PERAMIHO YETU
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 6,288
- 17,333
Wote tunakubaliana nyumba n choo
Uwiiii. 😃Wana minyoo inawasumbua walee /s
Akikupata anakukataza kuongea na mwanamke mwingine yeyote 😂😂😂Hahaha,
Africa slim girl wanafanana tabia aise
😁😁😁😁😆Wana minyoo inawasumbua walee /s
Kwa kweli. Lakini wanasema kejeli yaweza kuwa shambulio la kiupole...Sarcasm is not your strong suit.
Maisha yote ni shambulio mkuu.Kwa kweli. Lakini wanasema kejeli yaweza kuwa shambulio la kiupole...
JF inatuzoesha tukae "kishambulio"😅
Lazima ucheke Kimagufuli.hapo hapo wanawivu hatari
Mbona wanapendezaga jamani. 😃Wanawake wembamba hutumia gharama kubwa kujipamba nao waonekane, ila kiujumla huwa hawavutii. Au nasema uongo ndugu zangu?
Mimi kwanza huyo model wa Kijaluo kwenye picha hapo juu nishafika bei namtafutia contract mumuone kwenye movies kama Lupita Nyong'o.Mbona wanapendezaga jamani. 😃
Sema kuna wengine wanakujaga kunenepa mpaka unaweza kuwasahau.
Nina wifi yangu alipoolewa kwetu alikuwa ni mwembamba hatari ila sasa hivi amenenepa sema tu amekuwa shepeless.
Najua basi mimi.Embu tupe Siri shida inakuaga ni nini?