Uchaguzi 2020 Kudhaminiwa: Nyalandu apokelewa kwa kishindo Mbeya

[emoji106]
 
Arudishe twiga wetu, huyu atatumia pesa ya umma kwa akina Aunt Ezekiel kuwapeleka kula kuku majuu,hafai hata kuwa mwenyekiti wa kitongoji
Wajinga huko ugambani mkaririshwa kila kitu nanyi hamtaki hata kusumbua ubongo! amekuibia Twiga kwanini humpeleki Mahakamani
 
Vipi waliopigwa risasi na watawala
 
Kabisa mkuu, Nyalandu tangu ameanza harakati zake za kutafuta wadhamini hamna polisi hata mmoja aliyemsumbua. Yupo mstaarabu sana. CDM wajifunze kitu katika hilo. Siasa za kudhalilishana sio muda wake huu.
Yaani nyie mkisikia mtu anahoji 1.5 t mnasema ametukana.
 
Lisu ni boya tu, nadhani hata ukimuona uso wake ni wa kiboya sana.
Huwezi kuwa na staha kama kila dakika unamzungumzia mtu mmoja tu kwa kila sentensi.
Kila akiulizwa sawali lazima ataje magufuli,
Sasa huo ni ujinga na uoga tu.
Tanzania kuna mambo mengi ya kuzungumzia na sio magufuli.
 
Arudishe twiga wetu, huyu atatumia pesa ya umma kwa akina Aunt Ezekiel kuwapeleka kula kuku majuu,hafai hata kuwa mwenyekiti wa kitongoji
Nani asiyetumia pesa ya umma,mtaje mmoja tu
 
Kabisa mkuu, Nyalandu tangu ameanza harakati zake za kutafuta wadhamini hamna polisi hata mmoja aliyemsumbua. Yupo mstaarabu sana. CDM wajifunze kitu katika hilo. Siasa za kudhalilishana sio muda wake huu.
Huyo ni mwenzao watamkamata vipi
 
Tutajie hayo matusi
 
Umeshawahi kuwaambia Wabunge wa CCM ? Wakishindwa hoja za wabunge wa upinzani tu ni mwendo wa matusi tu na kusifia,unakuta Mbunge wa upinzani anaongelea changamoto za jimboni kwake,mbunge ccm anatoa taarifa na kuanza kumshambulia mbunge wa upinzani,hoooo CCM chini ya Dr John Pombe Magufuli imefanya mengi sana,leleeleeeee leeeleee fly over reli leleeee, hospital leleeeee
 
Kabisa mkuu, Nyalandu tangu ameanza harakati zake za kutafuta wadhamini hamna polisi hata mmoja aliyemsumbua. Yupo mstaarabu sana. CDM wajifunze kitu katika hilo. Siasa za kudhalilishana sio muda wake huu.
Je walipomkamata Singida kwenye kikao cha ndani cha CDM alikuwa kafanya kitendo kisicho cha ustaarabu?
 
Kwa hio Magufuli ni mungu asitajwe sio?
 
Arudishe twiga wetu, huyu atatumia pesa ya umma kwa akina Aunt Ezekiel kuwapeleka kula kuku majuu,hafai hata kuwa mwenyekiti wa kitongoji
Nyie mbwa ndio maana tunasema nchi imewashinda tumewakabidhi raslimali zote alafu mnakuja kulalami badala ya kuchukua hatu.......mafala sn nyie

Mchukulieni hatua za kusheria au nae anakinga ya kushitakiwa km mliyowapitishia madikteta wenu hapo majuzi......

"Watanzania sio wajinga"....mwisho wa kunukuu
 
Ahahahaaaa [emoji3][emoji23][emoji1787]. Ninachoweza kusema , Mbowe alikufanya kitu mbaya !! Si kwa chuki hiyo.

Nimechunguza posts za kwa wiki nzima. Daahh Mbowe anakutia hasira [emoji40]
 
Arudishe twiga wetu, huyu atatumia pesa ya umma kwa akina Aunt Ezekiel kuwapeleka kula kuku majuu,hafai hata kuwa mwenyekiti wa kitongoji
Nenda na baba ako mkamdai si uyo unamuona
 
Ahahahaaaa [emoji3][emoji23][emoji1787]. Ninachoweza kusema , Mbowe alikufanya kitu mbaya !! Si kwa chuki hiyo.

Nimechunguza posts za kwa wiki nzima. Daahh Mbowe anakutia hasira [emoji40]
Itakua huyu 1000 digits alimpa Mbowe 'kila kitu' ndo maana roho inamuuma sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…