Kudate/kuoa mwanamke mwembamba (slim) unatakiwa uwe na uvumilivu wa kiwango cha SGR

sjui ni nature au nini ila mostly wana Gubu, hasira ,
View attachment 3576879
mlio wahi kudate au kuoa wanawake slim nadhani mnatambua vyema.
Ukumuoa wa design hii kubaliana na vitu vitatu, ufe njaa, akupikie dada wa kazi maisha yote, au ule hotelini kila siku.
Wanakula tuchips kidogo, juice kidogo, maji kidogo. Kwa ujumla wana maisha yao. Kwa sisi wazee wa menyu huwa tunaishangaa life style yao.
 
Noma sana
 
Back
Top Bottom