mlevi sugu
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,981
- 3,875
Kataa ndoa!
Sio bonge nyanya wewe ni TUKUNYEMA....Hapana ni Bonge nyanya
Hichi kitu kinaniogopesha sana. Huwa natamani kunenepa ila mmmh kuna muda akili inaniambia acha nitulie tu na wembamba wangu. Unene unaweza kumjia mtu vibaya mpaka ukajuta!Mbona wanapendezaga jamani. 😃
Sema kuna wengine wanakujaga kunenepa mpaka unaweza kuwasahau.
Nina wifi yangu alipoolewa kwetu alikuwa ni mwembamba hatari ila sasa hivi amenenepa sema tu amekuwa shapeless.
Kabisa mwaya. Ubonge tuachieni sisi wazoefu nao. 😂Hichi kitu kinaniogopesha sana. Huwa natamani kunenepa ila mmmh kuna muda akili inaniambia acha nitulie tu na wembamba wangu. Unene unaweza kumjia mtu vibaya mpaka ukajuta!
Heri wenye miili yao tangu zamani!
Weeee sema kweli???Hahaha dah!! Nitajitahidi kukumbuka kama nilishawahi...