Elections 2015 Kuelekea 2015: CHADEMA Kuchukua Nchi Kwa Kishindo!... Only If...!


Kwani sera za cdm huzijui?au unataka zipi tena,mbona kilakitu kipo wazi!
 
Mana ilishuka unconditional, 2015, Chadema inapaswa kuchukua nchi kiulaini only if CCM haitamsimamisha EL, sasa ikitokea ile "death wish" yako inamaanisha Mungu Baba kawapa nchi kama mana!.
"Yeye ni mwamba, na juu ya mwamba huo, atalijenga taifa lake"!.
 
Kwani sera za cdm huzijui?au unataka zipi tena,mbona kilakitu kipo wazi!

Huyu achana nae bado anaamini habari hazifiki vijijini..kama watu wanaangalia live el-clasico ndio habari za madafu zisifike?hakujua kwa nini helcoptor ililetwa.Hajui siku hizi hata voucher nchi mzima bei ni ileile.Bado wanaona kuwa hawaonekani kwa bile wapo katik nyumba yenye tinted glasses huku taa zinawaka hawajui usiku ndio muda wa nje kuona ndani na ndani kutoona nje.
 
Mkuu J Mushi, narudi kinyume nyume, maswali yako nitayakuta na nitayajibu!. Aliyesema 2015 rais ni lazima atoke Kaskazi, sio mimi!. Ninachosema mimi ni kutilia tuu huo unabii, ila pia kina mtu ana wish ake ya rais atoke wapi, kwa Chadema, kuna mtu anayetegemewa sana, alishanieleza hagombei hivyo mimi namsupport mgombea wenu yule wa kule mwisho wa reli!.
 


We mwenda...wazimu kelele! N
 

teh teh..hata wao hawapendi ichukua kilaini.ndio maana wanawahimiza wajikaze kidogo,Si unasiki awanavyokasirika kwa kuwaita "dhaifu".By the way sasa hivi umeamua kimbilia kwenye mana na kushuka Injil."Kweli Umemkiri" itabidi uitiwe mama Rwakatare akusaidie zaidi.Suala la E.L unaweza liandika kwenye thread nilipoweka mawazu yangu juu ya move yake.Ila sijamtaka afe ila nilitaka watu wajadeal options alizo nazo za kuelekea urais na kitendawili anachohitaji kitengua.CDM ni kama Bacelona akiangalia mechi kati ya man u na arsenal anasubiri wachapane halafu waje wakiwa hoi akawasulubu.Nadhani unapata picture Man anajisiaje akicheza mechi huku akijua kuwa htu aifuatayo atakutana na Bacelona.So mh EL nahaitaji big plan with big sacrifice.link yake hii
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...nasubiri-vinguvu-vidogo-kama-samsom.html.Hapa unachanganya mboga tuu kwani sasa umesharukia Mana,na Injili wakti wewe ni ustaadhi.
 

Ikaliwa conditionally
 
Humu jf tuna manabii wengi!, Prophets of the doom, Hate Preachers na hata "prophets of the death" with their death wishes!. All and all, narudi kinyume nyume, posti zako nitazifikia!. Ila nakushauri, never wish someone dead again!, your death wish might back fire and hit back!. Mbona mimi mgombea wangu ni EL, lakini kwenu namsupport ZZK?!, mbona mimi nimeshawaambia 2015 ni CCM tena and yet nawaambia to do things right!. Why would you wishi someone dead?!.
 
Ikaliwa conditionally
Exactily, wako wengi wanaojifariji kuwa ushindi kwa Chadema 2015 is given, unconditional, nilichowaambia, its not unconditional bali ni conditional, na nimewapa zile two condtions ambazo lazima ziwe met vinginevyo Chadema kuendelea kuwa chama cha kudumu cha upinzani!.
 
Unamsapoti Zitto,huyu hajatoka kaskazini kama unavyotaka mgombea wako wa ccm atokee huko.Mimi sikuulizi ni nani anataka mgombea yupi.Mimi najibu kutokana na uliyoyabandika,kwamba kwa ccm,mgombea atokee kaskazini,na kwa chadema,atokee mwisho wa reli.Wewe ni adui mkubwa wa chadema,huwezi kujificha kama tuko.Tutakuchambuwa na utashangazwa hoja zinavyochambuliwa.Nilijuwa maswali ni magumu kwasababu unaogopa kujiexpose.

Sasa kumbe mbadiliko unayotaka ni Zitto kuwa mgombea?

Sasa nijibu ukipenda,nani aliyesema mgombea ni lazima atokee kaskazini only kwa upande wa ccm?

Pasco,kuwa mtu mwenye msimamo ndugu yangu,maana taifa linaharibika kwa ajili yenu!

Kama unakumbuka yellow journalism ilivyoyabadilisha mataifa ya wenzetu,this kind of journalism,zinatukwamisha!trust me on that,haya nasubiri urudi kinyumenyume unipatie majibu.
 

Sijui kama una akili timamu?Hembu google hizo red (search amazon)halafu vitabu vinavyokuja kavisome halafu uje waambia watu vinahusu nini?Sijui kama unajua imani yako vizuri.tatizo hamsomi mnasubiri ubishi ili mpata darasa la bure.Sasa huku ni kuchosha watu.

Mimi sijasema kuwa huyo mgombea wako afe.pengine unipe quote.Ila mimi nimemuwekea thread kabisa kwa vile naona issue yake ni very complicated sana na alishafanya timing mbovu sana.Pengine kule ndipo ungeenda lili ahuko ningekujibu.

Ila siwezi kushangaa kwani upo very disperate kwa hiyo hat aunachopost ni vurugu tupu.Zitto ni mojawapo ya wanasiasa wa hovyo kabisa katika kizazi hiki.
 

Excactly nini sasa? nani kasema mana hapa?Nyie ndio wale wapigao kelele katika konde halafu wakiskia mwangwi wanajipa matumaini kuwa wamejibiwa.
 
Nakusubiri uje na majibu ya hizo red hapo juu.Hiyo ndio adhabu ninayoweza kupa hapa.Ukishindwa funga thread .Kila mtu atapenda jua jinsi gani mbaropoka bila kujua mkifanyacho.Kila mtu anaweza google,au search ktk Amazon ila ukileta previews wewe ndio itakuwa tamu.

Unasikia yakhe?
 
where are you pasco?tupe searche results from (google and Amazon)..kwa hizo red hapo juu.Tuwekee previews.Inaelekea CCM mna udini sana.Mbaya mnawatumia wale muwatukanao.
 
Mkuu Mshikachuma, usinione kimya ukadhania nimekula chocho, napitia kwa makini michango, huku nikitafakari,"I'll leave no stone unturned"!.
 
pasco upo busy kutafuta posting ya kurukia ili kuondoka?nataka search results.Au internet yako imegeuka na kuanza chukua mwendo wa konokono?
 
Wako wengo tu. Hata mimi mjaluo, mkuria, mnyiramba, mhehe, mdengereko, mgogo, mmakua, mnyakyusa, mhaya na muha tayari nimeshabadilisha kabila kuwa mchagga ili kuichagua CDM 2015.

Hizo wewe peke yako? samahani, kati yao hao baba'ko ni yupi?
 

Don`t leave even this stone unturned.Search amazon halafu uweke reviws za hivi vitabu.naona upo desperate trying to repair your former undisputed reputation.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…