PreGE2025 Kudukuliwa kwetu imekuwa kituko Kenya, wanasema polisi wameweza kuzuia akina Martha udukuzi umewashindaje?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kama vipi na wabongo nao wadukue akaunt za majiran.
Ninachoamini kwa hapa afrika ni nigeria na kenya ndio watu pekee vijana waliosomea IT wanaonesha uwezo sio sisi mtu anasomea TEHAMA afu anakuwa fundi simu na redio
 
Huo sio utetezi hio ni weak defensive mechanism only stupid people's can do that, sasa km unaongozwa na majinga wanaweza wakaji-defend hivyo kwamba hata China wanadukuliwa stupid
Hahahaaaa mkuu ndiyo watu wajue tuna tatizo kubwa. Mtu anasema bila aibu mbona USA kadukuliwa yaani alivyo ZEZETA anaona kwa sababu USA kadukuliwa Basi ni sahihi na sisi kudukuliwa. Tanzania yetu tuna changamoto sana.
 
Hahahaaaa mkuu ndiyo watu wajue tuna tatizo kubwa. Mtu anasema bila aibu mbona USA kadukuliwa yaani alivyo ZEZETA anaona kwa sababu USA kadukuliwa Basi ni sahihi na sisi kudukuliwa. Tanzania yetu tuna changamoto sana.
Hawa ndio wale wanafirwa kisha wanasema mboni Elton John anafirwa kwani kuna tatizo gani kufirwa, yaan yeye suala la kufirwa sababu huko USA watu wanafirwa basi na yeye anachukulia suala la kawaida tu acha na yeye afirwe, haya ushafirwa sasa umefanana na USA?
 
Huo sio utetezi hio ni weak defensive mechanism only stupid people's can do that, sasa km unaongozwa na majinga wanaweza wakaji-defend hivyo kwamba hata China wanadukuliwa stupid
Kuchutama ndiyo uungwana
 
Ndiyo maana mna uzezeta sana Wana ccm Sasa hii kitu ya kukitetea na kuona ni sawa kudukuliwa?.
 
Police wanasahau kazi yao na kufanya uenezi wa ccm
Polisi hawana hamu maana hio ni ⚠️ wanaweza wakafanya fyoko ukashangaa picha zao na za wake zao zimesambaa wakiwa km walivyozaliwa
 
Kuna mhuni wa kisiasa kumzidi bi kijumbe?
 
kuwa hacked hakuna ujanja. akija mtu anajua kuchapa code unadukuliwa tu.hata uwe na fire walls ya aina gani. cha msing uwe na IT ambao nao watakua kila mara wanaisukq firewall yenu
 
Clouds FM kuna mtaalamu wa tehama kutoka Lumumba anaongea juu ya udukuzi wa jana
 
Ushapigwa kidole na chizi ukianza kurusha ngumi wote mnaonekana machizi, sasa jamaa wamepigwa kidole na chizi wamezima mitandao yote nani anaonekana chizi hapo?
Ukisha mjua chizi wa kudumu haikupi shida hata hivyo Tanzagiza tuna mfumo wa kuahirisha kufikiri kwa nafsi a.k.a kujizima data hata kwa yale nyeti huwa yanapita tu nadhani huko tunako kwenda washika tonge wata zeeka kabla ya muda halisi wa kuzeeka
 
Matusi ya waziwazi lakini ni kweli sisi tunawekeza nguvu kuliko akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…