Uchaguzi 2020 Kudhaminiwa: Nyalandu apokelewa kwa kishindo Mbeya

Mimi mawazo yangu pia hao wapinzani nao uwa wanachomekea chomekea tu basi...Ila wakichomekea panapo ukweli basi povu linatujaa wanaccm!
 
Post yako inaweza kuleta machafuko nchini.unaogopa upinzani kwa lipi??mbowe amekulia mke??siasa sio ugomvi,waache watu wafanye siasa,ili mradi hawavunji sheria
 
Post yako inaweza kuleta machafuko nchini.unaogopa upinzani kwa lipi??mbowe amekulia mke??siasa sio ugomvi,waache watu wafanye siasa,ili mradi hawavunji sheria
Naogopa upinzani wa Chadema ya Mbowe iliyojaa Ukabila ,udikteta,uhuni, wizi wa ruzuku, fukuza fukuza ya wanachama, uzushi, kuwakashifu viongozi walioiletea heshima kubwa Taifa letu (kama Mh. Rais Magufuli aliyeipaisha nchi yetu ki Uchumi).
Sasa wanachafuana wenyewe kisa Nyarandu kawazidi mbinu za kutangaza nia.

Mpitisheni Mbowe awe mgombea wa Chadema akutane na Chuma cha pua kwenye uchaguzi mkuu muine kama hatapata kura mbili ya kwake na ya kwako.
 
Bora hata mavi hawa wamejaza makimba
Ni sahihi wanaccm kutumia bunduki na utekaji dhidi ya wapinzani wao ila ni kukosa ustaarabu kwa wapinzani kujibu mapigo kwa maneno tu ?

Nyie watetezi wa ccm vichwani mwenu mmejaza mavi tu.
 
Kwel ujinga na ushamba ni mzigo mzto
 
Mgombea ni Lissu, The Greatest
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…