#COVID19 Kudhania janga la Covid 19 litakuwa mtaji wa kisiasa ni kufilisika kisiasa

Ningetaka cheo chochote cha kisiasa nchi hii ningepata kwa kujipendekeza tu kama ww.
Mimi ni mkulima,nina mashine ya kusaga na kukoboa mpunga. Cheo cha nini? Ufinyu wako wa kufikiri umekuponza.
 
Ulichoandika ni siasa tosha kabisa. Kuna mtu anasema HAKUNA CORONA ili ajipatie mileage za kisiasa. Wapinzani wamekaa kimya, waache wapumue mazee. Si mmebaki peke yenu bungeni? Pambaneni gonjwa liishe.
 
Mimi ni mkulima,nina mashine ya kusaga na kukoboa mpunga. Cheo cha nini? Ufinyu wako wa kufikiri umekuponza.
Mwigulu, Nape, Kabudi nk wana mara ya kumi zaidi ya hivyo ulivyo navyo ww, mbona wao speed yao ya kujikomba iko juu sana?
 
Mwigulu, Nape, Kabudi nk wana mara ya kumi zaidi ya hivyo ulivyo navyo ww, mbona wao speed yao ya kujikomba iko juu sana?
Mimi nalidhika na maisha yangu. Wao kawaulize wenyewe.
 
Mimi nalidhika na maisha yangu. Wao kawaulize wenyewe.

Ungekuwa umeridhika usingekuja kuanzisha vimada uchwara hapo jukwaani kutetea majizi ya kura, na wamwaga damu.
 
Wanaopiga kelele sio Wapinzani n watu wenye Uelewa mpana
 
Wewe unaonekana hujui maana ya upinzani. Hiyo ndiyo kazi yao. Hata CCM wangekuwa wapinzani wangefanya hivyo hivyo. Kwa hiyo acha kulalamika.
 
Akili ya kuelewa uitoe wapi?
Siwezi kukuelewa maana wewe ni mweupe. Kama ulienda kushiriki uchaguzi ukitarajia upate udiwani/ubunge,utakuwa unazo kichwani?
 
Siwezi kukuelewa maana wewe ni mweupe. Kama ulienda kushiriki uchaguzi ukitarajia upate udiwani/ubunge,utakuwa unazo kichwani?

Narudia tena, ningetaka ubunge popote hapa Tanzania ningepata, maana ningejipendekeza kwa kiongozi mkuu wa majizi ya kura.
 
Ili tusionekane kama na sisi ni wajinga kuchangia uzi wako, fanya hivi; twambie ni mpinzani gani na wa chama gani aliyesema au kupinga hicho ulicho kiandika hapa; vingine umetengeneza mawazo yako mwenyewe through chuki zako kwa baadhi ya watu ili utulishe KASA! Binafsi nimewasikia viongozi wa dini, nimeona pia ile clip ya kanisani baadhi ya waumini hawakupiga makofi wala kushangilia, sasa sijui kama wale ndio viongozi wa upinzani wakitafuta kiki ya kisiasa!
 
Narudia tena, ningetaka ubunge popote hapa Tanzania ningepata, maana ningejipendekeza kwa kiongozi mkuu wa majizi ya kura.
Mbona uliambulia patupu? Umebaki unalialia kama toto dogo?
 
Mbona hili janga fisiemu walilitumia kwenye kampeni zao?
 
Mbona uliambulia patupu? Umebaki unalialia kama toto dogo?

Nimejiunga hapa jukwaani ukiwa bado shule ya msingi huko bush kwenu, pitia post zangu kama nimewahi kujipendekeza kama ww.
 
Nimejiunga hapa jukwaani ukiwa bado shule ya msingi huko bush kwenu, pitia post zangu kama nimewahi kujipendekeza kama ww.
Dogo acha dharau. Kujiunga mwaka 2011 sio kujua mambo. Habari ya kujipendekeza inatoka wapi? Jiulize kwa nini umekosa hata udiwani.,πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Sasa wewe mbona unawapinga wapinzani? Kwahiyo ulitaka wapinzani watupongeze CCM kwa ujinga wetu?
Sisi tunaogopa kuongea makosa yetu kwakua Mfalme Magu anaweza kuwatuma wakafanya ...kama TL na Nape
 
Dogo acha dharau. Kujiunga mwaka 2011 sio kujua mambo. Habari ya kujipendekeza inatoka wapi? Jiulize kwa nini umekosa hata udiwani.,πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Nasema hivi ww hujui siasa zaidi ya kujipendekeza kwa wanaume, na watu sampuli yako toka zamani huwa nawapa za uso tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…