Kudai Israeli ni Taifa la Mungu huku Wayahudi wakimkaata Yesu, ni ushahidi hizi dini zimejaa uongo mwingi

Kudai Israeli ni Taifa la Mungu huku Wayahudi wakimkaata Yesu, ni ushahidi hizi dini zimejaa uongo mwingi

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Kabla sijaenda mbali, kwanza nikiri mimi ni Mkristo, ila Ukristo wangu sio sababu ya kutohoji hata kama mtasema imani yangu ni ndogo.

Tukirudi kwenye mada, huku kwetu ukimpinga Kristo, hutaeleweka na utachakuliwa kuwa ni mwenye dhambi na unastahiili kuombewa.

Hata hivyo, cha kushangaza, wakati sisi tunaodai Israel ni Taifa telule la Mungu, Wayahudi wenyewe hawamkubali Yesu, na wameukataa kabisa Ukristo.

Kwa kifupi, jambo hili linaweza kuwa ni ushahidi tosha kuwa katika hizi dini, kuna mambo ya kutunga katika hivi tunavyovitta vitabu vitakatifu na huenda ni maandiko/aya zote ni uongo au baadhi ya maandiko/aya ndio za uongo .

Pia, nawaza,Tulia watanzania wengi hawamkubali, lakini huko nje ya nchi wamemkubali na kumpa cheo kikubwa tu. Je, ndio yale yale ya Wayahudi kumkataa Yesu na sisi huku kumkubali kama Mwana wa Mungu?

Hakika maswali ni mengi kuliko majibu.
 
Kabla sijaenda mbali, nikiri mimi ni Mkristo kwa dini ila sio sababu ya kutohoji hata kama mtasema imani yangu ni ndogo.

Tukirudi kwenye mada, huku kwetu ukimpinga Kristo, hutaeleweka na utachakuliwa kuwa ni mwenye dhambi...
Si mwanadamu amesema ,ni Mungu amesema. Wewe uliye udongo tu unamuuliza mfinyanzi? Usiniambie Mungu, kama wanakosea atawaadhibu yeye mwenyewe siyo Wewe.
 
Dai kwamba Israeli ingali taifa teule la Mungu ni sawa kabisa na ule ulaghai mkubwa wa Ukatoliki kwamba lenyewe ni Kanisa la Mungu lililokabidhiwa ufunguo wa Mtume Petro wenye mamlaka duniani & mbinguni (Mat. 16:18, 19).

Huu ni ughashashi wa kidini, tena uliokubuhu!

Hata hivyo Mwisraeli mmoja mmoja akimkubali Bwana Yesu anaokolewa.

Warumi 11
[13] Lakini nasema na ninyi, mlio watu wa Mataifa. Basi, kwa kadiri nilivyo mtume wa watu wa Mataifa, naitukuza huduma iliyo yangu,

[14] nipate kuwatia wivu walio damu moja na mimi [Wayahudi] na kuwaokoa baadhi yao.

[15] Maana ikiwa kutupwa kwao kumeleta upatanisho kwa ulimwengu, je! Kukubaliwa kwao kutakuwa nini kama si uhai baada ya kufa?

[16] Tena malimbuko yakiwa matakatifu, kadhalika na donge lote; na shina likiwa takatifu, matawi nayo kadhalika.

[17] Lakini iwapo matawi mengine yamekatwa, na wewe mzeituni mwitu ulipandikizwa kati yao, ukawa mshirika wa shina la mzeituni na unono wake,

[18] usijisifu juu ya matawi yale; au ikiwa wajisifu, si wewe ulichukuaye shina, bali ni shina likuchukualo wewe.

[19] Basi utasema, Matawi yale yalikatwa kusudi ili nipandikizwe mimi.

[20] Vema. Yalikatwa kwa kutokuamini kwao, na wewe wasimama kwa imani yako. Usijivune, bali uogope.

[21] Kwa maana ikiwa Mungu hakuyaachia matawi ya asili [Wayahudi], wala hatakuachia wewe.

[30] Kwa maana kama ninyi zamani mlivyomwasi Mungu, lakini sasa mmepata rehema kwa kuasi kwao;

[31] kadhalika na hao wameasi sasa, ili kwa kupata rehema kwenu wao nao wapate rehema.

[32] Maana Mungu amewafunga wote pamoja katika kuasi ili awarehemu wote.
 
Si mwanadamu amesema ,ni Mungu amesema. Wewe uliye udongo tu unamuuliza mfinyanzi? Usiniambie Mungu, kama wanakosea atawaadhibu yeye mwenyewe siyo Wewe.
Wengine kumkataa Yesu ni sawa na kumkataa Mungu, ila wengine wanamkataa wazi wazi na bado wanaitwa ni Taifa telule la Mungu!!

Kuna logic hapa kweli?
 
Wao wana sababu zao, wewe pia unapaswa usome ili kujua ukweli

Nimeisoma Biblia, Kweli nayoiamini mimi ni kuwa Kristo Yesu ndio Bwana na Mwokozi wangu, hata dunia nzima ikimkana haitobadilisha imani yangu
Imani inafanya watu wasihoji, na ndio maana hata Wafuasi wa Kibwetere hawakuhoji matokeo yake wakaangamia.
 
Ukatoriki ulifikaje Rome-Italy na kuwa dhehebu la kwenye ukristo.
Anglican wamekuaje waingereza na ni christians.
Lutheran pia nao ni vipi.
Mwamposa, Gwajima, Mzee wa upako nk wanatofauti gani na hao wengine kuanzia Vatican mpaka pale church of London.

Biblia imeanzia pale mashariki ya kati Israeli, na biblia hiyohiyo inasema Israeli ndio Taifa teule.. na sio Tanzania wala Kenya..

Yaani Mwenyezi Mungu muumba wa mbingu na ardhi atuumbe wooote na mataifa yetu halafu aibariki Israeli na waIsraeli.
 
Imani inafanya watu wasihoji, na ndio maana hata Wafuasi wa Kibwetere, hawakuhoji matokeo yake wakaangamia.
ukielewa maana ya imani,utagundua kuhoji ni dalili ya ugonjwa wa akili.

imani inakuelewa uamini Mungu aliumba mtu kwa matope,akawaje na nyama??huhoji hili wewe mbioooo mpaka kwenye uteule wa israeli.

bangi bila msosi.
 
Sikuhtaji kusoma content ya trd...!
Tangu nifahamu ya kwamba YESU alizaliwa nazareth na alisurubiwa btlhem na bado mpaka leo wakazi wa huko uyahudini hawamwamini na kumtukuza YAHWE wamapokeo!!?, nikajiona mi ni mjinga sana kutukuza elimu ya nadharia ingali imeelekeza chimbuko ni wapi lakini kulekule chimbukoni wanaidis na kuikataa!!!
Huu ni UZWAZWA!!

Halafu bado hadi leo hii kuna wajinga wanaendelea kutuaminisha eti Israel taifa teule na wanaenda kuhiji na kutoa sadaka!!

Kumbe ndo maana wazungu wanaendelea kuja AFRICA na mikataba yao ya KIPUMBAVU coz wanapitia mlemle kwenye akili za mababu zao kwamba bado tumelala!!!
 
Kabla sijaenda mbali, kwanza nikiri mimi ni Mkristo ila Ukristo wangu sio sababu ya kutohoji hata kama mtasema imani yangu ni ndogo.

Tukirudi kwenye mada, huku kwetu ukimpinga Kristo, hutaeleweka na utachakuliwa kuwa ni mwenye dhambi na unatahiili kuombewa.

Hata hivyo, cha kushangaza na sisi sisi tunaodai Israel ni Taifa telule la Mungu huku Wayahudi wakiwa hawamkubali Yesu na wengi wa hao Wayahudi wameukaa kristo. Ajabu sana!

Kwa kifupi, jambo hili linaweza kuwa ni ushahidi tosha kuwa katika hizi dini, kuna mambo ya kutunga katika hivi tunavyovitta vitabu vitakatifu na huenda ni maandiko/aya zote ni uongo au baadhi ya maandiko/aya ndio za uongo .

Pia, nawaza,Tulia watanzania wengi hawamkubali, lakini huko nje ya nchi wamemkubali na kumpa cheo kikubwa tu. Je, ndio yale yale ya Wayahudi kumkataa Yesu na sisi huku kumkubali kama Mwana wa Mungu?

Hakika maswali ni mengi kuliko majibu.
Njoo nkusilimishe
 
Sikuhtaji kusoma content ya trd...!
Tangu nifahamu ya kwamba YESU alizaliwa nazareth na alisurubiwa btrhem na bado mpaka leo wakazi wa huko uyahudini hawamwamini na kumtukuza YAHWE wamapokeo!!?, nikajiona mi ni mjinga sana kutukuza elimu ya nadharia ingali imeelekeza chimbuko ni wapi lakini kulekule chimbukoni wanaidis na kuikataa!!!
Huu ni UZWAWA!!

Halafu bado hadi leo hii kuna wajinga wanaendelea kutuaminisha eti Israel taifa teule na wanaenda kuhiji na kutoa sadaka!!

Kumbe ndo maana wazungu wanaendelea kuja AFRICA na mikataba yao ya KIPUMBAVU coz wanapitilia mlemle kwenye akili za mababu zao kwamba bado tumelala!!!
wazungu wataendelea kuwapiga,sababu kwenye kila uzembe mlio nao mnatafuta sababu😆😆😆

wewe unapigwa kwa uzembe wako,unajaribu kuisingizia imani.
 
Back
Top Bottom