Kuelekea 28 October 2020: Marekani na China zaendelea kutunishiana misuli kuhusu uchaguzi wa Tanzania

Kuelekea 28 October 2020: Marekani na China zaendelea kutunishiana misuli kuhusu uchaguzi wa Tanzania

mugah di matheo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
6,344
Reaction score
12,472
Leo ni zamu ya Wizara ya Mambo ya nje ya China na Ubalozi wa China nchini Tanzania

Wamesema kuwa Marekani sio kwamba anataka uchaguzi nchi Tanzania bali anataka kuikomoa Tanzania kwa kuvunja mkataba wa uzalishaji umeme wa kampuni ya symbion.

Aidha, balozi wa China nchini Tanzania amesema "Serikali ya Tanzania inauwezo wa kusimamia uchaguzi kama inavyofanyaga Mara zote, na pia nchi hiyo ya afrika mashariki imekuwa ikuhubiri amani na upendo na si uvunjifu wa amani'

Chanzo: CRI Swahili
 
China bwana nilitegenea pia angeongelea mamilioni ya waislamu wa china waliozuiliwa kwenye vituo vyao maalumu na kufanyishwa kazi za kitumwa hadi jumuia za kimataifa kuanza kufikiria kususia bidhaa toka China.
Communism has no room in modern world. Refer Cuba etc.
 
Hatutaki habari za China na Marekani hapa , sisi tunampiga Shoga Magu fool na CCM yake mpaka kieleweke . STOP
 
Simba amechutama kuleee katikati ya nyasi akijiandaa kumrukia digidigi; chui naye yuko juu mtini kule akishuka kwa kasi kumuwahi digidigi yule yule anayewindwa na simba. Digidigi hana hata habari anaendelea kula zake nyasi japo machale yameshamcheza muda ukifika atageuzwa chakula kwa atakayemuhahi kati ya wawili hao.
 
Simba amechutama kuleee katikati ya nyasi akijiandaa kumrukia digidigi; chui naye yuko juu mtini kule akishuka kwa kasi kumuwahi digidigi yule yule anayewindwa na simba. Digidigi hana hata habari anaendelea kula zake nyasi japo machale yameshamcheza muda ukifika atageuzwa chakula kwa atakayemuhahi kati ya wawili hao.
Na baaada ya kugundua anawindwa anataka amuombe moja ya maadui amuhifadhi asiliwe
 
China na demokrasia wapi na wapi, mijititu mabilioni inaongozwa na dikteta mmoja anavyotaka
mchina ni mpigadili tu, CCM wamebugi kumwomba ati atoe tamko, - angekuwa Urusi walau ningeamini kwamba sasa nchi yetu imeingia anga za ulinzi wa kimataifa.

Mchina na tamko la kimataifa wapi na wapi?? mzee wa kuuza hadi supu mwananyamala - dadadeq
 
Kwa hiyo kijani mmekubali role model wenu awe Xi Jin Ping?[emoji851]
Unforgetable
Mbona CCM ni chama rafiki na CCP tokea 1967 enzi za Kambarage?
Hata miradi ya SUKITA ilikuwa inafadhiliwa na China ili kuhimarisha chama cha mapinduzi.
Neno comrade ni slang ya wajamaa,na CCM ni chama cha kijamaa kama ilivyo CCP ya China.
Hata chuo cha vyama vya ukombozi kilichojengwa Kibaha ni mshikamano wa sera za CCP.
 
Wa Marekani wana hasira sana China anachochea kuni tupo kwenye 18 muda tu tuna angukia kwenye vikwazo
 
Na wakimpa Trumpet muhula mwingine anaenda kuuacha ushawishi wa USA ukipumlia mashine si Afrika tu bali duniani kote.
 
china.png
 
Back
Top Bottom