Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,742
- 56,070
Hilo lipo kwa watumish wa chini tu, kwa viongoz not so muchUwajibikaji wa pamoja,
Collective responsibility imeenda wapi jamani?
Hilo lipo kwa watumish wa chini tu, kwa viongoz not so muchUwajibikaji wa pamoja,
Collective responsibility imeenda wapi jamani?
??!!??Kwahiyo kama alidukuliwa mnajibuje kirahisi hivo acheni kumplove ujinga
nimekusamehe na kukupuuza.Wewe ni mmojawapo wa wale wanaojipa moyo kuwa "hata baba yangu naye alishapumuliwa kisogoni" katika kuhalalisha upumbavu muufanyao.
nimekusamehe na kukupuuza.Wewe ndo yule ambaye ulilawitiwa ukasema hata jirani yako aliwahi lawitiwa so haina shida?
Lamine Yamal Kaka.Oya huyo nani?
Polisi wetu ni miguvu tu akili haina, wengi ni form 4 failure haishangazi wao kudukuliwa!hata marekani walidukuliwa sembuse tanzania!?
Tatizo la exposure na mfumo duni wa Elimu, ndiyo matokeoyake haya.Hahahaaaa mkuu ndiyo watu wajue tuna tatizo kubwa. Mtu anasema bila aibu mbona USA kadukuliwa yaani alivyo ZEZETA anaona kwa sababu USA kadukuliwa Basi ni sahihi na sisi kudukuliwa. Tanzania yetu tuna changamoto sana.
tatizo ni kubwa sana, kuja kurudi kwenye mstari itachukuwa muda mrefu sana. ku catch up na majirani zetu wenda ikachukua kitambo kidodogo.Polisi wetu ni miguvu tu akili haina, wengi ni form 4 failure haishangazi wao kudukuliwa!
SA100 mwenyewe naye form 4 alilamba zero, we msikilize kwenye speech zake akiwa hasomi vikaratasi utaona jinsi alivyo 'white' kuchwani!
Kabisa mkuuTatizo la exposure na mfumo duni wa Elimu, ndiyo matokeoyake haya.
PoliCCM have now turned a laughing stock.Wakuu,
Majirani wanapata burudani tu huko, wanasema sasa mtu unaweka password "Zuchu" au "Diamond" unategemea nini?![]()
majirani wanajua kutusuta😂.
View attachment 3340497
Ila tukisema ukweli kutoka moyoni, si ni kama majirani wametusadia Watanzania kulipiza hata robo kwa madhila tunapitia?
Comments za wananchi kwenye udukuzi wa leo ni funzo tosha kwa serikali yoyote inayojielewa kurudi nyuma na kubadilisha nyendo zake, maana imeonesha bila chenga jinsi wananchi walivyoichoka serikali yao. Chance yoyote watakayoipata kuhahakisha serikali inataabika vilivyo wataichukua, hii sio hatua nzuri
Lakini si mnajua tena wanazengo wetu walivyokuwa sikio la kufa? Wameenda kule kule walipokuwa wanategemewa kutoa vitisho na kichambo ndani yake, wengine mpaka wamefanya tuonekane weupe, eti wamefungua account mpya wakati dunia imeona tulivyodukuliwa.... nakusalimu sana Mkuu Gerson Msigwa.
Anyhu, kwakuwa Rais Samia na wapambe wake wanapita humu, kuna madini mengi humu ya kujifunza kujiweka sawa upande wa digitali, na hata JamiiForums wanaweza kuwasaidia kabisa kuwapiga msasa tusiaibike tena wakati mwingine.... ila dawa itakayomaliza haya kabisa kabisa ni utawala bora, uwajibikaji na kufanya maboresho kama mama alivyosema kwa kizaramo 'reforms' sehemu zote tunazoona hazina tija kwa sasa.
Alamsik!
hahahaha yaani ni hatari, watu mnachezewa hadi mnachezaPolisi hawana hamu nimecheka sana wamepost porno
hamna wakenya hapo. Mnahangaika na wabongo humuhumu tu, waliochoka na serikari iliyopo, wanawadharirishaSawa la kawaida,
Swali ndiyo wadukue sehemu zaidi ya 2
Duuu! Achana na mawazo ya hivi. Maana yake huwezi kujishughulisha kabisa Kwasababu na fulani ni masikini. Ama utasema Fulani ameibiwa hela kwenye mfuko wake hivyo na wewe ukiibiwa sawa tu. Ama waweza sema mzazi wa Fulani akivunjiwa heshima basi na mzazi wako akivunjiwa heshima mbela ya kadamnasi ni sawa tu. Badilika! Badilika! Badilika kifikra.hata marekani walidukuliwa sembuse tanzania!?
Hata mimi sidhani kama ni wakenyahamna wakenya hapo. Mnahangaika na wabongo humuhumu tu, waliochoka na serikari iliyopo, wanawadharirisha
ndo hvo mkuu, upepo wa uchaguzi ndo unaovuma kwa sasa.Hata mimi sidhani kama ni wakenya
anaona ila anakaza fuvu tu!Samia angepumzika tu jamani ina maana haoni asivyokubalika au analazimisha tu?