Bishweko
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 3,406
- 2,521
Mimi mawazo yangu pia hao wapinzani nao uwa wanachomekea chomekea tu basi...Ila wakichomekea panapo ukweli basi povu linatujaa wanaccm!Hua wanachomekeaga tu na sio kufanya agenda.
Na Mara nyingine unakuta wanatania tu sio kutokwa na povu huku ukimaanisha kabisa kama anavyofanyaga yule Mlevi.
Mfano tu Mh. majaliwa lini ulimsikia akitukana mtu,au Samia Suluhu, au Jafo au Agrei Mwanry RC Mstaafu.
Hata Mh.Rais hua anachomekeaga tu kwa utani na ndio maana Mtu kama Professor Jay hutasikia akikamatwa mana anamuheshimu mkuu wa nchi hata akichomekewa anacheka yanaisha sio kususa ,kuleta dharau, kukejeli ,kutunisha misuli ni siasa za kilevi na kimalaya Malaya za Mabeberu na mawakala wao wanaocopy na kupeste.
Hatuzitaki na tutahakikisha walevi na Malaya Malaya wote wanakosa Ubunge kwa namna yoyote.