dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
HV ushatoka au nipitie ddm hapa Nina kafurushi Cha kwenda nacho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa alimaliza kilakitu naikumbuka hii madaSoma hii thread zaidi ya mara moja | Tahadhari kali kwa nyote mlio na magari binafsi; chunga sana na waambie wengine! | Utajifunza mambo mengi sana.
HV ushatoka au nipitie ddm hapa Nina kafurushi Cha kwenda nacho
mauti inakutafuta mnoooo😂😂😂Toyota Rumion kiongozi.....
Huu uzi mbona kama uli copy hapa?Thread 'Je, unapenda kuendesha gari lako kwa usalama? Pitia hapa' Je, unapenda kuendesha gari lako kwa usalama? Pitia hapa
Upo sahihi mkuu.Niliukopi ila sikuonyeshesha point of reference.Ila lengo ni kuokoa maisha ya watu.Huu uzi mbona kama uli copy hapa?
Tahadhari kali kwa nyote mlio na magari binafsi; chunga sana na waambie wengine!
Hasa kwa wale wanaonunua magari kwa mara ya kwanza, na hawana uzoefu wa kuendesha gari, na pia wale wote ambao wanaweza wakawa wana uzoefu wa kuendesha gari mijini, lakini hawana uzoefu wa kuendesha gari kwenye barabara kuu za kwenda mikoani. Lakini ni vema kila mtu aliye dereva akasoma...www.jamiiforums.com
Safar ndefu ambayo niliwah kusafir ni kutoka Masasi hadi Arusha.Kwamara ya kwanza mwisho wa mwez huu nimepanga ksafir umbali mrefu kwakutumia usafir binafsi Dar to Mwanza. Naomba muongozo kipi cha kuzingatia hasa ili kupunguza mazonge njiani hususani issue ya service ya chombo chenyew?
Jambo jema kaka,umesaidia wengi ambao ni wageni au hawakuwahi kuusoma mada hii ilipoanzishwa 2015.🤝Upo sahihi mkuu.Niliukopi ila sikuonyeshesha point of reference.Ila lengo ni kuokoa maisha ya watu.
We jamaa ni mwenyeji sana wa hii barabara, kula five[emoji1477]1. Hakikisha unafanya service ya engine.
2. Hakikisha unakua na spare tyre.
3. Hakikisha unakua na wheels spaner, Jeki, Pembe tatu, fire extinguisher.
4. Hakikisha gari ina bima na kadi ya ukaguzi.
5. Kutoka Dar to Morogoro jitahidi kua makini sana kwasababu kidogo lami imejisokota na kuna tochi nyingi pia kua makini na magari makubwa yanayo paki karibu na barabara hasa kuanzia Chalinze, Gairo na Dumila.
6. Ukisigea Pandambili to Kibaigwa pale tembea mwendo wa haja wala usiwe na shaka.
7. Kutoka Kibaigwa hadi Chamwino barabara ipo vizuri ila kua makini pale Mtanana karibu na Nako hua kuna Trafic wanaweka kizuizi cha kizushi nabhawaeleweki wale, lakini barabara ipo njema hadi unaingia Dodoma.
Umepita barabara ipi nduguuuuJana nmetoka msoma saa kumi na mbil jion nmeingia sumbawanga sa tano asubh🙌 very long trip
Huyu lazima anzia safari yake Tabora, kwa kupitia Bunda, Lamadi, Bariadi, Maswa, Mwigumbi, Maganzo, Shinyanga, Tinde, Nzega, Isikizya/Uyui kisha Tabora akitokea MusomaUmepita barabara ipi nduguuuu
Aisee umetisha SanaaaaHuyu lazima anzia safari yake Tabora, kwa kupitia Bunda, Lamadi, Bariadi, Maswa, Mwigumbi, Maganzo, Shinyanga, Tinde, Nzega, Isikizya/Uyui kisha Tabora akitokea Musoma
Niliingilia lamad kuja kutokea mwigumb nlvyofika mpanda nkaptia njia ya kibaoniUmepita barabara ipi nduguuuu
Lami imeshaisha au bado kuna vumbiNiliingilia lamad kuja kutokea mwigumb nlvyofika mpanda nkaptia njia ya kibaoni
Vumbi ni la kutosha lami iko kipande kdogo sana porinLami imeshaisha au bado kuna vumbi
Nadhan Ni muhimu pia kujua anaendesha gari ganiMuhimu zaidi, endesha kwa kujilinda. Tii sheria za barabarani.
Upo kwenye safari yako mwenyewe. Usipende ligi za kipuuzi.
Fahami uwezo wa engine yako. Kisha tumia uwezo huo katika uendeshaji wa kiungwana.
Ukijihisi mchovu, simama. Pumzika kisha endelea na safari.
Wee dili na alama za barabarani epuka over taking zisizo na ulazima fuata masharti ya barabara safari yako uta enjoy.Kwamara ya kwanza mwisho wa mwez huu nimepanga ksafir umbali mrefu kwakutumia usafir binafsi Dar to Mwanza. Naomba muongozo kipi cha kuzingatia hasa ili kupunguza mazonge njiani hususani issue ya service ya chombo chenyew?
Wale hua napiga full mara moja wananiambia tembea nasindikiza na hone kidogo basi safari inaendelea[emoji2]1. Hakikisha unafanya service ya engine.
2. Hakikisha unakua na spare tyre.
3. Hakikisha unakua na wheels spaner, Jeki, Pembe tatu, fire extinguisher.
4. Hakikisha gari ina bima na kadi ya ukaguzi.
5. Kutoka Dar to Morogoro jitahidi kua makini sana kwasababu kidogo lami imejisokota na kuna tochi nyingi pia kua makini na magari makubwa yanayo paki karibu na barabara hasa kuanzia Chalinze, Gairo na Dumila.
6. Ukisigea Pandambili to Kibaigwa pale tembea mwendo wa haja wala usiwe na shaka.
7. Kutoka Kibaigwa hadi Chamwino barabara ipo vizuri ila kua makini pale Mtanana karibu na Nako hua kuna Trafic wanaweka kizuizi cha kizushi nabhawaeleweki wale, lakini barabara ipo njema hadi unaingia Dodoma.