jesusss!Mle dawa za minyoo
wiki hii tunaanza na dawa ya minyoookumbe minyoo ndio inawasumbua bhana😂
Hapana MOYO tu unakuwa umebanwa sana na mbavu hakuna nyama za kuupooza, jua Kali linapiga kwenye nyongo moja kwa moja hasira zinapanda....Ni nature au nini😀
Ila on bed mikao yote wanaendasjui ni nature au nini ila mostly wana Gubu, hasira ,
View attachment 3576879
mlio wahi kudate au kuoa wanawake slim nadhani mnatambua vyema.
Hapana ni Bonge nyanyaDada kwani wewe ni slim ?
Unafiki Gudubai 🚶♀️nyie mnaroho nzuri sana 😂
Niko powa kabisaSistaa uko poa lkn?