Muache Lupita Nyong'o wangu cheusidawa 😂😂😂sjui ni nature au nini ila mostly wana Gubu, hasira ,
View attachment 3576879
mlio wahi kudate au kuoa wanawake slim nadhani mnatambua vyema.
Imesahau kuwa wanakula sana ,kwenda naye hotelini kula sahani mbili za chips sio shida zaosjui ni nature au nini ila mostly wana Gubu, hasira ,
View attachment 3576879
mlio wahi kudate au kuoa wanawake slim nadhani mnatambua vyema.
Wana minyoo inawasumbua walee /sNi nature au nini😀
Hii ni implicit bias mzee wangu.Wana minyoo inawasumbua walee /s
Kama vipi tafuta bonge. Anakufungashia chakula kama bibi 😂😂😀😀 mkuu hawa slim girl wa kiafrica ni hatari
Sarcasm is not your strong suit.Hii ni implicit bias mzee wangu.
Hata mtoa mada anawapenda mpaka kawaanzishia uzi.mimi nawapenda sana kiukweli