Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Ili kutambua tabia ya mtu, subiri apate pesa au umaarufu.Bila kumtaja mhusika kwa jina, huu Uzi wako Ni chaiView attachment 1968790
Namsikitikia yule msichana, alijitoa kwa mapenzi ya hali na mali.
Nadhani ile video ya kunengua na Wema Sepenga imechangia pia.
Maana ile mikatiko ilikuwa ni ya hatari sana.
Mume mwenye Mke kucheza hadharani anatakiwa kucheza kwa staha fulani na mwanamke yeyote akiwemo Mkewe wa ndoa.
Na pombe ndio catalyst mkubwa sana maana. Ina cause changes on substance huku iki remain unchanged at the end of chemical reaction.