Elections 2015 Kuelekea 2015: CHADEMA Kuchukua Nchi Kwa Kishindo!... Only If...!

Elections 2015 Kuelekea 2015: CHADEMA Kuchukua Nchi Kwa Kishindo!... Only If...!

Mkuu 2nataka sera mbadala ambazo CCM wameshindwa kw miaka 50 sio CHADEMA Kusema CCM IMESHINDWA HIKI NA KILE BILA KUSEMA CHADEMA KUTOA SULUHSHO MBADALA UKTAKA KUHAKIKI HILI NENDA VIJIJINI KW WANANCHI AMBAO HAWAJUI UFISAD WANATAKA SULUHISHO LA MATATIZO YAO

Kwani sera za cdm huzijui?au unataka zipi tena,mbona kilakitu kipo wazi!
 
kwenu nchi ni kama mana ehe?Nilikuwa nashangaa umepata wapi hii hii equivalency.Pia ujue mana haikuruhusiwa kuhifadhiwa.Waliohifadhi walikuta imeharibika,sasa wanaokulisha wamehifadhi .Sijui unasemaje?Mzee mkono nae kaingia katik game sijui unasemaje?Kitendaliwili kimeshashift ni vipi CCM inasurvive achilia mbalia kushinda.
Mana ilishuka unconditional, 2015, Chadema inapaswa kuchukua nchi kiulaini only if CCM haitamsimamisha EL, sasa ikitokea ile "death wish" yako inamaanisha Mungu Baba kawapa nchi kama mana!.
"Yeye ni mwamba, na juu ya mwamba huo, atalijenga taifa lake"!.
 
Kwani sera za cdm huzijui?au unataka zipi tena,mbona kilakitu kipo wazi!

Huyu achana nae bado anaamini habari hazifiki vijijini..kama watu wanaangalia live el-clasico ndio habari za madafu zisifike?hakujua kwa nini helcoptor ililetwa.Hajui siku hizi hata voucher nchi mzima bei ni ileile.Bado wanaona kuwa hawaonekani kwa bile wapo katik nyumba yenye tinted glasses huku taa zinawaka hawajui usiku ndio muda wa nje kuona ndani na ndani kutoona nje.
 
Hawa jamaa sijui wameenda wapi Pasco nimemwona na nina uhakika kayasoma maswali yangu,ila katokomea!

Ebu fikiria nchi ilipo,halafu kuna wanaotaka tuchaguwe rais solely on ukanda ama sijui dini!?Yani mtu anarudia over and over again eti rais atoke kaskazini,atoke kaskazini only endapo ni wa ccm,halafu anawageukia chadema,anasema wafanye mabadiliko(maybe wateuwe mgombea asiyetoka kaskazini?),very confusing,halafu hayataji mabadiliko hayo na ile ya kusema atoke kaskazini inakuwa haina nguvu endapo ni mgombea wa chadema.Sasa ukimsoma,ukamweka wazi nia yake shaghalabhagala,anabakiwa hana cha kusema.Ukiwauliza maswali magumu,wanaogopa kuwa wataji expose.

Hadi usawa huu,wadini na mafisadi lao moja!Kila mmoja akijificha nyuma ya mwenzake...let's wait and see...
Mkuu J Mushi, narudi kinyume nyume, maswali yako nitayakuta na nitayajibu!. Aliyesema 2015 rais ni lazima atoke Kaskazi, sio mimi!. Ninachosema mimi ni kutilia tuu huo unabii, ila pia kina mtu ana wish ake ya rais atoke wapi, kwa Chadema, kuna mtu anayetegemewa sana, alishanieleza hagombei hivyo mimi namsupport mgombea wenu yule wa kule mwisho wa reli!.
 
Wanabodi,
Preamble: "Kwa opinion yangu, Uchaguzi wa 2015, Chadema Kuchukua Nchi Kwa Kishindo!... Only If...!"!

Trend za Upepo wa Kisiasa kuelekea 2015, zinavuma kwa Kasi ya Ajabu kuelekea Direction ya Mabadiliko (The Wind of Change, is Sweeping Across Tanzania) na kila dalili inaonyesha na kuelekeza Chadema is gaining momentum and there is to stop it kuchukua nchi mwaka 2015 iwapo...

  • Hakuna ubishi kuwa siku zote, CCM imekuwa ikishinda chaguzi mbalimbali "kihalali" na mtaji wao mkubwa wa ushindi ni "watu".
  • Hakuna ubishi kuwa CCM kama chama, kimechoka, dalili zote za chama kichovu kinachosubiri kifo, tayari, zimeisha jitokeza kwa CCM, kinachosubiriwa sasa its only a matter of time ni lini kitaangwa rasmi, hiyo 2015 naiona kama ni mbali sana!.
  • Hakuna ubishi kuwa wengi wa hao "watu", wamekuwa wakuichagua CCM sio kwa sababu wanaipenda sana!, (waipende kwa lipi?), la hasha!, "watu" wamekuwa wakiichagua CCM kwa mazoea tuu!.
  • Hakuna ubishi, kuwa wengi wa hao "watu" waliokuwa kuwa wakiichagua CCM kwa mazoea, sasa wameichoka, hivyo 2015, hawatachagua tena chama kwa mazoea, bali watachagua chama kwa "sababu"!.
  • Hakuna ubishi kuwa Chadema, ndicho chama kinachokubalika zaidi kwa sasa kuliko CCM, hivyo ule mtaji mkubwa wa CCM iliyoutegemea kwa miaka nenda miaka rudi, sasa umehamia Chadema!.
  • Kama ambavyo CCM imekuwa ikichaguliwa kwa mazoea tuu, na sasa CCM imechokwa, vivyo hivyo kwa sasa Chadema haina lolote la kukifanya kipendwe, bali kinapendwa kwa sababu "watu" wameichoka CCM!.
  • Kama utaguzi utaitishwa leo, Chadema itashinda kwa kishindo kikubwa cha ajabu, lakini ukiwauliza hao watakaokipa Chadema ushindi, ni sababu zipi za kuichagua Chadema, hawatakupa sababu yoyote zaidi ya kuichagua Chadema kwa sababu wameichoka CCM!.
  • ili Chadema iweze kupata ushindi wa Tsunami kwa uchaguzi wa 2015, lazima Chadema ikubali kubadilika, isiendelee kuutegemea huu umaarufu wa muda kwa kushangiliwa na umati wa watu walioichoka CCM, bali Chadema sasa lazima iwape Watanzania sababu za kuichagua Chadema.
  • So far so good, Chadema is doing a good job kwa sababu M4C is doing the right thing!. Doing the right thing alone, doesn't guarantee sweet clear victory for Chadema, it got to do things right!. Hii inamaanisha ili Chadema ishinde kwa kishindo kinachotakiwa, lazima ikubali kubadilika and start doing things right besides doing the right thing!.
  • Hivyo ndugu zangu viongozi wa Chadema najua 2015 mmedhamiria kwa dhati kuchukua nchi kwa ushindi wa kishindo!, lakini ili lengo hili litimie, ni lazima kwanza mkubali kusikiliza, pili mkubali kubadilika kwa kuzikiliza hoja zinazotolewa kuhusu Chadema na kuzifanyia kazi!.

Naomba kumalizia kwa nukuu kutoka kwa mmoja wa wanachama wetu humu jf.

Kwa wale wapenzi wa Chadema, for sure, Uchaguzi wa 2015, Chadema inaweza kabisa Kuchukua Nchi Kwa Kishindo!... Only If "Itabadilika" and provided that CCM haitamsimamisha yule mgombea wangu!. Japo ni vema kuwa great expectations on Chadema kuchukua nchi 2015, only if Chadema itabadilika, vinginevyo keep hopping for the best na kama Chadema haitabadilika, you better get prepared for the worst kwa sababu 2015 itakuwa ni CCM Tena!.

NB. Msiniulize Chadema wabadilike nini, wahusika wameshaambiwa imebaki kusikiliza na kutekeleza!.

Naomba kuwasilisha.

Pasco.

We mwenda...wazimu kelele! N
 
Mana ilishuka unconditional, 2015, Chadema inapaswa kuchukua nchi kiulaini only if CCM haitamsimamisha EL, sasa ikitokea ile "death wish" yako inamaanisha Mungu Baba kawapa nchi kama mana!.
"Yeye ni mwamba, na juu ya mwamba huo, atalijenga taifa lake"!.

teh teh..hata wao hawapendi ichukua kilaini.ndio maana wanawahimiza wajikaze kidogo,Si unasiki awanavyokasirika kwa kuwaita "dhaifu".By the way sasa hivi umeamua kimbilia kwenye mana na kushuka Injil."Kweli Umemkiri" itabidi uitiwe mama Rwakatare akusaidie zaidi.Suala la E.L unaweza liandika kwenye thread nilipoweka mawazu yangu juu ya move yake.Ila sijamtaka afe ila nilitaka watu wajadeal options alizo nazo za kuelekea urais na kitendawili anachohitaji kitengua.CDM ni kama Bacelona akiangalia mechi kati ya man u na arsenal anasubiri wachapane halafu waje wakiwa hoi akawasulubu.Nadhani unapata picture Man anajisiaje akicheza mechi huku akijua kuwa htu aifuatayo atakutana na Bacelona.So mh EL nahaitaji big plan with big sacrifice.link yake hii
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...nasubiri-vinguvu-vidogo-kama-samsom.html.Hapa unachanganya mboga tuu kwani sasa umesharukia Mana,na Injili wakti wewe ni ustaadhi.
 
Ikaliwa conditionally
 
Humu jf tuna manabii wengi!, Prophets of the doom, Hate Preachers na hata "prophets of the death" with their death wishes!. All and all, narudi kinyume nyume, posti zako nitazifikia!. Ila nakushauri, never wish someone dead again!, your death wish might back fire and hit back!. Mbona mimi mgombea wangu ni EL, lakini kwenu namsupport ZZK?!, mbona mimi nimeshawaambia 2015 ni CCM tena and yet nawaambia to do things right!. Why would you wishi someone dead?!.
 
Ikaliwa conditionally
Exactily, wako wengi wanaojifariji kuwa ushindi kwa Chadema 2015 is given, unconditional, nilichowaambia, its not unconditional bali ni conditional, na nimewapa zile two condtions ambazo lazima ziwe met vinginevyo Chadema kuendelea kuwa chama cha kudumu cha upinzani!.
 
Mkuu J Mushi, narudi kinyume nyume, maswali yako nitayakuta na nitayajibu!. Aliyesema 2015 rais ni lazima atoke Kaskazi, sio mimi!. Ninachosema mimi ni kutilia tuu huo unabii, ila pia kina mtu ana wish ake ya rais atoke wapi, kwa Chadema, kuna mtu anayetegemewa sana, alishanieleza hagombei hivyo mimi namsupport mgombea wenu yule wa kule mwisho wa reli!.
Unamsapoti Zitto,huyu hajatoka kaskazini kama unavyotaka mgombea wako wa ccm atokee huko.Mimi sikuulizi ni nani anataka mgombea yupi.Mimi najibu kutokana na uliyoyabandika,kwamba kwa ccm,mgombea atokee kaskazini,na kwa chadema,atokee mwisho wa reli.Wewe ni adui mkubwa wa chadema,huwezi kujificha kama tuko.Tutakuchambuwa na utashangazwa hoja zinavyochambuliwa.Nilijuwa maswali ni magumu kwasababu unaogopa kujiexpose.

Sasa kumbe mbadiliko unayotaka ni Zitto kuwa mgombea?

Sasa nijibu ukipenda,nani aliyesema mgombea ni lazima atokee kaskazini only kwa upande wa ccm?

Pasco,kuwa mtu mwenye msimamo ndugu yangu,maana taifa linaharibika kwa ajili yenu!

Kama unakumbuka yellow journalism ilivyoyabadilisha mataifa ya wenzetu,this kind of journalism,zinatukwamisha!trust me on that,haya nasubiri urudi kinyumenyume unipatie majibu.
 
Humu jf tuna manabii wengi!, Prophets of the doom, Hate Preachers na hata "prophets of the death" with their death wishes!. All and all, narudi kinyume nyume, posti zako nitazifikia!. Ila nakushauri, never wish someone dead again!, your death wish might back fire and hit back!. Mbona mimi mgombea wangu ni EL, lakini kwenu namsupport ZZK?!, mbona mimi nimeshawaambia 2015 ni CCM tena and yet nawaambia to do things right!. Why would you wishi someone dead?!.

Sijui kama una akili timamu?Hembu google hizo red (search amazon)halafu vitabu vinavyokuja kavisome halafu uje waambia watu vinahusu nini?Sijui kama unajua imani yako vizuri.tatizo hamsomi mnasubiri ubishi ili mpata darasa la bure.Sasa huku ni kuchosha watu.

Mimi sijasema kuwa huyo mgombea wako afe.pengine unipe quote.Ila mimi nimemuwekea thread kabisa kwa vile naona issue yake ni very complicated sana na alishafanya timing mbovu sana.Pengine kule ndipo ungeenda lili ahuko ningekujibu.

Ila siwezi kushangaa kwani upo very disperate kwa hiyo hat aunachopost ni vurugu tupu.Zitto ni mojawapo ya wanasiasa wa hovyo kabisa katika kizazi hiki.
 
Exactily, wako wengi wanaojifariji kuwa ushindi kwa Chadema 2015 is given, unconditional, nilichowaambia, its not unconditional bali ni conditional, na nimewapa zile two condtions ambazo lazima ziwe met vinginevyo Chadema kuendelea kuwa chama cha kudumu cha upinzani!.

Excactly nini sasa? nani kasema mana hapa?Nyie ndio wale wapigao kelele katika konde halafu wakiskia mwangwi wanajipa matumaini kuwa wamejibiwa.
 
Nakusubiri uje na majibu ya hizo red hapo juu.Hiyo ndio adhabu ninayoweza kupa hapa.Ukishindwa funga thread .Kila mtu atapenda jua jinsi gani mbaropoka bila kujua mkifanyacho.Kila mtu anaweza google,au search ktk Amazon ila ukileta previews wewe ndio itakuwa tamu.

Unasikia yakhe?
 
where are you pasco?tupe searche results from (google and Amazon)..kwa hizo red hapo juu.Tuwekee previews.Inaelekea CCM mna udini sana.Mbaya mnawatumia wale muwatukanao.
 
Duuh! Huyu member anaeitwa NICHOLAS ni kiboko....yaani anawakimbiza watu kwa hoja kama upepo wa M4C.
Mkandara alifungua thread kama hii aliyoianzisha Pasco...nondo ambazo ameshushiwa kule Mkandara na huyu
Nicholas ni balaa tupu hadi mtu mzima kalala mbele. Sasa ni zamu ya Pasco...sijui na yeye atakula chocho.
Acha nibakie kuwa msomaji tu hapa.
Mkuu Mshikachuma, usinione kimya ukadhania nimekula chocho, napitia kwa makini michango, huku nikitafakari,"I'll leave no stone unturned"!.
 
pasco upo busy kutafuta posting ya kurukia ili kuondoka?nataka search results.Au internet yako imegeuka na kuanza chukua mwendo wa konokono?
 
Wako wengo tu. Hata mimi mjaluo, mkuria, mnyiramba, mhehe, mdengereko, mgogo, mmakua, mnyakyusa, mhaya na muha tayari nimeshabadilisha kabila kuwa mchagga ili kuichagua CDM 2015.

Hizo wewe peke yako? samahani, kati yao hao baba'ko ni yupi?
 
Humu jf tuna manabii wengi!, Prophet of the doom, Hate Preachers na hata "prophets of the death" with their death wishes!. All and all, narudi kinyume nyume, posti zako nitazifikia!. Ila nakushauri, never wish someone dead again!, your death wish might back fire and hit back!. Mbona mimi mgombea wangu ni EL, lakini kwenu namsupport ZZK?!, mbona mimi nimeshawaambia 2015 ni CCM tena and yet nawaambia to do things right!. Why would you wishi someone dead?!.

Don`t leave even this stone unturned.Search amazon halafu uweke reviws za hivi vitabu.naona upo desperate trying to repair your former undisputed reputation.
 
Back
Top Bottom