Kudorora mapokezi ya Rais Samia kutoka Marekani Tatizo limeanzia hapa...

Watanzania ni waelewa sana, kama hawapendi kitu wanakaa kimya!
Kwenye hotuba yake amesahau kuuambia Ulimwengu
"nimekuja kujitambulisha" bila kusahau jinsia yake!
Ziara zake zote ni hasara tu, kama nchi tumeliwa
😅😅😅Tumepigwa
 
Sote ni mashahidi tangu juzi kuna kakikundi ambako sidhani kama ni watanzania kweli au wachumia tumbo tu wanaolipwa kushibisha nafsi zao au la!

Tangu juzi tumeshuhudua kukurukakara za hapa na pale za kutaka kuaminisha watanzania wachache kuwa Rais Samia Suluhu alitoa hotuba ya kihistoria. Ile ni hotuba ya kawaida sana.

Kwanza niwajulishe tu walioona na kusoma hotuba ya Rais ni watanzania wachache tena wanasiasa ambao wana access ya Mitandao ya kijamii. Huko vijijini na mikoani wala hawama habari na kinachoendelea. Wengi ktk mikoa ya kanda ya ziwa na magharibi hiki ni kipindi cha kuandaa mashamba ya kilimo ktk msimu wa mvua ujao.

Hata hivyo kumekuwa na jitihada za kutaka kulikuza jambo hili kwa kile kilichoandaliwa kama mapokezi ya Rais kutoka Marekani.

Mbali na vijitangazo vidogo vidogo sijaona tukio lolote mahali popote likishangiliwa na watanzania. Sijaona Tv wala mtandao wa social media hata ule wa vijigazeti la chama.

Watanzania wamesusa. Wamesusa kwa sababu hawafurahishwi na kinachoendelea nchini

Matukio ya kubambikiza watu kesi za ugaidi yamewachukiza sana watanzania wapenda amani, haki na maendeleo. Watanzania wamekatishwa tamaa na namna nchi inavyoendeshwa kupitia Tozo na kodi lufufu.

Watanzania hawawezi kufurahia tukio la Mtu na kikundi cha watu wachache kwenda marekani huku wakiacha uvunjifu mkubwa wa haki za kikatiba kama uhuru wa vyombo vya habari, haki za kukusanyika na kufanya shughuli za kisiasa na uchumi.

Nimuombe Mama Rais Samia Suluhu hajachelewa. Arekebishe mienendo yake ya utawala. Ajikite kulinda haki za wananchi makundi yote wakulima, wafugaji, wafanyabiashara, watumishi wa umma na wanasiasa.

Akifanya hivyo hatahitaji nguvu kubwa kusherehesha watanzania. Wakiwa na Furaha watampokea mgeni bila kutumwa.

Si Whatsapp, twitter, facebook, youtube wala instagram huoni shamra shamra. Wikendi imepoa sana kama hakuna kitu.
wewe njaa inakuuma, ukipewa kitengo unasaliti watu watz tunawajua.
 
Hii kesi ya mtuhumiwa wa ugaidi iendelee kwa kasi na wanasesere na wajivuni hawa mawakili wa mbowe wapuuzwe. Wanajaribu muukoa gaidi on technicalities. Huu ulissu usiwe na nafasi. Lazima kesi iamuliwe kwa ushahidi wa kesi yenyewe.. tusije acha magaidi wapate kichwa na kufikia hali ya kule kivu congo na mozambique.
 
Hamza Gaidi wa Vitendo alikuwa kada na mfadhili wa CCM. Unasemaje?
 
Back
Top Bottom