

Siri imeshafichuka Kudadadeki na bado!
Sawa
 
Komredi Genta kwa majungu.....

Mpe pole sana beki wako JOASH ONYANGO kwa kuwa "flop" juzi na kusababisha magoli mawili ya kizembe mno dhidi ya Mali kufikia kutolewa nje dakika ya 35 🤣🤣🤣
Inaonyesha huyo ( huyu ) Genta amewakaza Wengi na Kuwakuneni vilivyo hadi kila mara wengi wenu mnapenda Kumtaja.

Nahisi huko aliko Genta anafurahi zaidi.
 
Back
Top Bottom