The Initiator huru
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 1,993
- 2,635
Mwenzenu nimeanzisha magusioano na demu wa kizungu, kusema ukweli nainjoi sanaaaa, tena saaaana tu. Mfano Jana nimemgegeda, kinoma, yaaani anashukuru balaa, anasema hajawahi pitia mgegedo kama huu alioambulia kutoka kwangu. Asubuhi kaniandalia breakfast kali pamoja na juice na kisha akani drop ofisini huku akinisindikiza kwa mabusu baada ya kunishusha kutoka kwenye gari. Wabongo muige hii kutoka kwa wazung, akina mwajuma ndala ndefu baada ya kumgegeda utasikia, naomba hela ya kusuka na nauli, au naomba hela ya kodi imeisha, mara nadaiwa kikoba, alafu utasikia iko wapi chup yangu, niitie bodaboda, mara nina njaa nataka chipsi. Badilikeni