establishment
JF-Expert Member
- Jun 27, 2015
- 1,632
- 2,435
SureWee dili na alama za barabarani epuka over taking zisizo na ulazima fuata masharti ya barabara safari yako uta enjoy.
Ila dar to mwanza ni karibu sana siku nyingine usiseme hivo.
Mi natoka dar hadi guba kusini sudani naiona ilee naicha tena naendelea wee unasema mwanza?daaa