Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Acha upotoshaji, Waisrael ni wasabato kwahiyo wasabato wanampiga Yesu? hayo ni maneno ya mtaani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una maswali fikirishi na magumuWengine kumkataa Yesu ni sawa na kumkataa Mungu, ila wengine wanamkataa wazi wazi na bado wanaitwa ni Taifa telule la Mungu!!
Kuna logic hapa kweli?
Duh!Imani inafanya watu wasihoji, na ndio maana hata Wafuasi wa Kibwetere, hawakuhoji matokeo yake wakaangamia.
Onyesha ushahidi ni wapi waisrael wanamkataa Yesu iwe kwenye biblia au kwa matamshi yaoWengine kumkataa Yesu ni sawa na kumkataa Mungu, ila wengine wanamkataa wazi wazi na bado wanaitwa ni Taifa telule la Mungu!!
Kuna logic hapa kweli?
Shida watu wakipata pesa kidogo au wakiwa na afya njema huwa hawaoni uwepo wa Yesu wala Mungu subiri awe kwenye shida, hata Babu Oseya(mwanamziki) wakati yupo gerezani alituma ujumbe kuwa siku akitoka gerezani atamtukuza MUNGU na kumtumikia lakini baada ya kutoka akarudi kule kule. Lisu alipigwa risasi 38 lakini hakufa hapo hapo kuna watu wakipigwa hata na manati wanakufa.ukielewa maana ya imani,utagundua kuhoji ni dalili ya ugonjwa wa akili.
imani inakuelewa uamini Mungu aliumba mtu kwa matope,akawaje na nyama??huhoji hili wewe mbioooo mpaka kwenye uteule wa israeli.
bangi bila msosi.
Inashangaza sana mkuu.. haya mambo ni kuyaacha tuKabla sijaenda mbali, kwanza nikiri mimi ni Mkristo ila Ukristo wangu sio sababu ya kutohoji hata kama mtasema imani yangu ni ndogo.
Tukirudi kwenye mada, huku kwetu ukimpinga Kristo, hutaeleweka na utachakuliwa kuwa ni mwenye dhambi na unatahiili kuombewa.
Hata hivyo, cha kushangaza na sisi sisi tunaodai Israel ni Taifa telule la Mungu huku Wayahudi wakiwa hawamkubali Yesu na wengi wa hao Wayahudi wameukaa kristo. Ajabu sana!
Kwa kifupi, jambo hili linaweza kuwa ni ushahidi tosha kuwa katika hizi dini, kuna mambo ya kutunga katika hivi tunavyovitta vitabu vitakatifu na huenda ni maandiko/aya zote ni uongo au baadhi ya maandiko/aya ndio za uongo .
Pia, nawaza,Tulia watanzania wengi hawamkubali, lakini huko nje ya nchi wamemkubali na kumpa cheo kikubwa tu. Je, ndio yale yale ya Wayahudi kumkataa Yesu na sisi huku kumkubali kama Mwana wa Mungu?
Hakika maswali ni mengi kuliko majibu.
Imani ni ukichaa.Una maswali fikirishi na magumu
Unachotakiwa ni kuamini tu Israel ni Taifa teule bila kijali kuwa sio wakristo na hawamkubali Yesu
sina shaka katika shibe na majivuno kutoka kwa binaadam,kiumbe binaadam akishiba hujaa dharau na majivuno.Shida watu wakipata pesa kidogo au wakiwa na afya njema huwa hawaoni uwepo wa Yesu wala Mungu subiri awe kwenye shida, hata Babu Oseya(mwanamziki) wakati yupo gerezani alituma ujumbe kuwa siku akitoka gerezani atamtukuza MUNGU na kumtumikia lakini baada ya kutoka akarudi kule kule. Lisu alipigwa risasi 38 lakini hakufa hapo hapo kuna watu wakipigwa hata na manati wanakufa.
Wayahudi wanamkataa Yesu kuwa siyo Masihi.Onyesha ushahidi ni wapi waisrael wanamkataa Yesu iwe kwenye biblia au kwa matamshi yao
Bara la Africa, utumwa wa kinguvu ulishaisha.mtasingizia kila kitu,ila wanaowafilimba ni viongozi ambao ni weusi wenzenu wengi hawaamini hata hizo imani mnazodhani ni sababu.
Tuwaombeesina shaka katika shibe na majivuno kutoka kwa binaadam,kiumbe binaadam akishiba hujaa dharau na majivuno.
ni heri huyu ambaye hujaa dharau baada ya kujihisi ni imara,kuliko yule ambaye hujifanya anajua kufikiri, wakati hata sekunde moja ijayo hana uwezo wa kuitabiri kwa ufasaha.
Onyesha ushahidiWayahudi wanamkataa Yesu kuwa siyo Masihi.
Kwa yanayotokea tanzania huoni kuwa tanzania tumelaaniwaUkatoriki ulifikaje Rome-Italy na kuwa dhehebu la kwenye ukristo.
Anglican wamekuaje waingereza na ni christians.
Lutheran pia nao ni vipi.
Mwamposa, Gwajima, Mzee wa upako nk wanatofauti gani na hao wengine kuanzia Vatican mpaka pale church of London.
Biblia imeanzia pale mashariki ya kati Israeli, na biblia hiyohiyo inasema Israeli ndio Taifa teule.. na sio Tanzania wala Kenya..
Yaani Mwenyezi Mungu muumba wa mbingu na ardhi atuumbe wooote na mataifa yetu halafu aibariki Israeli na waIsraeli.
Bado hujajibu hoja ya msingi hapa.siyo kweli ni kwamba tu labda hauelewi vizuri, wayahudi siyo wakristo kwanza wayahudi walifukuzwa Ulaya karibia yote kuanzia uhispania, uingereza na mpaka Ujerumani, hata USA na australia wayahudi wameanza kuruhusiwa hivi karibuni na sababh KUU ilikuwa ni Dini kwani hizo nchi zote zilikuwa za kikristo hapo awali.
sasa kinachoendelea sasa hivi ni upotoshaji au tuseme divide and conqure, wayahudi wana power duniani ya monitory unaweza kusema wanatawala dunia hata greenberg wa royal tour na raisi samia ni myahudi pia, hivyo wayahudi wanawachonganisha waislamu na wakristo ili wawatwale wore wawili, ukiangalia anayefund mass immigration of muslims to western world ni wayahudi, leo hii nchi za ulaya zimejaa muslims ambao wana culture tofauti na wanataka sharia ulaya na USA.
hivyo kuwa muangalifu usichanganye dini, siasa na power …
Onyesha ushahidi ni wapi waisrael wanamkataa Yesu iwe kwenye biblia au kwa matamshi yao
Lugha unayoongea, ilianzia Marekani.Wao wana sababu zao, wewe pia unapaswa usome ili kujua ukweli
Nimeisoma Biblia, Kweli nayoiamini mimi ni kuwa Kristo Yesu ndio Bwana na Mwokozi wangu, hata dunia nzima ikimkana haitobadilisha imani yangu