Unahabari hata Mbowe amewahi kufanya kazi benki kuu .
Mtei alikua emekua huko huko akiwa gavana wa fedha.
Siasa za kijuha za kutukanana zinaleta vurugu hasa kwenye nchi maskini kama Tanzania.
Kule marekani wazungu walikua wanawatukana na kuwafundisha watoto wao kuwa waafrika ni watu wa hovyo ,wasio na akili ,wahalifu, wasio na tofauti na wanyama.
Iliendelea hivyo na matokeo yake ni ghasia kubwa zilizoibuka mwaka huu .
Siasa za wahuni zilizokua zinafanywa na Mlevi Mbowe zikiachwa zitakuja kuleta madhara makubwa sana baadae mana watu watawaona viongozi wa nchi kama majambazi na matapeli wasio na maana na wakudhalilishwa tu huku vyombo vya dola navyo vikionekana kuwa si lolote si chochote eti kisa mtu hajatoka CCM au ametoka CCM .
Ni siasa za kipumbavu kabisa.
Nchi hii tumepata Uhuru bila kumwaga damu kwa sababu ya busara ya Wazee wa Pwani waliomkaribisha mwasisi toka bara . Watu wa bara walizoea kutumia mishale na mapanga kupora mifugo na kudai haki zao .Mwasisi akawakimbia na kujiunga na vyama vya watu wenye busara wa Pwani na wenye imani za amani kabla ya Shari.
Tujifunze kuwa na amani na watu wote ndipo tutakapowekwa ya mataifa kuyaongoza kwa haki.
Nyalando ni MTU aliyekua na bahati kubwa tangu akiwa anasoma Ilboru.
Alikua anasafiri sana nje ya nchi tangu akiwa mwanafunzi wa sekondari hivyo kwa vyovyote angekua na pesa tu. Nyarandu hawezi kuiba milele. Mungu amembariki na nakuhakikishia watawala wanawajua watu wema na waovu mana wao nao wanahofu ya Mungu.
Hutasikia Nyalandu akifungwa mana hajawahi kuiba , na hana Pesa ya umma anayoisaini popote kama walivyo wenyeviti wa vyama wezi kama Mlevi Mbowe.