Uchaguzi 2020 Kudhaminiwa: Nyalandu apokelewa kwa kishindo Mbeya

Arudishe twiga wetu, huyu atatumia pesa ya umma kwa akina Aunt Ezekiel kuwapeleka kula kuku majuu,hafai hata kuwa mwenyekiti wa kitongoji

Unachemka Twiga hawajachukuliwa Nyalandu akiwa waziri no kabla😂. Jiulize hao wasanii wanaovaa kijani nani anawalipa?
 
Hongera sana Nyalandu. Ila kama unapoteza pesa vile.!!.

Mgombea Urais yuwaja yuko Rondo.
 
Hua wanachomekeaga tu na sio kufanya agenda.
Na Mara nyingine unakuta wanatania tu sio kutokwa na povu huku ukimaanisha kabisa kama anavyofanyaga yule Mlevi.

Mfano tu Mh. majaliwa lini ulimsikia akitukana mtu,au Samia Suluhu, au Jafo au Agrei Mwanry RC Mstaafu.

Hata Mh.Rais hua anachomekeaga tu kwa utani na ndio maana Mtu kama Professor Jay hutasikia akikamatwa mana anamuheshimu mkuu wa nchi hata akichomekewa anacheka yanaisha sio kususa ,kuleta dharau, kukejeli ,kutunisha misuli ni siasa za kilevi na kimalaya Malaya za Mabeberu na mawakala wao wanaocopy na kupeste.
Hatuzitaki na tutahakikisha walevi na Malaya Malaya wote wanakosa Ubunge kwa namna yoyote.
Aiseee
 
Ila huko chama chakavu huwa hamuoni matuc,na kila cku mnasema hayo matusi bt hamtaji hayo matuc zaidi ya ukweli mchungu mnaopewa
Kabisa mkuu, Nyalandu tangu ameanza harakati zake za kutafuta wadhamini hamna polisi hata mmoja aliyemsumbua. Yupo mstaarabu sana. CDM wajifunze kitu katika hilo. Siasa za kudhalilishana sio muda wake huu.
 
Hiyo yote ni mbinu ya kumuangusha Lissu. Naona Mbowe analitumia hili Kapi kuhakikisha Lissu hapiti kura ya maoni
 
Ukwel mchungu huu, kwao ukweli umekuwa matusi nw
Wakichomea matusi nao watachomekewa matusi kama ilivyo ada,utashangaa lissu anapanda jukwaani na kusema kuna watu wanajifanya wanapambana na ufisadi wkt wao vivuko walinunua vibovu na kuiingiza serikali hasara,nyumba za serikali walihonga kwa watu wao na hayo yataitwa ni matusi kwa viongozi,hahah

Ndio maana kila siku mnajihami kwamba hamtaki kampeni za matusi maana mnajua kinachokuja mbele yenu ni heavy duty.
 
Nyalandu,Membe wote hao hawana siasa za amsha amsha wanaleta huko upinzani siasa zao za kufundishana nidhamu za uoga tu maana wanajua wakifungua mdomo wao tu makaburi yao yatafukuliwa bila shida.

Na Nyalandu mwenyewe anaelewa vzr hawezi kusimamishwa kugombea urais kupitia Chadema sanasana yuko pale aonekane amepambana ashindwe then Chadema wamfanye ni mgombea Mwenza huku Lissu akipeperusha bendera maana Ccm wanachokitaka ni kua na insider ambae atakua anawapa taarifa zote muhimu za mipango&stragies za Chadema ambae atakua ni huyo huyo Nyalandu.
Unazungumzia siasa hata katiba ya nchi huijui ?
 
Unahabari hata Mbowe amewahi kufanya kazi benki kuu .
Mtei alikua emekua huko huko akiwa gavana wa fedha.

Siasa za kijuha za kutukanana zinaleta vurugu hasa kwenye nchi maskini kama Tanzania.

Kule marekani wazungu walikua wanawatukana na kuwafundisha watoto wao kuwa waafrika ni watu wa hovyo ,wasio na akili ,wahalifu, wasio na tofauti na wanyama.
Iliendelea hivyo na matokeo yake ni ghasia kubwa zilizoibuka mwaka huu .
Siasa za wahuni zilizokua zinafanywa na Mlevi Mbowe zikiachwa zitakuja kuleta madhara makubwa sana baadae mana watu watawaona viongozi wa nchi kama majambazi na matapeli wasio na maana na wakudhalilishwa tu huku vyombo vya dola navyo vikionekana kuwa si lolote si chochote eti kisa mtu hajatoka CCM au ametoka CCM .
Ni siasa za kipumbavu kabisa.

Nchi hii tumepata Uhuru bila kumwaga damu kwa sababu ya busara ya Wazee wa Pwani waliomkaribisha mwasisi toka bara . Watu wa bara walizoea kutumia mishale na mapanga kupora mifugo na kudai haki zao .Mwasisi akawakimbia na kujiunga na vyama vya watu wenye busara wa Pwani na wenye imani za amani kabla ya Shari.
Tujifunze kuwa na amani na watu wote ndipo tutakapowekwa ya mataifa kuyaongoza kwa haki.

Nyalando ni MTU aliyekua na bahati kubwa tangu akiwa anasoma Ilboru.
Alikua anasafiri sana nje ya nchi tangu akiwa mwanafunzi wa sekondari hivyo kwa vyovyote angekua na pesa tu. Nyarandu hawezi kuiba milele. Mungu amembariki na nakuhakikishia watawala wanawajua watu wema na waovu mana wao nao wanahofu ya Mungu.
Hutasikia Nyalandu akifungwa mana hajawahi kuiba , na hana Pesa ya umma anayoisaini popote kama walivyo wenyeviti wa vyama wezi kama Mlevi Mbowe.
Unatoa hoja kwa matusi halafu hutaki wanasiasa wawatukane wanasiasa wa upande mwingine!!!?
 
Binafsi nakibali siasa za kistarabu na amani.
Siasa za kilevi na kijuha za kiwatukana viongozi wa nchi na kuwadhalilisha watu sizitaki kabisa.
Nyalando Ni Mcha Mungu na atapata Kibali wakati wake ukifuka hakuna atakayeweza kumzuia.
2020 kuelekea 2025 Nayalandu atakua kwenye nafasi nzuri sana Kisiasa.

Angekua ni wale wavutabangi angeporomosha matusi na kejeli kwa viongozi wa serikali na kuishia kukamatwa na kuswekwa ndani kipuuuzi kabisa.
Tanzania hakuna mwanasiasa anaeporomosha matusi tena ya nguoni kama mwenyekiti wa CCM!

Naamini unamsema huyo kuwa ni mlevi na juha!
 
Hua wanachomekeaga tu na sio kufanya agenda.
Na Mara nyingine unakuta wanatania tu sio kutokwa na povu huku ukimaanisha kabisa kama anavyofanyaga yule Mlevi.

Mfano tu Mh. majaliwa lini ulimsikia akitukana mtu,au Samia Suluhu, au Jafo au Agrei Mwanry RC Mstaafu.

Hata Mh.Rais hua anachomekeaga tu kwa utani na ndio maana Mtu kama Professor Jay hutasikia akikamatwa mana anamuheshimu mkuu wa nchi hata akichomekewa anacheka yanaisha sio kususa ,kuleta dharau, kukejeli ,kutunisha misuli ni siasa za kilevi na kimalaya Malaya za Mabeberu na mawakala wao wanaocopy na kupeste.
Hatuzitaki na tutahakikisha walevi na Malaya Malaya wote wanakosa Ubunge kwa namna yoyote.
Ni sahihi wanaccm kutumia bunduki na utekaji dhidi ya wapinzani wao ila ni kukosa ustaarabu kwa wapinzani kujibu mapigo kwa maneno tu ?

Nyie watetezi wa ccm vichwani mwenu mmejaza mavi tu.
 
Hua wanachomekeaga tu na sio kufanya agenda.
Na Mara nyingine unakuta wanatania tu sio kutokwa na povu huku ukimaanisha kabisa kama anavyofanyaga yule Mlevi.

Mfano tu Mh. majaliwa lini ulimsikia akitukana mtu,au Samia Suluhu, au Jafo au Agrei Mwanry RC Mstaafu.

Hata Mh.Rais hua anachomekeaga tu kwa utani na ndio maana Mtu kama Professor Jay hutasikia akikamatwa mana anamuheshimu mkuu wa nchi hata akichomekewa anacheka yanaisha sio kususa ,kuleta dharau, kukejeli ,kutunisha misuli ni siasa za kilevi na kimalaya Malaya za Mabeberu na mawakala wao wanaocopy na kupeste.
Hatuzitaki na tutahakikisha walevi na Malaya Malaya wote wanakosa Ubunge kwa namna yoyote.
Wewe mwenyewe sio mstaarabu.....penye rangi nyekundu pana kuhusu......mpizania angetumia neno hilo, ungesema anatukana
 
Unahabari hata Mbowe amewahi kufanya kazi benki kuu .
Mtei alikua emekua huko huko akiwa gavana wa fedha.

Siasa za kijuha za kutukanana zinaleta vurugu hasa kwenye nchi maskini kama Tanzania.

Kule marekani wazungu walikua wanawatukana na kuwafundisha watoto wao kuwa waafrika ni watu wa hovyo ,wasio na akili ,wahalifu, wasio na tofauti na wanyama.
Iliendelea hivyo na matokeo yake ni ghasia kubwa zilizoibuka mwaka huu .
Siasa za wahuni zilizokua zinafanywa na Mlevi Mbowe zikiachwa zitakuja kuleta madhara makubwa sana baadae mana watu watawaona viongozi wa nchi kama majambazi na matapeli wasio na maana na wakudhalilishwa tu huku vyombo vya dola navyo vikionekana kuwa si lolote si chochote eti kisa mtu hajatoka CCM au ametoka CCM .
Ni siasa za kipumbavu kabisa.

Nchi hii tumepata Uhuru bila kumwaga damu kwa sababu ya busara ya Wazee wa Pwani waliomkaribisha mwasisi toka bara . Watu wa bara walizoea kutumia mishale na mapanga kupora mifugo na kudai haki zao .Mwasisi akawakimbia na kujiunga na vyama vya watu wenye busara wa Pwani na wenye imani za amani kabla ya Shari.
Tujifunze kuwa na amani na watu wote ndipo tutakapowekwa ya mataifa kuyaongoza kwa haki.

Nyalando ni MTU aliyekua na bahati kubwa tangu akiwa anasoma Ilboru.
Alikua anasafiri sana nje ya nchi tangu akiwa mwanafunzi wa sekondari hivyo kwa vyovyote angekua na pesa tu. Nyarandu hawezi kuiba milele. Mungu amembariki na nakuhakikishia watawala wanawajua watu wema na waovu mana wao nao wanahofu ya Mungu.
Hutasikia Nyalandu akifungwa mana hajawahi kuiba , na hana Pesa ya umma anayoisaini popote kama walivyo wenyeviti wa vyama wezi kama Mlevi Mbowe.
(Nasema alishambuliwa kwa mateke ..hii ni kauli ya RPC Dodoma)
Pili unaposema wezi kua CHADEMA ni wezi na bila kua na aibu kua viongozi wa ccm wengi wameshiriki kwenye wizi wa mali au pesa za umma unafanya kosa la kutosema ukweli alafu huku ukimtaja Mungu bure.
Kuuzwa kwa nyumba za NHC ,ESCROW, RICHMOND,KAGODA,LUGUMI,LUGOLA,MANUNUZI YA NDEGE,RAMBI RAMBI ZA TETEMEKO nk apo pote washiriki ni wanaccm kwa aslimia 100%
NAOGOPA SANA WATU WASIOTAKA KUSEMA UKWELI ILI WAONEKANE WEMA MBELE YA WAOVU.
 
Back
Top Bottom