Uchaguzi 2020 Kudhaminiwa: Nyalandu apokelewa kwa kishindo Mbeya

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
MBEYA_ Ugonile! Twambombo_ ASANTENI SANA - Nyalandu2020  - WatanzaniaKwanza ( 480 X 640 ).jpg
1594811426372.png

@lazaronyalandu ( 595 X 640 ).jpg

ASANTENI sana Mbeya kwa mapenzi makubwa kwa chama chetu na kwa kunidhamini. Ilikuwa furaha sana kufanya mazungumzo na Mkt wa
@ChademaTz
Wilaya ya Mbeya, John Mwambigija a.k.a Mzee wa Ipako.
1594810635234.png

Binafsi nakibali siasa za kistarabu na amani.
Siasa za kilevi na kijuha za kiwatukana viongozi wa nchi na kuwadhalilisha watu sizitaki kabisa.
Nyalando Ni Mcha Mungu na atapata Kibali wakati wake ukifuka hakuna atakayeweza kumzuia.
2020 kuelekea 2025 Nayalandu atakua kwenye nafasi nzuri sana Kisiasa.

Angekua ni wale wavutabangi angeporomosha matusi na kejeli kwa viongozi wa serikali na kuishia kukamatwa na kuswekwa ndani kipuuuzi kabisa.
 
Kabisa mkuu, Nyalandu tangu ameanza harakati zake za kutafuta wadhamini hamna polisi hata mmoja aliyemsumbua. Yupo mstaarabu sana. CDM wajifunze kitu katika hilo. Siasa za kudhalilishana sio muda wake huu.
 
Ataporomoshaje matusi wakati na yeye alikuwa kwenye serikali hiyo hiyo akihondomola kwa miaka na miaka? Nyalandu ni tajiri na inasemekana ana majumba mengi tu US anapiga hela ndefu. Na ulishawahi kuona mtu ye yote wa CCM aliyehama kwenda upinzani anaporomosha matusi kwa wenzake aliowaacha? Wanajua kuwa mambo huko walikokimbilia yakiwalemea wanarudi nyumbani.

Nyalandu, kama vile alivyokuwa Lowasa, anatuhumiwa kuwa si msafi hasa wakati ule akiwa waziri wa utalii. Akianza kuropoka hovyo wanaweza kumfukulia makaburi. Ila so far hata mimi namkubali kwa siasa zake za kistaarabu anazofanya. Ila kwa urais hafai !!!
 
Lkn nyie siasa za kuita wapinzani mara wao ni Corona,Sijui Konyagi zimefanya nini mnaona ni sawa sana sio

Acha Lissu aje awanyooshe jukwaani.
 
Binafsi nakibali siasa za kistarabu na amani.
Siasa za kilevi na kijuha za kiwatukana viongozi wa nchi na kuwadhalilisha watu sizitaki kabisa.
Nyalando Ni Mcha Mungu na atapata Kibali wakati wake ukifuka hakuna atakayeweza kumzuia.
2020 kuelekea 2025 Nayalandu atakua kwenye nafasi nzuri sana Kisiasa.

Angekua ni wale wavutabangi angeporomosha matusi na kejeli kwa viongozi wa serikali na kuishia kukamatwa na kuswekwa ndani kipuuuzi kabisa.

Lkn siasa za Viongozi wa nchi kutukana wapinzani zenyewe huonagi zina tabu yake sio?

Unafiki hua ni kipaji maalumu.
 
Ataporomoshaje matusi wakati na yeye alikuwa kwenye serikali hiyo hiyo akihondomola kwa miaka na miaka? Nyalandu ni tajiri na inasemekana ana majumba mengi tu US anapiga hela ndefu. Na ulishawahi kuona mtu ye yote wa CCM aliyehama kwenda upinzani anaporomosha matusi kwa wenzake aliowaacha? Wanajua kuwa mambo huko walikokimbilia yakiwalemea wanarudi nyumbani.

Nyalandu, kama vile alivyokuwa Lowasa, anatuhumiwa kuwa si msafi hasa wakati ule akiwa waziri wa utalii. Akianza kuropoka hovyo wanaweza kumfukulia makaburi. Ila so far hata mimi namkubali kwa siasa zake za kistaarabu anazofanya. Ila kwa urais hafai !!!

Nyalandu,Membe wote hao hawana siasa za amsha amsha wanaleta huko upinzani siasa zao za kufundishana nidhamu za uoga tu maana wanajua wakifungua mdomo wao tu makaburi yao yatafukuliwa bila shida.

Na Nyalandu mwenyewe anaelewa vzr hawezi kusimamishwa kugombea urais kupitia Chadema sanasana yuko pale aonekane amepambana ashindwe then Chadema wamfanye ni mgombea Mwenza huku Lissu akipeperusha bendera maana Ccm wanachokitaka ni kua na insider ambae atakua anawapa taarifa zote muhimu za mipango&stragies za Chadema ambae atakua ni huyo huyo Nyalandu.
 
Ataporomoshaje matusi wakati na yeye alikuwa kwenye serikali hiyo hiyo akihondomola kwa miaka na miaka? Nyalandu ni tajiri na inasemekana ana majumba mengi tu US anapiga hela ndefu. Na ulishawahi kuona mtu ye yote wa CCM aliyehama kwenda upinzani anaporomosha matusi kwa wenzake aliowaacha? Wanajua kuwa mambo huko walikokimbilia yakiwalemea wanarudi nyumbani.

Nyalandu, kama vile alivyokuwa Lowasa, anatuhumiwa kuwa si msafi hasa wakati ule akiwa waziri wa utalii. Akianza kuropoka hovyo wanaweza kumfukulia makaburi. Ila so far hata mimi namkubali kwa siasa zake za kistaarabu anazofanya. Ila kwa urais hafai !!!
Unahabari hata Mbowe amewahi kufanya kazi benki kuu .
Mtei alikua emekua huko huko akiwa gavana wa fedha.

Siasa za kijuha za kutukanana zinaleta vurugu hasa kwenye nchi maskini kama Tanzania.

Kule marekani wazungu walikua wanawatukana na kuwafundisha watoto wao kuwa waafrika ni watu wa hovyo ,wasio na akili ,wahalifu, wasio na tofauti na wanyama.
Iliendelea hivyo na matokeo yake ni ghasia kubwa zilizoibuka mwaka huu .
Siasa za wahuni zilizokua zinafanywa na Mlevi Mbowe zikiachwa zitakuja kuleta madhara makubwa sana baadae mana watu watawaona viongozi wa nchi kama majambazi na matapeli wasio na maana na wakudhalilishwa tu huku vyombo vya dola navyo vikionekana kuwa si lolote si chochote eti kisa mtu hajatoka CCM au ametoka CCM .
Ni siasa za kipumbavu kabisa.

Nchi hii tumepata Uhuru bila kumwaga damu kwa sababu ya busara ya Wazee wa Pwani waliomkaribisha mwasisi toka bara . Watu wa bara walizoea kutumia mishale na mapanga kupora mifugo na kudai haki zao .Mwasisi akawakimbia na kujiunga na vyama vya watu wenye busara wa Pwani na wenye imani za amani kabla ya Shari.
Tujifunze kuwa na amani na watu wote ndipo tutakapowekwa ya mataifa kuyaongoza kwa haki.

Nyalando ni MTU aliyekua na bahati kubwa tangu akiwa anasoma Ilboru.
Alikua anasafiri sana nje ya nchi tangu akiwa mwanafunzi wa sekondari hivyo kwa vyovyote angekua na pesa tu. Nyarandu hawezi kuiba milele. Mungu amembariki na nakuhakikishia watawala wanawajua watu wema na waovu mana wao nao wanahofu ya Mungu.
Hutasikia Nyalandu akifungwa mana hajawahi kuiba , na hana Pesa ya umma anayoisaini popote kama walivyo wenyeviti wa vyama wezi kama Mlevi Mbowe.
 
Nyalandu kahudumu kama waziri maliasili kwa mda mfupi sana haizidi miaka miwili,,ishu ya twiga ni wakati wa waziri wa utalii,maige,,ila watu wanajichanganya na kudhani ilikuwa kipindi cha nyalandu,
Nyalandu ni mtu ana pesa kabla hata hajapewa wizara
 
Lkn siasa za Viongozi wa nchi kutukana wapinzani zenyewe huonagi zina tabu yake sio?

Unafiki hua ni kipaji maalumu.
Hua wanachomekeaga tu na sio kufanya agenda.
Na Mara nyingine unakuta wanatania tu sio kutokwa na povu huku ukimaanisha kabisa kama anavyofanyaga yule Mlevi.

Mfano tu Mh. majaliwa lini ulimsikia akitukana mtu,au Samia Suluhu, au Jafo au Agrei Mwanry RC Mstaafu.

Hata Mh.Rais hua anachomekeaga tu kwa utani na ndio maana Mtu kama Professor Jay hutasikia akikamatwa mana anamuheshimu mkuu wa nchi hata akichomekewa anacheka yanaisha sio kususa ,kuleta dharau, kukejeli ,kutunisha misuli ni siasa za kilevi na kimalaya Malaya za Mabeberu na mawakala wao wanaocopy na kupeste.
Hatuzitaki na tutahakikisha walevi na Malaya Malaya wote wanakosa Ubunge kwa namna yoyote.
 
Wakichomea matusi nao watachomekewa matusi kama ilivyo ada,utashangaa lissu anapanda jukwaani na kusema kuna watu wanajifanya wanapambana na ufisadi wkt wao vivuko walinunua vibovu na kuiingiza serikali hasara,nyumba za serikali walihonga kwa watu wao na hayo yataitwa ni matusi kwa viongozi,hahah

Ndio maana kila siku mnajihami kwamba hamtaki kampeni za matusi maana mnajua kinachokuja mbele yenu ni heavy duty.
 
Unahabari hata Mbowe amewahi kufanya kazi benki kuu .
Mtei alikua emekua huko huko akiwa gavana wa fedha.

Siasa za kijuha za kutukanana zinaleta vurugu hasa kwenye nchi maskini kama Tanzania.

Kule marekani wazungu walikua wanawatukana na kuwafundisha watoto wao kuwa waafrika ni watu wa hovyo ,wasio na akili ,wahalifu, wasio na tofauti na wanyama.
Iliendelea hivyo na matokeo yake ni ghasia kubwa zilizoibuka mwaka huu .
Siasa za wahuni zilizokua zinafanywa na Mlevi Mbowe zikiachwa zitakuja kuleta madhara makubwa sana baadae mana watu watawaona viongozi wa nchi kama majambazi na matapeli wasio na maana na wakudhalilishwa tu huku vyombo vya dola navyo vikionekana kuwa si lolote si chochote eti kisa mtu hajatoka CCM au ametoka CCM .
Ni siasa za kipumbavu kabisa.

Nchi hii tumepata Uhuru bila kumwaga damu kwa sababu ya busara ya Wazee wa Pwani waliomkaribisha mwasisi toka bara . Watu wa bara walizoea kutumia mishale na mapanga kupora mifugo na kudai haki zao .Mwasisi akawakimbia na kujiunga na vyama vya watu wenye busara wa Pwani na wenye imani za amani kabla ya Shari.
Tujifunze kuwa na amani na watu wote ndipo tutakapowekwa ya mataifa kuyaongoza kwa haki.

Nyalando ni MTU aliyekua na bahati kubwa tangu akiwa anasoma Ilboru.
Alikua anasafiri sana nje ya nchi tangu akiwa mwanafunzi wa sekondari hivyo kwa vyovyote angekua na pesa tu. Nyarandu hawezi kuiba milele. Mungu amembariki na nakuhakikishia watawala wanawajua watu wema na waovu mana wao nao wanahofu ya Mungu.
Hutasikia Nyalandu akifungwa mana hajawahi kuiba , na hana Pesa ya umma anayoisaini popote kama walivyo wenyeviti wa vyama wezi kama Mlevi Mbowe.
Wewe mwenyewe hapa unatukana harafu hapohapo unasisitiza siasa za kistaarabu!
 
Kule marekani wazungu walikua wanawatukana na kuwafundisha watoto wao kuwa waafrika ni watu wa hovyo ,wasio na akili ,wahalifu, wasio na tofauti na wanyama.
Iliendelea hivyo na matokeo yake ni ghasia kubwa zilizoibuka mwaka huu .
Siasa za wahuni zilizokua zinafanywa na Mlevi Mbowe zikiachwa zitakuja kuleta madhara makubwa sana baadae mana watu watawaona viongozi wa nchi kama majambazi na matapeli wasio na maana na wakudhalilishwa tu huku vyombo vya dola navyo vikionekana kuwa si lolote si chochote eti kisa mtu hajatoka CCM au ametoka CCM .
Ni siasa za kipumbavu kabisa.
Wewe na huyo "mlevi" unayemmwandika hapa hamtofautiani chochote, isipokuwa ulevi wako unakufanya kuwa mwongo na kutaka watu waamini unajua kitu.

Hiyo historia ya Marekani uliisoma wapi?

Hopeless Kabisa.
 
Back
Top Bottom