Kudate na Mwanamke wa Kizungu raha

Kudate na Mwanamke wa Kizungu raha

The Initiator huru

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2017
Posts
1,993
Reaction score
2,635
Mwenzenu nimeanzisha magusioano na demu wa kizungu, kusema ukweli nainjoi sanaaaa, tena saaaana tu. Mfano Jana nimemgegeda, kinoma, yaaani anashukuru balaa, anasema hajawahi pitia mgegedo kama huu alioambulia kutoka kwangu. Asubuhi kaniandalia breakfast kali pamoja na juice na kisha akani drop ofisini huku akinisindikiza kwa mabusu baada ya kunishusha kutoka kwenye gari. Wabongo muige hii kutoka kwa wazung, akina mwajuma ndala ndefu baada ya kumgegeda utasikia, naomba hela ya kusuka na nauli, au naomba hela ya kodi imeisha, mara nadaiwa kikoba, alafu utasikia iko wapi chup yangu, niitie bodaboda, mara nina njaa nataka chipsi. Badilikeni
 
Ata wao uzunguni wanatamani wa date na wewe maana mmemyooka sio kama kina jimmy, carterbugh wao kwao
 
Mwenzenu nimeanzisha magusioano na demu wa kizungu, kusema ukweli nainjoi sanaaaa, tena saaaana tu. Mfano Jana nimemgegeda, kinoma, yaaani anashukuru balaa, anasema hajawahi pitia mgegedo kama huu alioambulia kutoka kwangu. Asubuhi kaniandalia breakfast kali pamoja na juice na kisha akani drop ofisini huku akinisindikiza kwa mabusu baada ya kunishusha kutoka kwenye gari. Wabongo muige hii kutoka kwa wazung, akina mwajuma ndala ndefu baada ya kumgegeda utasikia, naomba hela ya kusuka na nauli, au naomba hela ya kodi imeisha, mara nadaiwa kikoba, alafu utasikia iko wapi chup yangu, niitie bodaboda, mara nina njaa nataka chipsi. Badilikeni
nainjoi jamaniii
 
Huwa nasikia mademu wa kizungu wengi wanapiga miguu yote!...hii ina ukweli?.
 
Ngoja nikaze buti ntafute pesa, sitaki nisifie breakfast [emoji1644] za mzungu.
 
Enjoy babuu! Ila usimletee tu pigo za kiswahili na uongo wa kibongo /kitoto..

Hakikisha muda wote anakuona ni mtu fulani mwenye malengo ya mbali ya maisha , sio anakuzoea anaona upo upo tu huna direction wala haupo excited tena na maisha yaani uko bored
 
Kupenda kitonga, ubahili, ndio kimekufanya utusagie sisi kina mwajuma ndala ndefu, wamekosa wakuwapenda kwao wanakuja kujirahisisha bongo.
 
Back
Top Bottom