YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Badilisha kichwa cha mada yako andika kwa mawazo yakoKabla sijaenda mbali, kwanza nikiri mimi ni Mkristo ila Ukristo wangu sio sababu ya kutohoji hata kama mtasema imani yangu ni ndogo.
Tukirudi kwenye mada, huku kwetu ukimpinga Kristo, hutaeleweka na utachakuliwa kuwa ni mwenye dhambi na unatahiili kuombewa.
Hata hivyo, cha kushangaza ni sisi sisi tunaodai Israel ni Taifa telule la Mungu huku Wayahudi wakiwa hawamkubali Yesu na wengi wa hao Wayahudi wameukaa kristo. Ajabu sana!
Kwa kifupi, jambo hili linaweza kuwa ni ushahidi tosha kuwa katika hizi dini, kuna mambo ya kutunga katika hivi tunavyovitta vitabu vitakatifu na huenda ni maandiko/aya zote ni uongo au baadhi ya maandiko/aya ndio za uongo .
Pia, nawaza,Tulia watanzania wengi hawamkubali, lakini huko nje ya nchi wamemkubali na kumpa cheo kikubwa tu. Je, ndio yale yale ya Wayahudi kumkataa Yesu na sisi huku kumkubali kama Mwana wa Mungu?
Hakika maswali ni mengi kuliko majibu.
Ndipo wengine tutakujibu
Lakini ulichoandika bila kubadilisha kaa na ubwege wako