Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulichoandika ni siasa tosha kabisa. Kuna mtu anasema HAKUNA CORONA ili ajipatie mileage za kisiasa. Wapinzani wamekaa kimya, waache wapumue mazee. Si mmebaki peke yenu bungeni? Pambaneni gonjwa liishe.Wana JF, hii kasumba ya wanasiasa wa upinzani kuwa wanasubiri majanga au kadhia flani itokee alafu wao wanufaike kisiasa ni kukosa busara za kisiasa.
Sasa hivi kila mwanasiasa wa upinzani amekomaa kuikosoa serikali ya Ccm bila hata kuwa na hoja zenye mashiko.
Mfano Mkuu wa nchi anaesema tutumie mask ambazo tunao uhakika wa usalama wake kiafya, hii imekuwa kama hoja kwa upinzani na wafuasi wake. Je, hii itawabeba?
Achana na hilo, bado wapinzani walitaka kupata kick ya kisiasa kutaka kuaminisha umma na jumuia ya kimataifa kuwa serikali haijachukua hatua madhubuti kupambana na jaga la covid 19. Jambo ambalo kiuhalisia sio kweli. Mlitaka hatua zipi zichukuliwe ili muone serikali inapambana na janga hili? Maana zipo taratibu za kupambana na haya majanga na ni lazima kiwango cha hatari kijulikane.
My take; Tusidhanie kuwa Covid 19 itakuwa mtaji wa kisiasa. Kama Watanzania tuonyeshe umoja kupambana na hili janga.
Mwigulu, Nape, Kabudi nk wana mara ya kumi zaidi ya hivyo ulivyo navyo ww, mbona wao speed yao ya kujikomba iko juu sana?Mimi ni mkulima,nina mashine ya kusaga na kukoboa mpunga. Cheo cha nini? Ufinyu wako wa kufikiri umekuponza.
Kukujibu wewe ni kupoteza muda!Chadema na wapinzani wengine ni wahuni tu.
Mimi nalidhika na maisha yangu. Wao kawaulize wenyewe.
Akili ya kuelewa uitoe wapi?Sijakuelewa.
Wewe unaonekana hujui maana ya upinzani. Hiyo ndiyo kazi yao. Hata CCM wangekuwa wapinzani wangefanya hivyo hivyo. Kwa hiyo acha kulalamika.Wana JF, hii kasumba ya wanasiasa wa upinzani kuwa wanasubiri majanga au kadhia flani itokee alafu wao wanufaike kisiasa ni kukosa busara za kisiasa.
Sasa hivi kila mwanasiasa wa upinzani amekomaa kuikosoa serikali ya Ccm bila hata kuwa na hoja zenye mashiko.
Mfano Mkuu wa nchi anaesema tutumie mask ambazo tunao uhakika wa usalama wake kiafya, hii imekuwa kama hoja kwa upinzani na wafuasi wake. Je, hii itawabeba?
Achana na hilo, bado wapinzani walitaka kupata kick ya kisiasa kutaka kuaminisha umma na jumuia ya kimataifa kuwa serikali haijachukua hatua madhubuti kupambana na jaga la covid 19. Jambo ambalo kiuhalisia sio kweli. Mlitaka hatua zipi zichukuliwe ili muone serikali inapambana na janga hili? Maana zipo taratibu za kupambana na haya majanga na ni lazima kiwango cha hatari kijulikane.
My take; Tusidhanie kuwa Covid 19 itakuwa mtaji wa kisiasa. Kama Watanzania tuonyeshe umoja kupambana na hili janga.
Siwezi kukuelewa maana wewe ni mweupe. Kama ulienda kushiriki uchaguzi ukitarajia upate udiwani/ubunge,utakuwa unazo kichwani?
Mbona uliambulia patupu? Umebaki unalialia kama toto dogo?
Dogo acha dharau. Kujiunga mwaka 2011 sio kujua mambo. Habari ya kujipendekeza inatoka wapi? Jiulize kwa nini umekosa hata udiwani.,😀😀😀Nimejiunga hapa jukwaani ukiwa bado shule ya msingi huko bush kwenu, pitia post zangu kama nimewahi kujipendekeza kama ww.
Sasa wewe mbona unawapinga wapinzani? Kwahiyo ulitaka wapinzani watupongeze CCM kwa ujinga wetu?Wana JF, hii kasumba ya wanasiasa wa upinzani kuwa wanasubiri majanga au kadhia flani itokee alafu wao wanufaike kisiasa ni kukosa busara za kisiasa.
Sasa hivi kila mwanasiasa wa upinzani amekomaa kuikosoa serikali ya Ccm bila hata kuwa na hoja zenye mashiko.
Mfano Mkuu wa nchi anaesema tutumie mask ambazo tunao uhakika wa usalama wake kiafya, hii imekuwa kama hoja kwa upinzani na wafuasi wake. Je, hii itawabeba?
Achana na hilo, bado wapinzani walitaka kupata kick ya kisiasa kutaka kuaminisha umma na jumuia ya kimataifa kuwa serikali haijachukua hatua madhubuti kupambana na jaga la covid 19. Jambo ambalo kiuhalisia sio kweli. Mlitaka hatua zipi zichukuliwe ili muone serikali inapambana na janga hili? Maana zipo taratibu za kupambana na haya majanga na ni lazima kiwango cha hatari kijulikane.
My take; Tusidhanie kuwa Covid 19 itakuwa mtaji wa kisiasa. Kama Watanzania tuonyeshe umoja kupambana na hili janga.
Dogo acha dharau. Kujiunga mwaka 2011 sio kujua mambo. Habari ya kujipendekeza inatoka wapi? Jiulize kwa nini umekosa hata udiwani.,😀😀😀