PreGE2025 Kudukuliwa kwetu imekuwa kituko Kenya, wanasema polisi wameweza kuzuia akina Martha udukuzi umewashindaje?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mbna mnawapaisha sana wakenya? Swala la udukuzi ni jambo lakawaida tu mbna.

Pia mjue alie dukua sio mkenya niwa tz ila wamejifichia jina kenya wasifatilie jiulze kwanin wadukue account ya police kuwa aibisha? Mkenya anabifu gan na polce wa tz? Kama sio mambo ya siasa yanayoendelea tz na vyombo vya dora.

mdukuzi aje ajibu shitaka
 
kuwa hacked hakuna ujanja. akija mtu anajua kuchapa code unadukuliwa tu.hata uwe na fire walls ya aina gani. cha msing uwe na IT ambao nao watakua kila mara wanaisukq firewall yenu
Suppose you hire people to do that
 
Mbna mnawapaisha sana wakenya? Swala la udukuzi ni jambo lakawaida tu mbna.

Pia mjue alie dukua sio mkenya niwa tz ila wamejifichia jina kenya wasifatilie jiulze kwanin wadukue account ya police kuwa aibisha? Mkenya anabifu gan na polce wa tz? Kama sio mambo ya siasa yanayoendelea tz na vyombo vya dora.

mdukuzi aje ajibu shitaka
Polisi hawana hamu nimecheka sana wamepost porno
 
Mbna mnawapaisha sana wakenya? Swala la udukuzi ni jambo lakawaida tu mbna.

Pia mjue alie dukua sio mkenya niwa tz ila wamejifichia jina kenya wasifatilie jiulze kwanin wadukue account ya police kuwa aibisha? Mkenya anabifu gan na polce wa tz? Kama sio mambo ya siasa yanayoendelea tz na vyombo vya dora.

mdukuzi aje ajibu shitaka
Sawa la kawaida,
Swali ndiyo wadukue sehemu zaidi ya 2
 
Hata Marekani hakuna maji Safi na salama,sembuse Tanganyika.
Nyinyi ndio wale mnainuka mnasema mboni hata mamawanamgonga acha na mimi nigongwe, ujingaujinga tu
 
Huo sio utetezi hio ni weak defensive mechanism only stupid people's can do that, sasa km unaongozwa na majinga wanaweza wakaji-defend hivyo kwamba hata China wanadukuliwa stupid
Unadhani unaweza kua na defence gani kwenye jambo ambalo ukulitengeneza wewe na ata anayelioparate humjui.Hii ni mitandao tu na ina mapungufu yake mbalimbali kwasababu wanayoitengeneza ni binadamu mbalimbali.Tweeter yenyewe iliwai kudukuliwa sembuse watumiaji wake.Asikudanganye mtu kua hii mitandao ni salama.
 
Sasa ndio useme kwakua Rajabu walimfira na wewe kufirwa ni haki yako?
 
Unadhani unaweza kua na defence gani kwenye jambo ambalo ukulitengeneza wewe na ata anayelioparate humjui.Hii ni mitandao tu na ina mapungufu yake mbalimbali kwasababu wanayoitengeneza ni binadamu mbalimbali.Tweeter yenyewe iliwai kudukuliwa sembuse watumiaji wake.Asikudanganye mtu kua hii mitandao ni salama.
Huwezi ukatoa defence ya kijinga km hio ndio madhara ya kuweka waziri wa ulinzi mwanamke, ushawahi kuvamiwa na majambazi mkeo ukamuona anachokifanya?
 
Hili jambo mbona ni la likawaida sana hapa Duniani ? Au kwao imekuwa ajabu ?
Mi ningewaona wamekuwa wa juu ya kiwango kama wangehamisha hazina ya benki na kugawana ila twitter wasapu ,hivi mna mafaili ya maana kwenye hizo social media zaidi ya kuweza kuposti ?

Yaani imekuwa gumzo la mjini huko Kenya wanajiona wapo mbaali wana tatizo la debe tupu. Ajabu nyingine hawa mazombi wa Chadema nao ndio wameona wamepata mashiko ya kuingurumia Serikali ya Tanzania, Chadema msiwe malimbukeni mnategemea wanayorusha walioko ughaibuni ili mpate la kulinadi kwa wananchi na kuhongeza chunvi na vitunguu.
Kirua yamemkuta hapa Tanzania sijui kama atakuja tena.
Tatizo hamna akili na hamwezi tena kuongoza nchi mnalazimisha tu.
 
Yaani page yenu imetumiwa na waovu kutuma habari mbaya ya uchuro kwa kiongozi Mkuu ninyi kimya kama hakuna lililotokea,

Viongozi wakubwa mnasubiri Nini kujiuzuru kupisha aibu hii iliyotukia?

Nani sasa awajibike badalla yenu?
 
Hata hili nalo litapita...

wanajisemea hivyo huku wakipiga soga la kwa mkapa ama zanzibari
 
Back
Top Bottom