Kudate/kuoa mwanamke mwembamba (slim) unatakiwa uwe na uvumilivu wa kiwango cha SGR

Hii ni fallacy of generalization
Sio kila kitu ni fallacy
3E80CEEC-9F4C-4571-8DC8-39B4E66F4D39.jpeg
 
Imesahau kuwa wanakula sana ,kwenda naye hotelini kula sahani mbili za chips sio shida zao
Hakuna mademu wanakula kama mademu bonge ukienda naye viwanja. Chips atakula,kitimoto vinywaji na hta mbuzi choma au samaki atakula.

Nahisi mkuu research yako hajakamilika rudi tena.

Wembamna na wafupi hawali sana ila wana hasira gubu na wivu kupindukia na .....
 
Narudi kwenye research niombe mimi kama legendary nirudi salama salmin
 
Uhakika master tutakuvua cheo mibonge inakula ovyo ovyo vibaya mno kisha inavimbewa. Sisi wakongwe tunajua viwanja vya kuwapeleka ili wale kwa wasatani ukimpeleka mahali kuna vyakula vingi burger,pizza ,mayai vyote atataka ule au hata kubeba kabisa
 
Kuteleza sio kuanguka master mnisamehe msinivue vyeo ,wacha nikatafiti tena .
Naliahidi jopo kurudi na majibu ya uhakika kabisa
 
Back
Top Bottom