Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,600
- 59,760
Wale Mashekhe na Mbuzi wao walisema wanatuma majiniWE ACHA TU..

Nasikia police wamepost porno kwenye ukurasa wao wa X
Unaingia ukiwa umevua nguo au na nguo zakoMbona mm kote huko naingia kama kawaida
Nikiwa nimevua.Unaingia ukiwa umevua nguo au na nguo zako
Hawataki tuone video za X leo usiku wa manane🤣🤣🤣Nimecheka kingese
nimekupuuza na kukudharau..Huo sio utetezi hio ni weak defensive mechanism only stupid people's can do that, sasa km unaongozwa na majinga wanaweza wakaji-defend hivyo kwamba hata China wanadukuliwa stupid
kila mwenye mawazo tofauti na yako maccm!? kua kwanzaNdo mnavyonifariji maCCM Hata marekani umeme unakatika a hahaha ha
wacha nimshukuru Mungu kwa udukuzi wakati chawa wanamshukuru Samia kwa kuruhusu udukuzi🤣🤣Wakuu,
Majirani wanapata burudani tu huko, wanasema sasa mtu unaweka password "Zuchu" au "Diamond" unategemea nini?![]()
majirani wanajua kutusuta😂.
View attachment 3340497
Ila tukisema ukweli kutoka moyoni, si ni kama majirani wametusadia Watanzania kulipiza hata robo kwa madhila tunapitia?
Comments za wananchi kwenye udukuzi wa leo ni funzo tosha kwa serikali yoyote inayojielewa kurudi nyuma na kubadilisha nyendo zake, maana imeonesha bila chenga jinsi wananchi walivyoichoka serikali yao. Chance yoyote watakayoipata kuhahakisha serikali inataabika vilivyo wataichukua, hii sio hatua nzuri
Lakini si mnajua tena wanazengo wetu walivyokuwa sikio la kufa? Wameenda kule kule walipokuwa wanategemewa kutoa vitisho na kichambo ndani yake, wengine mpaka wamefanya tuonekane weupe, eti wamefungua account mpya wakati dunia imeona tulivyodukuliwa.... nakusalimu sana Mkuu Gerson Msigwa.
Anyhu, kwakuwa Rais Samia na wapambe wake wanapita humu, kuna madini mengi humu ya kujifunza kujiweka sawa upande wa digitali, na hata JamiiForums wanaweza kuwasaidia kabisa kuwapiga msasa tusiaibike tena wakati mwingine.... ila dawa itakayomaliza haya kabisa kabisa ni utawala bora, uwajibikaji na kufanya maboresho kama mama alivyosema kwa kizaramo 'reforms' sehemu zote tunazoona hazina tija kwa sasa.
Alamsik!
Oya huyo nani?View attachment 3340514
Kutafutana kwa kutumia akili Mchezo.
wangedukua mfano benki nchini ama taarifa nyeti sawa, sasa unadukua akaunti ya mtandao aiseeWakuu,
Majirani wanapata burudani tu huko, wanasema sasa mtu unaweka password "Zuchu" au "Diamond" unategemea nini?![]()
majirani wanajua kutusuta😂.
View attachment 3340497
Ila tukisema ukweli kutoka moyoni, si ni kama majirani wametusadia Watanzania kulipiza hata robo kwa madhila tunapitia?
Comments za wananchi kwenye udukuzi wa leo ni funzo tosha kwa serikali yoyote inayojielewa kurudi nyuma na kubadilisha nyendo zake, maana imeonesha bila chenga jinsi wananchi walivyoichoka serikali yao. Chance yoyote watakayoipata kuhahakisha serikali inataabika vilivyo wataichukua, hii sio hatua nzuri
Lakini si mnajua tena wanazengo wetu walivyokuwa sikio la kufa? Wameenda kule kule walipokuwa wanategemewa kutoa vitisho na kichambo ndani yake, wengine mpaka wamefanya tuonekane weupe, eti wamefungua account mpya wakati dunia imeona tulivyodukuliwa.... nakusalimu sana Mkuu Gerson Msigwa.
Anyhu, kwakuwa Rais Samia na wapambe wake wanapita humu, kuna madini mengi humu ya kujifunza kujiweka sawa upande wa digitali, na hata JamiiForums wanaweza kuwasaidia kabisa kuwapiga msasa tusiaibike tena wakati mwingine.... ila dawa itakayomaliza haya kabisa kabisa ni utawala bora, uwajibikaji na kufanya maboresho kama mama alivyosema kwa kizaramo 'reforms' sehemu zote tunazoona hazina tija kwa sasa.
Alamsik!
Bado unaamini chochote toka kwa huyo "...kama mama alivyosema..."? Mtu aliyejaa ulaghai kwa kila jambo analolitamka! 4R zake bado anazikumbuka; hata kule kuzitaja tu?ra, uwajibikaji na kufanya maboresho kama mama alivyosema kwa kizaramo 'reforms' sehemu zote tunazoona hazina tija kwa sasa
Nasikia wametuma UTAMU kwenye akaunti ya jeshi la polisi. Naomba mwenye nao atume humu tuone jamani. Hii mbona ni balaa?Wakuu,
Majirani wanapata burudani tu huko, wanasema sasa mtu unaweka password "Zuchu" au "Diamond" unategemea nini?![]()
majirani wanajua kutusuta😂.
View attachment 3340497
Ila tukisema ukweli kutoka moyoni, si ni kama majirani wametusadia Watanzania kulipiza hata robo kwa madhila tunapitia?
Comments za wananchi kwenye udukuzi wa leo ni funzo tosha kwa serikali yoyote inayojielewa kurudi nyuma na kubadilisha nyendo zake, maana imeonesha bila chenga jinsi wananchi walivyoichoka serikali yao. Chance yoyote watakayoipata kuhahakisha serikali inataabika vilivyo wataichukua, hii sio hatua nzuri
Lakini si mnajua tena wanazengo wetu walivyokuwa sikio la kufa? Wameenda kule kule walipokuwa wanategemewa kutoa vitisho na kichambo ndani yake, wengine mpaka wamefanya tuonekane weupe, eti wamefungua account mpya wakati dunia imeona tulivyodukuliwa.... nakusalimu sana Mkuu Gerson Msigwa.
Anyhu, kwakuwa Rais Samia na wapambe wake wanapita humu, kuna madini mengi humu ya kujifunza kujiweka sawa upande wa digitali, na hata JamiiForums wanaweza kuwasaidia kabisa kuwapiga msasa tusiaibike tena wakati mwingine.... ila dawa itakayomaliza haya kabisa kabisa ni utawala bora, uwajibikaji na kufanya maboresho kama mama alivyosema kwa kizaramo 'reforms' sehemu zote tunazoona hazina tija kwa sasa.
Alamsik!
Point ya uzi wako ni nn?Hili jambo mbona ni la likawaida sana hapa Duniani ? Au kwao imekuwa ajabu ?
Mi ningewaona wamekuwa wa juu ya kiwango kama wangehamisha hazina ya benki na kugawana ila twitter wasapu ,hivi mna mafaili ya maana kwenye hizo social media zaidi ya kuweza kuposti ?
Yaani imekuwa gumzo la mjini huko Kenya wanajiona wapo mbaali wana tatizo la debe tupu. Ajabu nyingine hawa mazombi wa Chadema nao ndio wameona wamepata mashiko ya kuingurumia Serikali ya Tanzania, Chadema msiwe malimbukeni mnategemea wanayorusha walioko ughaibuni ili mpate la kulinadi kwa wananchi na kuhongeza chunvi na vitunguu.
Kirua yamemkuta hapa Tanzania sijui kama atakuja tena.