Tusubiri wapate chanjo itakayodhibiti aina mbalimbali, kama wao tu wamejichanja saizi wanasema corona nyingine inatoka A. Kusini, itabidi wajichanje tena, nyingine sijui Brazil itabidi wajichanje. Tusubiri tuKuna chanjo inasambazwa kwenye nchi mbalimbali duniani Tanzania bado hatujaruhusu chanjo hiyo kuingia.
The super powers are dying like nsenene - grasshoppers due to Corona! How can they be champion in monitoring others!?We need a unified world to tackle Corona. If necessary the world "superpowers" should get rid of stupid ones making a barrier to these efforts!
wewe mzee upo???Na sisi kama tuna ubavu tupige marufuku raia wa Uingereza kuingia humu nchini wakati tunategemea watalii kupata fedha za kigeni.
Kuna nchi zingine zitaiga hatua hii ya UK na mwisho wa siku tutajikuta tumetengwa.
Jiwe kavurunda sana kwenye issue ya Covid.
na magu umemsahau na mwenzake bashiruKama kawaida yako upuuzi umekujaa. Rudi kwenu Burundi utuachie Tanzania yetu. Nyie mirundi mnatuletea migongano mingi mfano Zitto, Sheikh Ponda etc
Raisi ametoa Challenge kwa wataalam kwa kitanzania tutengeneze dawa zetu za kupambana na magonjwa kama huo.WHO hawalali wanahangaika usiku na mchana kupata dawa hawajakaa wakitegemea maombi, sisi (Tz) wala hatujishughulishi hata kujaribu chanjo zilizopo tunasubiri rehema za Mungu.
hapa kuna kundi la wale wagonjwa wa utawala ambao wameamua kuwa wafuasi wa UK aliyechanganyikiwa.Sasa mnamlaumu Jiwe kwa sababu ya South Africa covid variant? Ingekuwa Tanzania covid variant ningeelewa mantiki ya hiyo ban. Vinginevyo ni upuuzi na kuchanganyikiwa kwa hao wazungu wa UK.
Ok tumepigwa ban kuingia UK....kwa nchi na mtu anayejielewa hiyo ban should not be our problem, it is UK problem. UK ni paradiso?
Ni mawazo duni sana kuchanganya ugonjwa huu hatari na siasa.
Pili kwa kutokuwa na takwimu zozote rasmi kuhusiana na ugonjwa huu, ujasiri wa kujilinganisha na yeyote kiasi cha kuhitimisha kuwa na kila mtu ajipambanie kivyake tu, unatoka wapi?
Ni wazi kuwa tumekosa viongozi wa maana wa kutuongoza kupita salama kwenye gonjwa hili. Kwa bahati mbaya hali itaendelea kuwa hivi hadi pale gonjwa hili litakapopiga sawa sawa na hasa kama likipiga pale pale penyewe.
Au nasema uongo ndugu zangu?
Hahaa kwahiyo kazi yetu ni kusubiri wengine wagundue dawa, sisi tunafanya jitihada gani hata za kuzuia kusambaa kwa ugonjwa kwani hata barakoa tu rais haonyeshi mfano wa kuvaa au maombi yanatosha.Tusubiri wapate chanjo itakayodhibiti aina mbalimbali, kama wao tu wamejichanja saizi wanasema corona nyingine inatoka A. Kusini, itabidi wajichanje tena, nyingine sijui Brazil itabidi wajichanje. Tusubiri tu
bahati mbaya wamekutana na watu wanaofikiri kabla ya kufata mkumbo.Nguvu inayotumika kujengea watu hofu kuhusu corona ni kubwa mno kuhusu ukweli wa corona yenyewe
Kwa hiyo lumumba mnataka kushindana na UK? Mnafikiri hao Ni ACT? Siyo kila Vita Ni ya kupigana, nyingine unaziepuka hata kwa kutumia style ya mbuni...unafukia kichwa mchangani kiwiliwili nje unajifanya hujui.Naona mnashabikia ujinga wa kutokuelewa kinachohabarishwa.
Hatua hiyo ya UK itawahusu raia wote khasa wale walogundulika wanapitia Tanzania lakini wanatokea Afrika Kusini.
Mbona hata UK nao wanaelekea kuzuiwa kuingia nchi za Jumuiya ya Ulaya?
ukute yeye ndiye alikuwa akiitikia"waaambieeee,wapigeeeee[emoji23][emoji23][emoji23]"wakati lissu anaongea.Wewe ulitakaje mkuu .. ukae ndani usifanye kazi? Kampeni zimepita kina lissu walikuwa wanakusanya watu alipata hiyo corona ?!
Haya ni mafua makali na tuna njia zetu wenyewe za kudhibiti
Kwenye utawala huu au ujao?!!hilo ni jambo la mtu au ofisi na maamuzi yake.
ofisi nyingi kama bank na taasisi kuna sanityzer bado.
kama wamechanja raia wao,wakanini bado wanaogopa muingiliano!!!Kuna chanjo inasambazwa kwenye nchi mbalimbali duniani Tanzania bado hatujaruhusu chanjo hiyo kuingia.
[emoji23][emoji23][emoji23]huu ndio msimamo wa vichaa fulani,ila ikitangaza hivi huwezi amini watapinga na kugalagala chini[emoji1787].Basi serikali itoe data kwa kusema watanzania wote tuna corona hivyo hakuna maambukizi mapya
wao kama UK wanaamini chanjo yao,wajikite kuwapa raia wake,maisha ya wengine hayawahusu.WHO hawalali wanahangaika usiku na mchana kupata dawa hawajakaa wakitegemea maombi, sisi (Tz) wala hatujishughulishi hata kujaribu chanjo zilizopo tunasubiri rehema za Mungu.
Kwa wafanyabiashara na wanaokwenda kusoma inakaaje mkuu.Sasa mnamlaumu Jiwe kwa sababu ya South Africa covid variant? Ingekuwa Tanzania covid variant ningeelewa mantiki ya hiyo ban. Vinginevyo ni upuuzi na kuchanganyikiwa kwa hao wazungu wa UK.
Ok tumepigwa ban kuingia UK....kwa nchi na mtu anayejielewa hiyo ban should not be our problem, it is UK problem. UK ni paradiso?