Ila uzuri hulazimishwi kuamini hivyo sawa na ambavyo hupaswi kumlazimisha mtu aamini unachokiamini wewe, hiyo ndio maana ya imani tofauti na sayansi.Suala la wayahudi ku ni wateule wa Mungu ni uongo uliopachikwa kwenye bible
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila uzuri hulazimishwi kuamini hivyo sawa na ambavyo hupaswi kumlazimisha mtu aamini unachokiamini wewe, hiyo ndio maana ya imani tofauti na sayansi.Suala la wayahudi ku ni wateule wa Mungu ni uongo uliopachikwa kwenye bible
Mungu asie na upendeleo, kapendelea Taifa moja!!Kuwa IsraeI ni taifa takatifu hilo ni la Mwenyekiti Mungu mwenyewe muumba wa Mbingu na nchi na yeye ndiye anayejua kwanini amelichagua taifa hilo kuwa takatifu.hilo halituhusu na sisi binadamu hatuna uwezo wa kuhoji.wewe kiumbe tu unahoji maamuzi ya Mungu?unajua nini wewe?
Tatizo husomi Neno alilokupa Mungu. Utajuaje sasa?Kuwa IsraeI ni taifa takatifu hilo ni la Mwenyekiti Mungu mwenyewe muumba wa Mbingu na nchi na yeye ndiye anayejua kwanini amelichagua taifa hilo kuwa takatifu.hilo halituhusu na sisi binadamu hatuna uwezo wa kuhoji.wewe kiumbe tu unahoji maamuzi ya Mungu?unajua nini wewe?
Hizo ni story za kusikiaHuo ndio ukweli, jaribu kufuatilia hilo utagundua, wakristo wanaonekana kama mbwa tu ndani ya Israeli.View attachment 2811201
Hatari sn mkuuMkuu sio kweli, mbona wenye imani wanalazwa pamoja na wasio na imani hospitalini? Kwa nini Yesu asiwaondelee hilo tena mbele ya wasio amini?
Fanya utafitiMkuu huwezi kujibu swali la mleta hoja kwa kutumia chanzo kilicho sababisha swali lake
🤨
Ndiyo maana hata Hamas walipiga sabato wakiwa mapumzikoniWayahudi ni Wasabato?! Wasabato hawahawa ..Wapare,Wajaluo na Wajiya au Kuna Usabato mwingine!
Hao wana uhasama wa kudumu, tulizaliwa wanapigana na tutakufa tukiwaacha wanapigana.Hebu nikubali hoja yako for the sake of argument......Sasa nini kifanyike.....Maana kila attempt toka 1948, 1967, 1973 inashindwa......tunaona Gaza inamegwa vipande viwili mbele ya kadamnasi ya dunia....Iran, na mataifa ya kiarabu yanatoa matamko tu....What is the solution.....Wanachoweza kulia ni cease fire...cease fire...Humanitarian aid....Humanitarian aid.....Solution ni nini ndugu yangu Steven.....Ponda kajaribu kwenda kufanya Maandamano, Plosi CCM imemzua....labda ingesaidia......Nini kifanyike...?
INRI (IESVS NAZARENVS REX IVDÆORVM) au kwa Kiswahili "Ywsu Mnzareti Mfalme wa Mayahudi"Wengine kumkataa Yesu ni sawa na kumkataa Mungu, ila wengine wanamkataa wazi wazi na bado wanaitwa ni Taifa telule la Mungu!!
Kuna logic hapa kweli?
Evangelical Christians wa Marekani ndio wapo mstari wa mbele kuiunga mkono Israel kwa hiyo hoja kuwa ni taifa teule la Mungu, na mafundisho yao yameenea mpaka huku Africa na wengi kuamini hivyo.Kabla sijaenda mbali, kwanza nikiri mimi ni Mkristo, ila Ukristo wangu sio sababu ya kutohoji hata kama mtasema imani yangu ni ndogo.
Tukirudi kwenye mada, huku kwetu ukimpinga Kristo, hutaeleweka na utachakuliwa kuwa ni mwenye dhambi na unastahiili kuombewa.
Hata hivyo, cha kushangaza, wakati sisi tunaodai Israel ni Taifa telule la Mungu, Wayahudi wenyewe hawamkubali Yesu, na wameukataa kabisa Ukristo.
Kwa kifupi, jambo hili linaweza kuwa ni ushahidi tosha kuwa katika hizi dini, kuna mambo ya kutunga katika hivi tunavyovitta vitabu vitakatifu na huenda ni maandiko/aya zote ni uongo au baadhi ya maandiko/aya ndio za uongo .
Pia, nawaza,Tulia watanzania wengi hawamkubali, lakini huko nje ya nchi wamemkubali na kumpa cheo kikubwa tu. Je, ndio yale yale ya Wayahudi kumkataa Yesu na sisi huku kumkubali kama Mwana wa Mungu?
Hakika maswali ni mengi kuliko majibu.
Nimesoma hiyo Mwanzo 49:10 sijaelewa kabisa hoja yako, sijaona pale walipomkana Yesu na Yesu kwenye Agano la kale hakuwepo.Jews believe the Messiah will be a direct (blood) descendant of King David through Solomon on his father's side and will be born naturally to a husband and wife (Genesis 49:10, Isaiah 11:1, Jeremiah 23:5, 33:17; Ezekiel 34:23–24).
"The point is this: that the whole Christology of the Church - the whole complex of doctrines about the Son of God who died on the Cross to save humanity from sin and death - is incompatible with Judaism, and indeed in discontinuity with the Hebraism that preceded it."[18]
Kiasili, 'kristo', siyo jina la Yesu. Ni neno lililotoholewa kutoka kwenye neno christos, kwenye lugha ya Kigiriki. Neno hilo Christos kwa Kiebrania lilitafsiriwa kama meshiah (messiah), linalomaanisha, 'mpakwa mafuta'.Mimi ni mkristo ila nawaambia kupitia bibilia yesu hakusema wafuasi wangu muitwe wakristo. Yesu anamajina mengi sana kwenye bibilia hadi mengne anayakataa mfano jina mwema. Kristo,mwana wa adamu,kweli,mwana wa mungu n.k ni majina tu yalyotumika kumtambulisha yesu. Kwa hyo kristo ni jina na sio dini
Kwani imani ni nini?.Ata mada uliyoileta inatokana na imani pia.kwasababu wote hatukuwepo na hatujui nikwanini iko hivyo zaidi yakusoma tu vitabu ambavyo sio lazima uviamini.Zote hizi ni imani ambazo hakuna mwenye uhakika kama ziko sahihi au ni mambo ya kufikirika tu kwa malengo fulani.
Umeongea pointi mkuuShida watu wakipata pesa kidogo au wakiwa na afya njema huwa hawaoni uwepo wa Yesu wala Mungu subiri awe kwenye shida, hata Babu Oseya(mwanamziki) wakati yupo gerezani alituma ujumbe kuwa siku akitoka gerezani atamtukuza MUNGU na kumtumikia lakini baada ya kutoka akarudi kule kule. Lisu alipigwa risasi 38 lakini hakufa hapo hapo kuna watu wakipigwa hata na manati wanakufa.
Labda niiweke sawa hoja yako.....Ni ugomvi wa Imani kuliko watu wanavyofikiri.......Kila upande hiyo ardhi ni sacred ...Halafu interests nyingine zinakuja juu yake.....Myahudi na Mapelestine wote wana historical attachment na hiyo ardhi.....! HAKUNA ANAWEZA KUWEKA SAWA HILO TATIZO....NI KULIPOOZA TU!Hao wana uhasama wa kudumu, tulizaliwa wanapigana na tutakufa tukiwaacha wanapigana.