PreGE2025 Kudukuliwa kwetu imekuwa kituko Kenya, wanasema polisi wameweza kuzuia akina Martha udukuzi umewashindaje?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Huo sio utetezi hio ni weak defensive mechanism only stupid people's can do that, sasa km unaongozwa na majinga wanaweza wakaji-defend hivyo kwamba hata China wanadukuliwa stupid
nimekupuuza na kukudharau..
 
wacha nimshukuru Mungu kwa udukuzi wakati chawa wanamshukuru Samia kwa kuruhusu udukuzi🤣🤣

View: https://youtube.com/shorts/Auq7uKwzMBQ?si=KthSG-NTTg9V_ekR
 
wangedukua mfano benki nchini ama taarifa nyeti sawa, sasa unadukua akaunti ya mtandao aisee
 
ra, uwajibikaji na kufanya maboresho kama mama alivyosema kwa kizaramo 'reforms' sehemu zote tunazoona hazina tija kwa sasa
Bado unaamini chochote toka kwa huyo "...kama mama alivyosema..."? Mtu aliyejaa ulaghai kwa kila jambo analolitamka! 4R zake bado anazikumbuka; hata kule kuzitaja tu?
 
Nasikia wametuma UTAMU kwenye akaunti ya jeshi la polisi. Naomba mwenye nao atume humu tuone jamani. Hii mbona ni balaa?
 
Hili jambo mbona ni la likawaida sana hapa Duniani ? Au kwao imekuwa ajabu ?
Mi ningewaona wamekuwa wa juu ya kiwango kama wangehamisha hazina ya benki na kugawana ila twitter wasapu ,hivi mna mafaili ya maana kwenye hizo social media zaidi ya kuweza kuposti ?

Yaani imekuwa gumzo la mjini huko Kenya wanajiona wapo mbaali wana tatizo la debe tupu. Ajabu nyingine hawa mazombi wa Chadema nao ndio wameona wamepata mashiko ya kuingurumia Serikali ya Tanzania, Chadema msiwe malimbukeni mnategemea wanayorusha walioko ughaibuni ili mpate la kulinadi kwa wananchi na kuhongeza chunvi na vitunguu.
Kirua yamemkuta hapa Tanzania sijui kama atakuja tena.
 
Point ya uzi wako ni nn?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…