Ne HecheKama kasema hivyo kweli ni uthibitisho tosha kwamba mbowe alishafika bei!.
Ccm ya sasa ni ya wahuni inatakiwa kupata viongozi wa upinzani aina ya lissu!.
Uingereza na marekani rais/waziri mkuu akitafuta awamu ya pili, uchaguzi hufanyika bila nchi kuwa na rais au waziri mkuu?Nimeona mitandaoni juu ya kauli hii ya Mbowe kuwa CHADEMA ya sasa chini Lissu haijengi hoja kama ilivyokuwa akina Mtei na Bob Makani.
Hii sio kweli kabisa. Sasa Hivi Lissu na Heche ndio wanahoja za mashiko. Kwa katiba hii ya CCM ambayo hata mtu hajapigiwa kura anakuwa madarani utaingia ikulu? Lissu ana hoja zenye mashiko. Maana taifa letu linahitaji Katiba mpya ili likae sawa.
Mbowe ni kibaraka wa CCM.
Mbowe anahitaji ushauri wa saikolojia. Hajaamini kama alishindwa uenyekitiNimeona mitandaoni juu ya kauli hii ya Mbowe kuwa CHADEMA ya sasa chini Lissu haijengi hoja kama ilivyokuwa akina Mtei na Bob Makani.
Hii sio kweli kabisa. Sasa Hivi Lissu na Heche ndio wanahoja za mashiko. Kwa katiba hii ya CCM ambayo hata mtu hajapigiwa kura anakuwa madarani utaingia ikulu? Lissu ana hoja zenye mashiko. Maana taifa letu linahitaji Katiba mpya ili likae sawa.
Mbowe ni kibaraka wa CCM.
Amesemea wapi hili..?Nimeona mitandaoni juu ya kauli hii ya Mbowe kuwa CHADEMA ya sasa chini Lissu haijengi hoja kama ilivyokuwa akina Mtei na Bob Makani.
Hii sio kweli kabisa. Sasa Hivi Lissu na Heche ndio wanahoja za mashiko. Kwa katiba hii ya CCM ambayo hata mtu hajapigiwa kura anakuwa madarani utaingia ikulu? Lissu ana hoja zenye mashiko. Maana taifa letu linahitaji Katiba mpya ili likae sawa.
Mbowe ni kibaraka wa CCM.
Huyu mbowe tumbo lake lina njaa na mshibishaji wake ni ccmNimeona mitandaoni juu ya kauli hii ya Mbowe kuwa CHADEMA ya sasa chini Lissu haijengi hoja kama ilivyokuwa akina Mtei na Bob Makani.
Hii sio kweli kabisa. Sasa Hivi Lissu na Heche ndio wanahoja za mashiko. Kwa katiba hii ya CCM ambayo hata mtu hajapigiwa kura anakuwa madarani utaingia ikulu? Lissu ana hoja zenye mashiko. Maana taifa letu linahitaji Katiba mpya ili likae sawa.
Mbowe ni kibaraka wa CCM.
Nimeona mitandaoni juu ya kauli hii ya Mbowe kuwa CHADEMA ya sasa chini Lissu haijengi hoja kama ilivyokuwa akina Mtei na Bob Makani.
Hii sio kweli kabisa. Sasa Hivi Lissu na Heche ndio wanahoja za mashiko. Kwa katiba hii ya CCM ambayo hata mtu hajapigiwa kura anakuwa madarani utaingia ikulu? Lissu ana hoja zenye mashiko. Maana taifa letu linahitaji Katiba mpya ili likae sawa.
Mbowe ni kibaraka wa CCM.
Na mimi nimeisikia kauli yake. Pamoja na kwamba hakusema moja kwa moja kuwa CHADEMA ya sasa hivi haina hoja, lakini alivyosema tafsiri yake ni kama hiyo aliyosema mleta mada.Amesemea wapi hili..?
Hakuna kitu kama hiki. Hii umejitungia kichwani na kutaka kulisha watu matango pori..
Karibu kila video clip ya mahojiano ya Freeman Mbowe kama msemaji wa familia ktk msiba huo ipo YouTube na kwenye social media zingine. Sijaona popote akitoa kauli kama hii...!!
Hapa umetunga uongo unless uambatanishe allegations hizi na ushahidi wa video clip au audio sound akisema haya..
Fuatia kwa undani.Amesemea wapi hili..?